Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

Rabbitus
Copy and paste zitakusumbua sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo Tahrif unayoisema wala si mafundisho yatolewayo kama unavyodai, tena imetoka katika aya ya Mungu inayowaonya watu kuifanya hiyo Tahrif katika aya zake, mjinga wewe unatuambia ni mafundisho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1. Tahrif ni kubadili maana ya neno iliyokusudiwa katika aya za allah na kuifanyia maana iliyo kinyume na makusudio
2. Tahrif ni kubadili moja kati ya herufi za neno katika aya, hali inayopelekea kubadilika kwa neno kisarufi
3. Tahrif ni kubadili kabisa neno katika aya tena neno linaloweza kubadili maana nzima iliyokusudiwa.

Makafiri mkitaka kuipinga hii quran hakikisheni kwanza mmekuja darasani na tumewapika vilivyo sio kudandia dandia SGR ikiwa kwenye majaribio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Muhammad SAW na uislam kwa ujumla haujawahi kumkataa Yesu/Issa, yaani huyo ni ndugu yetu kabisaaaaaa katika imani kama walivyo Mussa, Harun, Daud, Sulayman, Shuayb, Idris, Nuh, Ibrahim, Lut, Zakariya, Ayub na wengineo wengi na mtangulizi akiwa baba yetu Adam. Sisi Yesu ni ndugu yetu na ndo maana tunaumia na kubishana hadi sasa kwa nyie kumzulia uongo wa Uungu asiokuwa nao.
Vitabu vya Zaburi Torat na injili ndivyo hasa vilivyofanyiwa hiyo Tahrif usioijua na ndo Allah anaonyesha katika Quran kuwa kwa hii mayahudi na manaswara pamoja na wanafiq wao (wanafiq hujifanya wako kwa waislam na makafiri kwa pamoja) hawatoweza kuifanyia Tahrif Quran
Ψ₯ΩΩ†Ω‘ΩŽΨ§ Ω†ΩŽΨ­Ω’Ω†Ω Ω†ΩŽΨ²Ω‘ΩŽΩ„Ω’Ω†ΩŽΨ§ Ψ§Ω„Ψ°Ω‘ΩΩƒΩ’Ψ±ΩŽ وَΨ₯ΩΩ†Ω‘ΩŽΨ§ Ω„ΩŽΩ‡Ω Ω„ΩŽΨ­ΩŽΨ§ΩΩΨΈΩΩˆΩ†ΩŽ

Kwa hakika sisi ndio tulioiteremsha hii Quran na sisi ndio tutailinda. (15:9)
 
Kwamba kabla ya 1924 hakukuwa na kitabu cha Quran? Unaumwa wewe
Nilikata kuendeleza mjadala alivyoongea hiyo pumba. Ni vigumu sana kuwaelekeza watu ambao wanadai mungu alijitoa muhanga ili wasamehewe dhambi.
 
Rabbitus
Copy and paste zitakusumbua sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo Tahrif unayoisema wala si mafundisho yatolewayo kama unavyodai, tena imetoka katika aya ya Mungu inayowaonya watu kuifanya hiyo Tahrif katika aya zake, mjinga wewe unatuambia ni mafundisho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1. Tahrif ni kubadili maana ya neno iliyokusudiwa katika aya za allah na kuifanyia maana iliyo kinyume na makusudio
2. Tahrif ni kubadili moja kati ya herufi za neno katika aya, hali inayopelekea kubadilika kwa neno kisarufi
3. Tahrif ni kubadili kabisa neno katika aya tena neno linaloweza kubadili maana nzima iliyokusudiwa.

