Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

Unamaanisha hutakiwi kumuamini Nabii Issa kwa sababu amekuja baada ya Mtume Muhhamad?
Sisi tuamini Mungu yesu sio Mungu ,labda kwa imani yako

Kama yesu ni Mungu kama unavyoamini basi Mungu wao sio wa Mussa.
 
Mbona umemuamini Adam na ni wa mbali sanaaaaaaaaaaaaaaaa na Yesu!
Habari zake naziamini kwasababu hazikuwa inspire na binadamu wa kawaida. Habari zake zimekuwa inspirred na Roho Mtakatifu kupitia Manabii.
 
Hakuna muislam anakubaliana hili.kwa kutafiti ama kuambiwa kama hivi.

hakuna mkristo mwenye mashaka ama anayebisha jambo hili,linajulikana kabisa,
Sababu hata paulo si ktk wanafunzi 12 wa Yesu.
Na ndiye mtu wa kwanza kukusanya wakristo.
Paulo si mwanafunzi...

Hata Luka Pia..
Marco pia..
KMa unajua Unandishi wa Biblia Utagundua Marco ndo Source Q ya vitabu vingine vya Synoptic Gospel wakati yohana ni Non synoptic Gospel..

Kama Unafatilia utajua kuwa Yohana na Marco ni mtu mmoja na marco alikuwa ni mwandishi wa Paulo na sio Mwingine..

So Hakuna kitabu hata kimoja cha agano Jipya kitaclaim Kuwa na authentification Vyote ni Pseudepigrapha
 
Umeona ni namna gani Msaafu ulivyokuwa sio wa kuaminika?

Wewe kama muislamu hukupaswa kuniambia niende google.

Ilipasa unipe kifungu kutoka msaafuni then mimi niusome.

Hongera!!
Mbona nishakutajia sura nzima unaitwa Radd. Radd ina maana ya radi, hizi za wakati wa mvua.

Unajua jinsi inavyokuwa formmed.

Kupitia Quran yaweza kukuongoza kufanya tafiti.

Ktk surat azumar ayah 6 quran inaeleza hatua za mtoto anavyoumbwa ndani ya tumbo.
 
Hakuna anayejua nani haswa kaandika vitabu vinne vikuu vya biblia. Vitabu vilipewa majina hayo ilitu kuvipa authority lakini wao si walioandika vitabu hivyo.

Jitahidi kuresearch kidogo: Anza hapo 👇🏼

Who wrote the Gospels
Naona umeyumbishwa na mitazamo ya Atheist.

Ok labda nianzie hapa ambapo ni rahisi sana kwako. Let us assume Gospel imeandikwa na the third eyewitness au the seventh eyewitness.

yupi wa kumuamini kati ya hao na yule aliyekuja kuzaliwa miaka 600 baada ya nyakati zile?
 
Kuna mtu aliulizwa hili swali akajibu,yeye anaamini ule ni ufunuo wa Mungu alipewa mtume.
Kwaiyo mwenye mamlaka ya kupewa ufunuo wa maandiko ni MUDI peke yake?

Kwaiyo Mungu alishindwa Kuwafunulia wengine?

Hebu mwambie akupe jawabu.
 
Kwaiyo mwenye mamlaka ya kupewa ufunuo wa maandiko ni MUDI peke yake?

Kwaiyo Mungu alishindwa Kuwafunulia wengine?

Hebu mwambie akupe jawabu.
Ni MO peke yake,na wayahudi walikwenda kusikia story zake wakamzingua kwamba aache utapeli,alimind sana akatangaza vita nao.

Mtu anafanya ushenzi jioni,watu wakihoji kesho anasema kapewa wahyi pangoni kuhusu swala hilo,wanakuwa wapole.
 
mimi pale ananichekesha ni anaposema, huko ahera watapewa mabikra 72 wawe wanafanya nao ngono, na hata akimfanya mapenzi huyo bikra, bikra yake haiondoki, hivi kweli mtu anakuja kukuambia hivyo halafu usishtuke kua anakudanganya? na zaidi ya yote, alipenda sana ngono na hasa ngono za watoto (pedophile) ndio maana alioa hata mtoto wa miaka 6 akazini naye akiwa na miaka 9. kutoa bikra kwake ilikuwa kitu cha muhimu mno. sasa kwa ahera, inakuwaje uingize uume kwenye uke wa mwanamke bikra, umfanye ngono hadi ukojoe, halafu abaki na bikra? kwanini mnadanganywa?
Usisahau pia kutakuwa na "Eternal Erection"
 
Dini ya mwezi wa ramadhani.
Kwa sasa kila mtu mtakatifu,wacha wafungue
 
Mtoa mada huna ufahamu sahihi zaidi umejiandikia ujinga wako. Luka hakuwahi kumuona Yesu na hakuwahi kuonana naye acha ujinga wako
 
Naam hadithi zipo ambazo hazijachakachuliwa. Lkn kuna ayah Chungu mzima zinazojitosheleza kuhusu masjid aqsa.

