Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

Rabbitus
Copy and paste zitakusumbua sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hiyo Tahrif unayoisema wala si mafundisho yatolewayo kama unavyodai, tena imetoka katika aya ya Mungu inayowaonya watu kuifanya hiyo Tahrif katika aya zake, mjinga wewe unatuambia ni mafundisho ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1. Tahrif ni kubadili maana ya neno iliyokusudiwa katika aya za allah na kuifanyia maana iliyo kinyume na makusudio
2. Tahrif ni kubadili moja kati ya herufi za neno katika aya, hali inayopelekea kubadilika kwa neno kisarufi
3. Tahrif ni kubadili kabisa neno katika aya tena neno linaloweza kubadili maana nzima iliyokusudiwa.

Makafiri mkitaka kuipinga hii quran hakikisheni kwanza mmekuja darasani na tumewapika vilivyo sio kudandia dandia SGR ikiwa kwenye majaribio ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Muhammad SAW na uislam kwa ujumla haujawahi kumkataa Yesu/Issa, yaani huyo ni ndugu yetu kabisaaaaaa katika imani kama walivyo Mussa, Harun, Daud, Sulayman, Shuayb, Idris, Nuh, Ibrahim, Lut, Zakariya, Ayub na wengineo wengi na mtangulizi akiwa baba yetu Adam. Sisi Yesu ni ndugu yetu na ndo maana tunaumia na kubishana hadi sasa kwa nyie kumzulia uongo wa Uungu asiokuwa nao.
Vitabu vya Zaburi Torat na injili ndivyo hasa vilivyofanyiwa hiyo Tahrif usioijua na ndo Allah anaonyesha katika Quran kuwa kwa hii mayahudi na manaswara pamoja na wanafiq wao (wanafiq hujifanya wako kwa waislam na makafiri kwa pamoja) hawatoweza kuifanyia Tahrif Quran
ุฅูู†ู‘ูŽุง ู†ูŽุญู’ู†ู ู†ูŽุฒู‘ูŽู„ู’ู†ูŽุง ุงู„ุฐู‘ููƒู’ุฑูŽ ูˆูŽุฅูู†ู‘ูŽุง ู„ูŽู‡ู ู„ูŽุญูŽุงููุธููˆู†ูŽ

Kwa hakika sisi ndio tulioiteremsha hii Quran na sisi ndio tutailinda. (15:9)
 
Kwamba kabla ya 1924 hakukuwa na kitabu cha Quran? Unaumwa wewe
Nilikata kuendeleza mjadala alivyoongea hiyo pumba. Ni vigumu sana kuwaelekeza watu ambao wanadai mungu alijitoa muhanga ili wasamehewe dhambi.
 
Ni ujinga tu hakuna cha maana hapa
 
Huna hoja , una uhakika gani kama sikijui?
Ina maana ukishindwa kukubaliana na jambo maana yake alielileta halijui? Pathetic
Na kama silijui hizo aya ameandika baba yako?
Kipi ambacho sijakubaliana nacho yaani nazidi kukuhabarisha sisi Yesu tunamkubali ile vibaya sanaaa, Yesu na sisi ni dugu moja ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Usitake kututengabisha na Yesu tuna haki nae kuliko nyie mnaojipendekeza, Kikubwa unapoleta aya za Allah usifanye Tahrif uliyoipost hapo juu โ˜๏ธ mambo ya kutuambia eti tumeletewa taurat na injili tuifate ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hivi unajua ni kina nani walioletewa taurat na injili??? Wewe taurat na injili haikuhusu hata chembe, wewe umeletewa Quran ambayo huitak, fanya uende darasani ukaisome mjomba hii ni kwa ajili yako na ndugu zako wotee
 
Huna hoja , una uhakika gani kama sikijui?
Ina maana ukishindwa kukubaliana na jambo maana yake alielileta halijui? Pathetic
Na kama silijui hizo aya ameandika baba yako?
Haujui kitu wewe na mwenzio eti unatuletea Tahrif na Nask ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ alafu hata haujui ni vitu gani. Mwenzio ametuletea Quran ya Topkapi na Sanaa eti Quran ilishuka kabla ya mtume ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ama kweli ukiwa kafiri unakua kilaza times 100
 