Makafiri mkitaka kuipinga hii quran hakikisheni kwanza mmekuja darasani na tumewapika vilivyo sio kudandia dandia SGR ikiwa kwenye majaribio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Muhammad SAW na uislam kwa ujumla haujawahi kumkataa Yesu/Issa, yaani huyo ni ndugu yetu k⁰abisaaaaaa katika imani kama walivyo Mussa, Harun, Daud, Sulayman, Shuayb, Idris, Nuh, Ibrahim, Lut, Zakariya, Ayub na wengineo wengi na mtangulizi akiwa baba yetu Adam. Sisi Yesu ni ndugu yetu na ndo maana tunaumia na kubishana hadi sasa kwa nyie kumzulia uongo wa Uungu asiokuwa nao.
Vitabu vya Zaburi Torat na injili ndivyo hasa vilivyofanyiwa hiyo Tahrif usioijua na ndo Allah anaonyesha katika Quran kuwa kwa hii mayahudi na manaswara pamoja na wanafiq wao (wanafiq hujifanya wako kwa waislam na makafiri kwa pamoja) hawatoweza kuifanyia Tahrif Quran
Ψ₯ΩΩ†Ω‘ΩŽΨ§ Ω†ΩŽΨ­Ω’Ω†Ω Ω†ΩŽΨ²Ω‘ΩŽΩ„Ω’Ω†ΩŽΨ§ Ψ§Ω„Ψ°Ω‘ΩΩƒΩ’Ψ±ΩŽ وَΨ₯ΩΩ†Ω‘ΩŽΨ§ Ω„ΩŽΩ‡Ω Ω„ΩŽΨ­ΩŽΨ§ΩΩΨΈΩΩˆΩ†ΩŽ

Kwa hakika sisi ndio tulioiteremsha hii Quran na sisi ndio tutailinda. (15:9)
Ni ujinga tu hakuna cha maana hapa
 
Huna hoja , una uhakika gani kama sikijui?
Ina maana ukishindwa kukubaliana na jambo maana yake alielileta halijui? Pathetic
Na kama silijui hizo aya ameandika baba yako?
Kipi ambacho sijakubaliana nacho yaani nazidi kukuhabarisha sisi Yesu tunamkubali ile vibaya sanaaa, Yesu na sisi ni dugu moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Usitake kututengabisha na Yesu tuna haki nae kuliko nyie mnaojipendekeza, Kikubwa unapoleta aya za Allah usifanye Tahrif uliyoipost hapo juu ☝️ mambo ya kutuambia eti tumeletewa taurat na injili tuifate πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi unajua ni kina nani walioletewa taurat na injili??? Wewe taurat na injili haikuhusu hata chembe, wewe umeletewa Quran ambayo huitak, fanya uende darasani ukaisome mjomba hii ni kwa ajili yako na ndugu zako wotee
 
Huna hoja , una uhakika gani kama sikijui?
Ina maana ukishindwa kukubaliana na jambo maana yake alielileta halijui? Pathetic
Na kama silijui hizo aya ameandika baba yako?
Haujui kitu wewe na mwenzio eti unatuletea Tahrif na Nask πŸ˜‚πŸ˜‚ alafu hata haujui ni vitu gani. Mwenzio ametuletea Quran ya Topkapi na Sanaa eti Quran ilishuka kabla ya mtume πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ama kweli ukiwa kafiri unakua kilaza times 100
 
First na Zaburi zilizokuwepo kabla ya quran ziko wapi KWA sasa,? Hili swali linarukwa rukwa
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Habari wana theolojia.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....

Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.

Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.

Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
WEWE LUKA ni TΓΌrkiye Hakuonana na yesu ata siku moja kwa vyovyote hakuwa Myahudi, pia

Mathayo, Marko na Yohana ni watu wa Syria
 
Nilikata kuendeleza mjadala alivyoongea hiyo pumba. Ni vigumu sana kuwaelekeza watu ambao wanadai mungu alijitoa muhanga ili wasamehewe dhambi.
Hata Hadith zenu zinasema waislam mtawatoa mhanga wakristo na wayahudi siku ya kiama ili msamehewe dhambi zenu.

