Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Sisi tuamini Mungu yesu sio Mungu ,labda kwa imani yakoUnamaanisha hutakiwi kumuamini Nabii Issa kwa sababu amekuja baada ya Mtume Muhhamad?
Paulo si mwanafunzi...Hakuna muislam anakubaliana hili.kwa kutafiti ama kuambiwa kama hivi.
hakuna mkristo mwenye mashaka ama anayebisha jambo hili,linajulikana kabisa,
Sababu hata paulo si ktk wanafunzi 12 wa Yesu.
Na ndiye mtu wa kwanza kukusanya wakristo.
Mbona nishakutajia sura nzima unaitwa Radd. Radd ina maana ya radi, hizi za wakati wa mvua.Umeona ni namna gani Msaafu ulivyokuwa sio wa kuaminika?
Wewe kama muislamu hukupaswa kuniambia niende google.
Ilipasa unipe kifungu kutoka msaafuni then mimi niusome.
Hongera!!
Naona umeyumbishwa na mitazamo ya Atheist.Hakuna anayejua nani haswa kaandika vitabu vinne vikuu vya biblia. Vitabu vilipewa majina hayo ilitu kuvipa authority lakini wao si walioandika vitabu hivyo.
Jitahidi kuresearch kidogo: Anza hapo 👇🏼
Who wrote the Gospels
Kama sisi tunavyomuona MO ni nabii titto wa kipindi chake.Sisi tuamini Mungu yesu sio Mungu ,labda kwa imani yako
Kama yesu ni Mungu kama unavyoamini basi Mungu wao sio wa Mussa.
Kwaiyo mwenye mamlaka ya kupewa ufunuo wa maandiko ni MUDI peke yake?Kuna mtu aliulizwa hili swali akajibu,yeye anaamini ule ni ufunuo wa Mungu alipewa mtume.
Ni MO peke yake,na wayahudi walikwenda kusikia story zake wakamzingua kwamba aache utapeli,alimind sana akatangaza vita nao.Kwaiyo mwenye mamlaka ya kupewa ufunuo wa maandiko ni MUDI peke yake?
Kwaiyo Mungu alishindwa Kuwafunulia wengine?
Hebu mwambie akupe jawabu.
Usisahau pia kutakuwa na "Eternal Erection"mimi pale ananichekesha ni anaposema, huko ahera watapewa mabikra 72 wawe wanafanya nao ngono, na hata akimfanya mapenzi huyo bikra, bikra yake haiondoki, hivi kweli mtu anakuja kukuambia hivyo halafu usishtuke kua anakudanganya? na zaidi ya yote, alipenda sana ngono na hasa ngono za watoto (pedophile) ndio maana alioa hata mtoto wa miaka 6 akazini naye akiwa na miaka 9. kutoa bikra kwake ilikuwa kitu cha muhimu mno. sasa kwa ahera, inakuwaje uingize uume kwenye uke wa mwanamke bikra, umfanye ngono hadi ukojoe, halafu abaki na bikra? kwanini mnadanganywa?
😅😅😅😅 Quran imekua injili ya Yesu tena? Maulamaa wa kiislamu hajawahi toa kauli kama hii,dadavua vizuri shehe. Inakuaje injili ya Yesu wakati haijui alizaliwa wapi,haina hata unabii wa kuelezea mpaka anazaliwa ni kwa sababu gani? Mnamwita ISa bin Mariam masih kalini hamjui ni masih wa nini,nani.Naam hadithi zipo ambazo hazijachakachuliwa. Lkn kuna ayah Chungu mzima zinazojitosheleza kuhusu masjid aqsa.
Kuhusu injili na kwakuwa uko muwazi sana na unathitisha hujawaji kuiona injili.
Nikupe ushauri wa bure ndugu yangu
Endelea kuwa na moyo huo ulio huru.
kwani Quran ni injili ile ya yesu uliyokamilishwa.
Kumbuka manabii wote walikuja na sheria moja. Na hawakuja kupingana bali kukamilisha.
Sijui kama umenielewa
😁😁😁Kama sisi tunavyomuona MO ni nabii titto wa kipindi chake.
unaongea kweli. Unasema kwa mafundisho uliyonayo. Na hapo ndipo kuna fumbo tunapaswa kulitegua.😅😅😅😅 Quran imekua injili ya Yesu tena? Maulamaa wa kiislamu hajawahi toa kauli kama hii,dadavua vizuri shehe. Inakuaje injili ya Yesu wakati haijui alizaliwa wapi,haina hata unabii wa kuelezea mpaka anazaliwa ni kwa sababu gani? Mnamwita ISa bin Mariam masih kalini hamjui ni masih wa nini,nani.