First na Zaburi zilizokuwepo kabla ya quran ziko wapi KWA sasa,? Hili swali linarukwa rukwa
 
Reactions: 511
WEWE LUKA ni Tรผrkiye Hakuonana na yesu ata siku moja kwa vyovyote hakuwa Myahudi, pia

Mathayo, Marko na Yohana ni watu wa Syria
 
Nilikata kuendeleza mjadala alivyoongea hiyo pumba. Ni vigumu sana kuwaelekeza watu ambao wanadai mungu alijitoa muhanga ili wasamehewe dhambi.
Hata Hadith zenu zinasema waislam mtawatoa mhanga wakristo na wayahudi siku ya kiama ili msamehewe dhambi zenu.

Sahih Muslim 2767

Abu Burda reported Allah's Messenger (๏ทบ) as saying:

There would come people amongst the Muslims on the Day of Resurrection with as heavy sins as a mountain, and Allah would forgive them and He would place in their stead the Jews and the Christians. (As far as I think), Abu Raub said: I do not know as to who is in doubt. Abu Burda said: I narrated it to 'Umar b. 'Abd al-'Aziz, whereupon he said: Was it your father who narrated it to you from Allah's Apostle (๏ทบ)? I said: Yes.
ุญูŽุฏู‘ูŽุซูŽู†ูŽุง ู…ูุญูŽู…ู‘ูŽุฏู ุจู’ู†ู ุนูŽู…ู’ุฑููˆ ุจู’ู†ู ุนูŽุจู‘ูŽุงุฏู ุจู’ู†ู ุฌูŽุจูŽู„ูŽุฉูŽ ุจู’ู†ู ุฃูŽุจููŠ ุฑูŽูˆู‘ูŽุงุฏูุŒ ุญูŽุฏู‘ูŽุซูŽู†ูŽุง ุญูŽุฑูŽู…ููŠู‘ู ุจู’ู†ู ุนูู…ูŽุงุฑูŽุฉูŽุŒ ุญูŽุฏู‘ูŽุซูŽู†ูŽุง ุดูŽุฏู‘ูŽุงุฏูŒ ุฃูŽุจููˆ ุทูŽู„ู’ุญูŽุฉูŽ ุงู„ุฑู‘ูŽุงุณูุจููŠู‘ูุŒ ุนูŽู†ู’ ุบูŽูŠู’ู„ุงูŽู†ูŽ ุจู’ู†ู ุฌูŽุฑููŠุฑูุŒ ุนูŽู†ู’ ุฃูŽุจููŠ ุจูุฑู’ุฏูŽุฉูŽุŒ ุนูŽู†ู’ ุฃูŽุจููŠู‡ูุŒ ุนูŽู†ู ุงู„ู†ู‘ูŽุจููŠู‘ู ุตู„ู‰ ุงู„ู„ู‡ ุนู„ูŠู‡ ูˆุณู„ู… ู‚ูŽุงู„ูŽ โ€ "โ€ ูŠูŽุฌููŠุกู ูŠูŽูˆู’ู…ูŽ ุงู„ู’ู‚ููŠูŽุงู…ูŽุฉู ู†ูŽุงุณูŒ ู…ูู†ูŽ ุงู„ู’ู…ูุณู’ู„ูู…ููŠู†ูŽ ุจูุฐูู†ููˆุจู ุฃูŽู…ู’ุซูŽุงู„ู ุงู„ู’ุฌูุจูŽุงู„ู ููŽูŠูŽุบู’ููุฑูู‡ูŽุง ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ู„ูŽู‡ูู…ู’ ูˆูŽูŠูŽุถูŽุนูู‡ูŽุง ุนูŽู„ูŽู‰ ุงู„ู’ูŠูŽู‡ููˆุฏู ูˆูŽุงู„ู†ู‘ูŽุตูŽุงุฑูŽู‰ โ€"โ€ โ€.โ€ ูููŠู…ูŽุง ุฃูŽุญู’ุณูุจู ุฃูŽู†ูŽุง โ€.โ€ ู‚ูŽุงู„ูŽ ุฃูŽุจููˆ ุฑูŽูˆู’ุญู ู„ุงูŽ ุฃูŽุฏู’ุฑููŠ ู…ูู…ู‘ูŽู†ู ุงู„ุดู‘ูŽูƒู‘ู โ€.โ€ ู‚ูŽุงู„ูŽ ุฃูŽุจููˆ ุจูุฑู’ุฏูŽุฉูŽ ููŽุญูŽุฏู‘ูŽุซู’ุชู ุจูู‡ู ุนูู…ูŽุฑูŽ ุจู’ู†ูŽ ุนูŽุจู’ุฏู ุงู„ู’ุนูŽุฒููŠุฒู ููŽู‚ูŽุงู„ูŽ ุฃูŽุจููˆูƒูŽ ุญูŽุฏู‘ูŽุซูŽูƒูŽ ู‡ูŽุฐูŽุง ุนูŽู†ู ุงู„ู†ู‘ูŽุจููŠู‘ู ุตู„ู‰ ุงู„ู„ู‡ ุนู„ูŠู‡ ูˆุณู„ู… ู‚ูู„ู’ุชู ู†ูŽุนูŽู…ู’
โ€.โ€
Kasome tafsiri ya kiswahili kama English haipandi.