Sahih Muslim 2767

Abu Burda reported Allah's Messenger (ο·Ί) as saying:

There would come people amongst the Muslims on the Day of Resurrection with as heavy sins as a mountain, and Allah would forgive them and He would place in their stead the Jews and the Christians. (As far as I think), Abu Raub said: I do not know as to who is in doubt. Abu Burda said: I narrated it to 'Umar b. 'Abd al-'Aziz, whereupon he said: Was it your father who narrated it to you from Allah's Apostle (ο·Ί)? I said: Yes.
Ψ­ΩŽΨ―Ω‘ΩŽΨ«ΩŽΩ†ΩŽΨ§ Ω…ΩΨ­ΩŽΩ…Ω‘ΩŽΨ―Ω بْنُ ΨΉΩŽΩ…Ω’Ψ±ΩΩˆ بْنِ ΨΉΩŽΨ¨Ω‘ΩŽΨ§Ψ―Ω بْنِ Ψ¬ΩŽΨ¨ΩŽΩ„ΩŽΨ©ΩŽ بْنِ أَبِي Ψ±ΩŽΩˆΩ‘ΩŽΨ§Ψ―ΩΨŒ Ψ­ΩŽΨ―Ω‘ΩŽΨ«ΩŽΩ†ΩŽΨ§ Ψ­ΩŽΨ±ΩŽΩ…ΩΩŠΩ‘Ω بْنُ ΨΉΩΩ…ΩŽΨ§Ψ±ΩŽΨ©ΩŽΨŒ Ψ­ΩŽΨ―Ω‘ΩŽΨ«ΩŽΩ†ΩŽΨ§ Ψ΄ΩŽΨ―Ω‘ΩŽΨ§Ψ―ΩŒ أَبُو Ψ·ΩŽΩ„Ω’Ψ­ΩŽΨ©ΩŽ Ψ§Ω„Ψ±Ω‘ΩŽΨ§Ψ³ΩΨ¨ΩΩŠΩ‘ΩΨŒ ΨΉΩŽΩ†Ω’ ΨΊΩŽΩŠΩ’Ω„Ψ§ΩŽΩ†ΩŽ بْنِ جَرِيرٍ، ΨΉΩŽΩ†Ω’ أَبِي Ψ¨ΩΨ±Ω’Ψ―ΩŽΨ©ΩŽΨŒ ΨΉΩŽΩ†Ω’ Ψ£ΩŽΨ¨ΩΩŠΩ‡ΩΨŒ ΨΉΩŽΩ†Ω Ψ§Ω„Ω†Ω‘ΩŽΨ¨ΩΩŠΩ‘Ω Ψ΅Ω„Ω‰ Ψ§Ω„Ω„Ω‡ ΨΉΩ„ΩŠΩ‡ ΩˆΨ³Ω„Ω… Ω‚ΩŽΨ§Ω„ΩŽ ‏ "‏ يَجِيُؑ ΩŠΩŽΩˆΩ’Ω…ΩŽ Ψ§Ω„Ω’Ω‚ΩΩŠΩŽΨ§Ω…ΩŽΨ©Ω Ω†ΩŽΨ§Ψ³ΩŒ Ω…ΩΩ†ΩŽ Ψ§Ω„Ω’Ω…ΩΨ³Ω’Ω„ΩΩ…ΩΩŠΩ†ΩŽ Ψ¨ΩΨ°ΩΩ†ΩΩˆΨ¨Ω Ψ£ΩŽΩ…Ω’Ψ«ΩŽΨ§Ω„Ω Ψ§Ω„Ω’Ψ¬ΩΨ¨ΩŽΨ§Ω„Ω ΩΩŽΩŠΩŽΨΊΩ’ΩΩΨ±ΩΩ‡ΩŽΨ§ Ψ§Ω„Ω„Ω‘ΩŽΩ‡Ω Ω„ΩŽΩ‡ΩΩ…Ω’ ΩˆΩŽΩŠΩŽΨΆΩŽΨΉΩΩ‡ΩŽΨ§ ΨΉΩŽΩ„ΩŽΩ‰ Ψ§Ω„Ω’ΩŠΩŽΩ‡ΩΩˆΨ―Ω ΩˆΩŽΨ§Ω„Ω†Ω‘ΩŽΨ΅ΩŽΨ§Ψ±ΩŽΩ‰ ‏"‏ ‏.‏ ΩΩΩŠΩ…ΩŽΨ§ Ψ£ΩŽΨ­Ω’Ψ³ΩΨ¨Ω Ψ£ΩŽΩ†ΩŽΨ§ ‏.‏ Ω‚ΩŽΨ§Ω„ΩŽ أَبُو Ψ±ΩŽΩˆΩ’Ψ­Ω Ω„Ψ§ΩŽ Ψ£ΩŽΨ―Ω’Ψ±ΩΩŠ Ω…ΩΩ…Ω‘ΩŽΩ†Ω Ψ§Ω„Ψ΄Ω‘ΩŽΩƒΩ‘Ω ‏.‏ Ω‚ΩŽΨ§Ω„ΩŽ أَبُو Ψ¨ΩΨ±Ω’Ψ―ΩŽΨ©ΩŽ ΩΩŽΨ­ΩŽΨ―Ω‘ΩŽΨ«Ω’Ψͺُ بِهِ ΨΉΩΩ…ΩŽΨ±ΩŽ Ψ¨Ω’Ω†ΩŽ ΨΉΩŽΨ¨Ω’Ψ―Ω Ψ§Ω„Ω’ΨΉΩŽΨ²ΩΩŠΨ²Ω ΩΩŽΩ‚ΩŽΨ§Ω„ΩŽ Ψ£ΩŽΨ¨ΩΩˆΩƒΩŽ Ψ­ΩŽΨ―Ω‘ΩŽΨ«ΩŽΩƒΩŽ Ω‡ΩŽΨ°ΩŽΨ§ ΨΉΩŽΩ†Ω Ψ§Ω„Ω†Ω‘ΩŽΨ¨ΩΩŠΩ‘Ω Ψ΅Ω„Ω‰ Ψ§Ω„Ω„Ω‡ ΨΉΩ„ΩŠΩ‡ ΩˆΨ³Ω„Ω… قُلْΨͺُ Ω†ΩŽΨΉΩŽΩ…Ω’
‏.‏
Kasome tafsiri ya kiswahili kama English haipandi.

