MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
- #21
Kama alionao Babaako.Una wivu wa kike!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alionao Babaako.Una wivu wa kike!
Sasa yeye ndo alimzuia mayele? Kazi ya kumzuia mayele ilifanywa na onyango kwa kiasi kikubwa lakini kwakuwa linapenda sifa ambazo sio zake kujionyesha ndo lichezaji kuzidi wote pale simba likajifanya lenyewe ndo limemdhibiti ovyo kabisa yule jamaaHilo tukio liliwauma Sana Uto..
Ulitaka asimzuie Mayele wakati hilo ni jukumu lake, acheni Utoto.
Hiyo penati angeikosa wakati akicheza na Yanga ingeleta mantiki kama mngefurahia, zaidi ya hapo ni chuki na wivu tu zinawatesa.
Acha wivuSasa yeye ndo alimzuia mayele? Kazi ya kumzuia mayele ilifanywa na onyango kwa kiasi kikubwa lakini kwakuwa linapenda sifa ambazo sio zake kujionyesha ndo lichezaji kuzidi wote pale simba likajifanya lenyewe ndo limemdhibiti ovyo kabisa yule jamaa
Na huu ndiyo Ukweli mtupu Ndugu. Mayele alidhibitiwa vilivyo na Joash Onyango na siyo Yeye Henock Inonga. Na tarehe 30 April, 2022 Mayele atapita Kwake Yeye na atatufunga Simba SC hili nalingojea kwa hamu kwakuwa Kiufundi baada ya Kuwajua Wawili hawa Kiuchezaji nina uhakika nalo.Sasa yeye ndo alimzuia mayele? Kazi ya kumzuia mayele ilifanywa na onyango kwa kiasi kikubwa lakini kwakuwa linapenda sifa ambazo sio zake kujionyesha ndo lichezaji kuzidi wote pale simba likajifanya lenyewe ndo limemdhibiti ovyo kabisa yule jamaa
Angekuwa anamfikia ata robo yannick bangala wa yanga si angekuwa anatembea uchi uwanjani,,,Acha wivu
Punguza wivu wa kike wewe.Angekuwa anamfikia ata robo yannick bangala wa yanga si angekuwa anatembea uchi uwanjani,,,
Tena kwa kutumia ID nyingi!Mbona hata wewe unaonesha kwa uandishi wako huu, ni mtu unayependa sana sifa!
Sawa mkuu, mmebakwa Ila kwa mbinde sana🤣🤣🤣Hilo tukio liliwauma Sana Uto..
Ulitaka asimzuie Mayele wakati hilo ni jukumu lake, acheni Utoto.
Hiyo penati angeikosa wakati akicheza na Yanga ingeleta mantiki kama mngefurahia, zaidi ya hapo ni chuki na wivu tu zinawatesa.
Genta nna shida na wew na umefunga pmNa huu ndiyo Ukweli mtupu Ndugu. Mayele alidhibitiwa vilivyo na Joash Onyango na siyo Yeye Henock Inonga. Na tarehe 30 April, 2022 Mayele atapita Kwake Yeye na atatufunga Simba SC hili nalingojea kwa hamu kwakuwa Kiufundi baada ya Kuwajua Wawili hawa Kiuchezaji nina uhakika nalo.
Yule mjinga alikuwa anataka umaarufu kupitia Mayele.Kweli kabisa Huyu fala Bora alivyokosa.. Aliniboa sana mechi ya Simba na Yanga iliyopita alivyokuwa anajinasibu na kujifanya beki kisiki kumzuia Mayele.. wakati Mayele anatoka nje kuingia Makambo akajifanya kumsindikiza Huku akijinadi kuwa nileteeni huyo mwingine..
Leo ndo limefanya Timu isisonge mbele..
Inonga ni fala tu kama mafala wengine dadeq
Saf sana popoma.Na huu ndiyo Ukweli mtupu Ndugu. Mayele alidhibitiwa vilivyo na Joash Onyango na siyo Yeye Henock Inonga. Na tarehe 30 April, 2022 Mayele atapita Kwake Yeye na atatufunga Simba SC hili nalingojea kwa hamu kwakuwa Kiufundi baada ya Kuwajua Wawili hawa Kiuchezaji nina uhakika nalo.
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeeSaf sana popoma.
Kama ulibakwa, pole sana mkuu ila usiache kutoa taarifa Polisi na wahi kituo cha afya.Sawa mkuu, mmebakwa Ila kwa mbinde sana🤣🤣🤣
Pamoja na kuyajua na kuyagundua haya yote ila bado tu 24/7 Wewe na Wapumbavu Wenzako Waandamizi hapa JamiiForums hamuachi Kunifuatilia na Kusoma Mada zangu Kudadadeki.