Habari za nabii kupewa kitabu ni zenu waislam,kwetu wakristo manabii na mitume walikuja kwa kazi ya kufundisha,kuonya na kuongoza watu katika zama zao. Yesu hakuacha kitabu bali rekodi za mafundisho na matendo yake. Imani ilianza kwanza wakati yupo hapa duniani kisha maandiko yakafuata. Issa aliyepewa kitabu sio Yesu tunaemuamini wakristo.
1 Wakorintho 9:2 NENHabari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....
Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.
Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.
Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Kasema na nani? Au na Yule nabii aliyejizolea watu kwa kumpinga kristu mwana wa Mungu aliyefufuka ktk wafu? Ni mmoja aliyeyashinda mauti, si mudi wala nani bali yesu krtistu. Biblia takatifu inasena, aliumba binadamu kwa mfanowe. Achana na mzushi mwingineExactly Allah is beyond imagination!!!
Ndo maana nazid kukusisitiza hapo kwenye elimu mbona ni simple tu, Yeye ndo kasema hafanani na kitu chochote why ubishe?
Hivi ka mwamba Mwamedi kalikuja miaka 600 baada ya Yesu?Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....
Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.
Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.
Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Hoja yako ni nini?1 Wakorintho 9:2 NEN
Hata kama mimi si mtume kwa wengine, hakika mimi ni mtume kwenu, kwa maana ninyi ni mhuri wa utume wangu katika Bwana.
NEN: Neno: Bibilia Takatifu
Mtu mmoja alipomwita Yesu “Mwalimu Mwema,” alijibu “Kwa nini unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu mmoja.’’ [Marko 10:18]
Katika kisa kingine anasema: “Siwezi kufanya lolote peke yangu. Chochote ninachosikia, Ninahukumu na hukumu yangu ni ya haki. sitafuti mapenzi yangu mwenyewe bali mapenzi yake aliyenituma.” [Yohana 5:30]
Yesu anazungumza juu ya Mungu kama kiumbe tofauti kwake mwenyewe: Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu. [Yohana 20:17]
Katika mstari huu anathibitisha kwamba alitumwa na Mungu: Huu ndio uzima wa milele: Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. [Yohana 17:3]
Iwapo Yesu angekuwa Mungu angewaambia watu wamwabudu, lakini alifanya kinyume na akakataa yeyote anayemwabudu: Nao wanani abudu bure [Mathayo 15:9].
“Lakini hakuna ajuaye siku hiyo wala saa hiyo itakuja lini, wala malaika wa mbinguni wala si Mwana. Baba pekee ndiye anayejua.” [Mathayo 24:36]
Mungu yuko huru na hahitaji usingizi, chakula au maji. Yesu hata hivyo alikula, akanywa, alilala na kumtegemea Mungu: Kama vile Baba aliye hai alivyonituma, nami ninaishi kwa ajili ya Baba. [Yohana 6:57]. Ishara nyingine ya utegemezi wa Yesu kwa Mungu ni kwamba alimwomba Mungu: akaenda mbele kidogo, yeye (Yesu) akaanguka kifudifudi na kuomba [Mathayo 26:39]. Hii inaonyesha kwamba Yesu mwenyewe alitafuta msaada kutoka kwa Mungu. Mungu, kwa kuwa yeye anajibu maombi haina haja ya kuomba kwa mtu yeyote. Pia, Yesu alisema: Ninaenda kwa Baba, kwa sababu Baba ni mkuu kuliko mimi. [Yohana 14:28].
Pia Biblia inamwita Yesu Nabii [Mathayo 21:10-11], kwa hiyo Yesu angewezaje kuwa Mungu na kuwa Nabii wa Mungu kwa wakati mmoja? Hiyo haitakuwa na maana.
Zaidi ya hayo Biblia inatufahamisha kwamba Mungu habadiliki: Mimi Bwana sibadiliki. [Malaki 3:6:]. Yesu hata hivyo alipitia mabadiliko mengi katika maisha yake kama vile umri, urefu, uzito n.k.
Quran Surah ya 19 Juzuu ya 16 inaeleza vizuri.Mohamed alimuona Yesu? Quran ina mix mafaili kwamba mama yake Yesu alikua dada wa Aron msaidizi wa Musa. Quran haisemi Yesu alizaliwa wapi,alitokea kabila gani la Israel. Kwenye Quran haijulikani Yesu alikua na wanafunzi wangapi,wala majina yao .