Wakristo hatuhitaji kutoa sadaka watu wengine kwani Yesu alishamaliza kazi.
 
  • Thanks

Alijitoa muhanga ili msamehewe dhambi iliyofanikishwa na shetani. Waroma walifanikisha dili tendo jema la kuua. Wewe endeleza uzinzi na matusi ujidanganye dhambi zimebebwa na Yesu.
 
Alijitoa muhanga ili msamehewe dhambi iliyofanikishwa na shetani. Waroma walifanikisha dili tendo jema la kuua. Wewe endeleza uzinzi na matusi ujidanganye dhambi zimebebwa na Yesu.
Shida yako ni kwamba huelewi ukristo wala kifo na kufufuka kwa Yesu kuna maana gani kwetu. Sisi hatuhitaji kumtoa sadaka muislamu siku ya kiama ili tusamehewe dhambi kama nyie mlivyo ahidiwa kuwatoa wakristo au wayahudi .

Hadith inasema hata uwe na dhambi kama mlima wewe ukikamata mkristo au myahudi utakua umepata ticket ya kutoka jehanum 😊😊,nita volunteer kwa ajili yako ili uende jennah ukainjoy mahouris.
 
Sasa hapo hauelewi nini kwamba kajitoa muhanga msamehewe dhambi. Ndiyo maana kanisani mnaweka picha ya mzungu aliyevaa kichupi kuonesha alama ya kusamehewa dhambi.
Mnachukua picha ya Robert Powell au Brian Deacon akili zilivyo ndogo.

