Kwanini nimefurahi mno Beki Henock Inonga Baka Kukosa Penati leo dhidi ya Orlando Pirates FC nikiamini kuwa kuanzia sasa atabadilika?

8. Siku ya game ya Simba vs Yanga alisababisha Mayele afanyiwe sub.
 
Inonga ni mtu na nusu, Jana katuonyesha ni kwa jinsi gani alivyo na mapenzi na timu!Hali kama ile utaiona kwa Wachezaji wafia timu tu #Nguvumoja
 
🤧🤧🤧🤧🤧
 
Hilo tukio liliwauma Sana Uto..

Ulitaka asimzuie Mayele wakati hilo ni jukumu lake, acheni Utoto.

Hiyo penati angeikosa wakati akicheza na Yanga ingeleta mantiki kama mngefurahia, zaidi ya hapo ni chuki na wivu tu zinawatesa.
Kumzuia Mayele ni kazi ya beki.....lakini pale beki wa kimataifa anapoonesha vitendo kwa kumsindikiza huku akijipiga kifua pale mwenzake anapofanyiwa sub ni ulimbukeni wa kiwango kilichopitiliza...ni ujinga, upumbavu na ushenzi pamoja...vitendo Kama hivyo hufanyika kwenye chandimu na siyo vinginevyo...
 
Jamaa ni mshamba sana.

Hata Mayele alipoulizwa alishindwa kumuelewa kwanini alifanya vile.
 
Subirini tarehe 30 mchukie tena..

 
Sawa sheikh Yahaya... tusubiri
Hakuna Cha sheikh Ya ya hapa...mchezaji anayepania, mwenye kujisikia, much know...asiye na heshima kwa wenzake hawezi kudumu...
 
Hakuna Cha sheikh Ya ya hapa...mchezaji anayepania, mwenye kujisikia, much know...asiye na heshima kwa wenzake hawezi kudumu...
Acha wivu wewe Mzee.
 
Hakuna Cha wivu...kama upo karibu mshauri aache ujinga vinginevyo he is doomed....
Acha wivu na chuki kwa mtu asiyekufahamu.

Pambana kutafuta hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…