Kuhusu injili na kwakuwa uko muwazi sana na unathitisha hujawaji kuiona injili.

Nikupe ushauri wa bure ndugu yangu

Endelea kuwa na moyo huo ulio huru.

kwani Quran ni injili ile ya yesu uliyokamilishwa.

Kumbuka manabii wote walikuja na sheria moja. Na hawakuja kupingana bali kukamilisha.

Sijui kama umenielewa
😅😅😅😅 Quran imekua injili ya Yesu tena? Maulamaa wa kiislamu hajawahi toa kauli kama hii,dadavua vizuri shehe. Inakuaje injili ya Yesu wakati haijui alizaliwa wapi,haina hata unabii wa kuelezea mpaka anazaliwa ni kwa sababu gani? Mnamwita ISa bin Mariam masih kalini hamjui ni masih wa nini,nani.

Habari za nabii kupewa kitabu ni zenu waislam,kwetu wakristo manabii na mitume walikuja kwa kazi ya kufundisha,kuonya na kuongoza watu katika zama zao. Yesu hakuacha kitabu bali rekodi za mafundisho na matendo yake. Imani ilianza kwanza wakati yupo hapa duniani kisha maandiko yakafuata. Issa aliyepewa kitabu sio Yesu tunaemuamini wakristo.
 
unaongea kweli. Unasema kwa mafundisho uliyonayo. Na hapo ndipo kuna fumbo tunapaswa kulitegua.

Kwani mafundisho uliyofinyangwa kwayo mafundisho amvayo misingi yake ni disinformation.

Elewa mitume yote ilikuja na amri moja, neno moja.

Kukupeleka mbinguni haikuwa kazi yao kuu, waka kuleta habari njema za uponyaji.

Wali walikuja kuleta sheria za Mungu zitawale huku duniani.

Hivyo zaburi sawa na taurati sawa na injili sawa na Quran.

lkn vyote hivi haviko sawa na biblia.

Yesu na Muhammad walipata kusema sikuja kutengeza taurati wala zaburi bali kutimiliza.

Saulo mwanzilishi mkuu wa kitabu cha biblia ilianza mafundisho yake mapya ya utatu na uungu wa yesu.

Akaanza kwa mayahudi waliokuwa mwakilishi italy. Prof sauli akasongwa sana na lile neno, akiwashuhudia Wayahudi ya kwamba Yesu ni mungu.

wakapinga.

prof akanda sirya watu wa Mataifa..

huko chacha wakamtimua.

anarudi Itali. Na kwa kwa mara ya kwanza ni baada ya yesu kuondoka duniani. Ukristo ukianza huko antiokia.

jiulize kwanini ukristo haukuanza jerusalem wakati wa uhai wa yesu.

Kwann yesu nakuwaita wanafunzi wake wakristo.

Au kuwaambia kuweni wakristo
 
Habari wana theolojia.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....

Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.

Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.

Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
1 Wakorintho 9:2 NEN
Hata kama mimi si mtume kwa wengine, hakika mimi ni mtume kwenu, kwa maana ninyi ni mhuri wa utume wangu katika Bwana.

NEN: Neno: Bibilia Takatifu

Mtu mmoja alipomwita Yesu “Mwalimu Mwema,” alijibu “Kwa nini unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu mmoja.’’ [Marko 10:18]

Katika kisa kingine anasema: “Siwezi kufanya lolote peke yangu. Chochote ninachosikia, Ninahukumu na hukumu yangu ni ya haki. sitafuti mapenzi yangu mwenyewe bali mapenzi yake aliyenituma.” [Yohana 5:30]

Yesu anazungumza juu ya Mungu kama kiumbe tofauti kwake mwenyewe: Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu. [Yohana 20:17]
Katika mstari huu anathibitisha kwamba alitumwa na Mungu: Huu ndio uzima wa milele: Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. [Yohana 17:3]

Iwapo Yesu angekuwa Mungu angewaambia watu wamwabudu, lakini alifanya kinyume na akakataa yeyote anayemwabudu: Nao wanani abudu bure [Mathayo 15:9].

“Lakini hakuna ajuaye siku hiyo wala saa hiyo itakuja lini, wala malaika wa mbinguni wala si Mwana. Baba pekee ndiye anayejua.” [Mathayo 24:36]

Mungu yuko huru na hahitaji usingizi, chakula au maji. Yesu hata hivyo alikula, akanywa, alilala na kumtegemea Mungu: Kama vile Baba aliye hai alivyonituma, nami ninaishi kwa ajili ya Baba. [Yohana 6:57]. Ishara nyingine ya utegemezi wa Yesu kwa Mungu ni kwamba alimwomba Mungu: akaenda mbele kidogo, yeye (Yesu) akaanguka kifudifudi na kuomba [Mathayo 26:39]. Hii inaonyesha kwamba Yesu mwenyewe alitafuta msaada kutoka kwa Mungu. Mungu, kwa kuwa yeye anajibu maombi haina haja ya kuomba kwa mtu yeyote. Pia, Yesu alisema: Ninaenda kwa Baba, kwa sababu Baba ni mkuu kuliko mimi. [Yohana 14:28].