View: https://youtu.be/cKMy7YcfoQE?si=YuhJ4Bl94xS7r4g8
 
Hivi unajua Sanaa manuscript (Yemen) ile Qurn kongwe kabisa iliyogunduliwa miaka ya 70 bada ya kufanyiwa research ya kutosha inaonyesha umri wake ni zaidi ya Mohamed? wakati nyie mnasema Mohamed ndiye aliyeshushiwa Quran na pia ile sio Hafs wala Warsh. Ile Quran ni kongwe kuliko Quran ya Uthman, swali hiyo Quran unayosema haijabadilika ni ipi? Uthman Quran,Sanaa,Topkapi? Topkapi Quran ina tofauti zaidi ya 2000 na hii Quran ya mwaka 1924, Wewe umehifadhi ipi kati ya hizo tatu japo zipo nyingine pia?

Topkapi Quran ina upungufu wa verse 23 kulinganisha na hii ya mwaka 1924, ni moja ya quran kongwe kabisa. Uchunguzi unaonyesha hii iliandikwa karne ya 8,je hizo verse 23 ziliongezwa na wanazuoni wa AL Azhar university? Wewe utakua umehifahi hii Quran mpya,kwanini imetofautiana na ya zamani?
Yaan Quran ni moja tu iliyopangwa na othman ambayo Jibril alimsomea Mtume hayo mengine unayajua wewe na waislam wote duniani walio amini rula Yetu ni Quran ya Muhammad SAW hayo yakuoteza sijui Yemen sijui nini ni katika kujifanya mnaweza kututoa relini kwani hata wamarekani wanayo Furqan yao walijitungia Ina Aya 77 kwahio huna jipya na hauna hoja.

Kitabu hiki hakina Shaka yoyote kama tulivyoambiwa katika Quran 2,2 hivyo muislam yoyote mwenye Iman hawezi kufikia Shaka kitabu hiki Shaka wamebaki nazo makafiri na msingi wa Imani yetu ukitilia Shaka Quran wew sio muislam umesharitadi. Hizi Kurasa za Quran zipo katka tablet yake mwenyezi Mungu Jibril ninmuaminifu na ni bosi wa malaika wote hivyo hakuna muislam kamili utamletea Shaka katika moyo wake labda awe hajasoma
 
Quran imeshuka katika hurf 7
Ina Qiraat zaidi ya 10
Lakini haijawahi kubadilika maana yake, imebaki kuwa safi iliyohifadhiwa na Allah kwa walimwengu.
Ndio maana kila mwenye kusoma kisomo cha Quran kilichothobiti hubaki na maana ile ile iliyokusudiwa. Aya njoo kafiri unayeokoteza vitu usivyovijua useme lingine. Au nikutajie na qiraat za quran.
Hafs na Warsh ndo qiraat zilizosambaa sana duniani na wengi hutumia Hafs kama qiraa kikuu. Hata kuchoma walichoma nakala ambazo zilikua zikitamka au kuandika maneno ambayo yanaondoa kabisa maana kulingana na madhaifu ya watamkaji, yaani mfano neno "sumu" likosewe kwa madhaifu ya mtamkaji hadi lifikie kutamkwa "simu" hili lazima liondolewe ili kurudisha maana halisi ya neno iliyokusudiwa.
Aliyekuokotea maneno mwambie akueleweshe vizuri maana hizo ni hoja dhaifu sana, Dunia inahaha kila siku kubadilisha maana ya maneno katika Quran lakini Quran iko moyoni mwa waumini ukitamka neno lolote lisilokuwepo utapigwa STOOOOOOPP 🚫🚫🚫🚫
Ni kina nani hao wanahangaika kubadilisha maneno ya quran?

Wanataka kubadilisha ili iweje?
 
Back
Top Bottom