Rabbitus
Copy and paste zitakusumbua sana πππππππ
Hiyo Tahrif unayoisema wala si mafundisho yatolewayo kama unavyodai, tena imetoka katika aya ya Mungu inayowaonya watu kuifanya hiyo Tahrif katika aya zake, mjinga wewe unatuambia ni mafundisho ππππ
1. Tahrif ni kubadili maana ya neno iliyokusudiwa katika aya za allah na kuifanyia maana iliyo kinyume na makusudio
2. Tahrif ni kubadili moja kati ya herufi za neno katika aya, hali inayopelekea kubadilika kwa neno kisarufi
3. Tahrif ni kubadili kabisa neno katika aya tena neno linaloweza kubadili maana nzima iliyokusudiwa.
Makafiri mkitaka kuipinga hii quran hakikisheni kwanza mmekuja darasani na tumewapika vilivyo sio kudandia dandia SGR ikiwa kwenye majaribio ππππ
Muhammad SAW na uislam kwa ujumla haujawahi kumkataa Yesu/Issa, yaani huyo ni ndugu yetu kabisaaaaaa katika imani kama walivyo Mussa, Harun, Daud, Sulayman, Shuayb, Idris, Nuh, Ibrahim, Lut, Zakariya, Ayub na wengineo wengi na mtangulizi akiwa baba yetu Adam. Sisi Yesu ni ndugu yetu na ndo maana tunaumia na kubishana hadi sasa kwa nyie kumzulia uongo wa Uungu asiokuwa nao.
Vitabu vya Zaburi Torat na injili ndivyo hasa vilivyofanyiwa hiyo Tahrif usioijua na ndo Allah anaonyesha katika Quran kuwa kwa hii mayahudi na manaswara pamoja na wanafiq wao (wanafiq hujifanya wako kwa waislam na makafiri kwa pamoja) hawatoweza kuifanyia Tahrif Quran
Ψ₯ΩΩΩΩΨ§ ΩΩΨΩΩΩ ΩΩΨ²ΩΩΩΩΩΩΨ§ Ψ§ΩΨ°ΩΩΩΩΨ±Ω ΩΩΨ₯ΩΩΩΩΨ§ ΩΩΩΩ ΩΩΨΩΨ§ΩΩΨΈΩΩΩΩ
Kwa hakika sisi ndio tulioiteremsha hii Quran na sisi ndio tutailinda. (15:9)