Wakristo hatuhitaji kutoa sadaka watu wengine kwani Yesu alishamaliza kazi.
 
Reactions: 511
Waafrika tumeanza kubishana kama kawaida yetu, kazi kweli
 
Alijitoa muhanga ili msamehewe dhambi iliyofanikishwa na shetani. Waroma walifanikisha dili tendo jema la kuua. Wewe endeleza uzinzi na matusi ujidanganye dhambi zimebebwa na Yesu.
 
Alijitoa muhanga ili msamehewe dhambi iliyofanikishwa na shetani. Waroma walifanikisha dili tendo jema la kuua. Wewe endeleza uzinzi na matusi ujidanganye dhambi zimebebwa na Yesu.
Shida yako ni kwamba huelewi ukristo wala kifo na kufufuka kwa Yesu kuna maana gani kwetu. Sisi hatuhitaji kumtoa sadaka muislamu siku ya kiama ili tusamehewe dhambi kama nyie mlivyo ahidiwa kuwatoa wakristo au wayahudi .

Hadith inasema hata uwe na dhambi kama mlima wewe ukikamata mkristo au myahudi utakua umepata ticket ya kutoka jehanum ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š,nita volunteer kwa ajili yako ili uende jennah ukainjoy mahouris.
 
Reactions: 511
Sasa hapo hauelewi nini kwamba kajitoa muhanga msamehewe dhambi. Ndiyo maana kanisani mnaweka picha ya mzungu aliyevaa kichupi kuonesha alama ya kusamehewa dhambi.
Mnachukua picha ya Robert Powell au Brian Deacon akili zilivyo ndogo.


View: https://youtu.be/cKMy7YcfoQE?si=YuhJ4Bl94xS7r4g8
 
Yaan Quran ni moja tu iliyopangwa na othman ambayo Jibril alimsomea Mtume hayo mengine unayajua wewe na waislam wote duniani walio amini rula Yetu ni Quran ya Muhammad SAW hayo yakuoteza sijui Yemen sijui nini ni katika kujifanya mnaweza kututoa relini kwani hata wamarekani wanayo Furqan yao walijitungia Ina Aya 77 kwahio huna jipya na hauna hoja.

Kitabu hiki hakina Shaka yoyote kama tulivyoambiwa katika Quran 2,2 hivyo muislam yoyote mwenye Iman hawezi kufikia Shaka kitabu hiki Shaka wamebaki nazo makafiri na msingi wa Imani yetu ukitilia Shaka Quran wew sio muislam umesharitadi. Hizi Kurasa za Quran zipo katka tablet yake mwenyezi Mungu Jibril ninmuaminifu na ni bosi wa malaika wote hivyo hakuna muislam kamili utamletea Shaka katika moyo wake labda awe hajasoma
 
Ni kina nani hao wanahangaika kubadilisha maneno ya quran?

Wanataka kubadilisha ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