Pia Biblia inamwita Yesu Nabii [Mathayo 21:10-11], kwa hiyo Yesu angewezaje kuwa Mungu na kuwa Nabii wa Mungu kwa wakati mmoja? Hiyo haitakuwa na maana.

Zaidi ya hayo Biblia inatufahamisha kwamba Mungu habadiliki: Mimi Bwana sibadiliki. [Malaki 3:6:]. Yesu hata hivyo alipitia mabadiliko mengi katika maisha yake kama vile umri, urefu, uzito n.k.
 
Exactly Allah is beyond imagination!!!
Ndo maana nazid kukusisitiza hapo kwenye elimu mbona ni simple tu, Yeye ndo kasema hafanani na kitu chochote why ubishe?
Kasema na nani? Au na Yule nabii aliyejizolea watu kwa kumpinga kristu mwana wa Mungu aliyefufuka ktk wafu? Ni mmoja aliyeyashinda mauti, si mudi wala nani bali yesu krtistu. Biblia takatifu inasena, aliumba binadamu kwa mfanowe. Achana na mzushi mwingine
 
Habari wana theolojia.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....

Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.

Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.

Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Hivi ka mwamba Mwamedi kalikuja miaka 600 baada ya Yesu?
 
1 Wakorintho 9:2 NEN
Hata kama mimi si mtume kwa wengine, hakika mimi ni mtume kwenu, kwa maana ninyi ni mhuri wa utume wangu katika Bwana.

NEN: Neno: Bibilia Takatifu

Mtu mmoja alipomwita Yesu “Mwalimu Mwema,” alijibu “Kwa nini unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu mmoja.’’ [Marko 10:18]

Katika kisa kingine anasema: “Siwezi kufanya lolote peke yangu. Chochote ninachosikia, Ninahukumu na hukumu yangu ni ya haki. sitafuti mapenzi yangu mwenyewe bali mapenzi yake aliyenituma.” [Yohana 5:30]

Yesu anazungumza juu ya Mungu kama kiumbe tofauti kwake mwenyewe: Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu. [Yohana 20:17]
Katika mstari huu anathibitisha kwamba alitumwa na Mungu: Huu ndio uzima wa milele: Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. [Yohana 17:3]

Iwapo Yesu angekuwa Mungu angewaambia watu wamwabudu, lakini alifanya kinyume na akakataa yeyote anayemwabudu: Nao wanani abudu bure [Mathayo 15:9].

“Lakini hakuna ajuaye siku hiyo wala saa hiyo itakuja lini, wala malaika wa mbinguni wala si Mwana. Baba pekee ndiye anayejua.” [Mathayo 24:36]

Mungu yuko huru na hahitaji usingizi, chakula au maji. Yesu hata hivyo alikula, akanywa, alilala na kumtegemea Mungu: Kama vile Baba aliye hai alivyonituma, nami ninaishi kwa ajili ya Baba. [Yohana 6:57]. Ishara nyingine ya utegemezi wa Yesu kwa Mungu ni kwamba alimwomba Mungu: akaenda mbele kidogo, yeye (Yesu) akaanguka kifudifudi na kuomba [Mathayo 26:39]. Hii inaonyesha kwamba Yesu mwenyewe alitafuta msaada kutoka kwa Mungu. Mungu, kwa kuwa yeye anajibu maombi haina haja ya kuomba kwa mtu yeyote. Pia, Yesu alisema: Ninaenda kwa Baba, kwa sababu Baba ni mkuu kuliko mimi. [Yohana 14:28].

Pia Biblia inamwita Yesu Nabii [Mathayo 21:10-11], kwa hiyo Yesu angewezaje kuwa Mungu na kuwa Nabii wa Mungu kwa wakati mmoja? Hiyo haitakuwa na maana.

Zaidi ya hayo Biblia inatufahamisha kwamba Mungu habadiliki: Mimi Bwana sibadiliki. [Malaki 3:6:]. Yesu hata hivyo alipitia mabadiliko mengi katika maisha yake kama vile umri, urefu, uzito n.k.
Hoja yako ni nini?
 
Mohamed alimuona Yesu? Quran ina mix mafaili kwamba mama yake Yesu alikua dada wa Aron msaidizi wa Musa. Quran haisemi Yesu alizaliwa wapi,alitokea kabila gani la Israel. Kwenye Quran haijulikani Yesu alikua na wanafunzi wangapi,wala majina yao .
Quran Surah ya 19 Juzuu ya 16 inaeleza vizuri.

Ni hivi ndugu zanguni sisi waislam tulivyo ni kuwa ili tuwe Muumini wa kweli Yapasa kuamini Nguzo Takribani 6 za Imani

1.Kumuamini Allah
2:Kuamini Malaika wake
3:Kuamini Vitabu vyake
4:Kuamini mitume yake
5:Kuamini siku ya mwisho
6:Kuamini Qadar zake.

NItazungumzia kidogo no 3 na 4 hapo juu.
Uislam unatuka Waislamu kuamini Vitabu vitakatifu ambavyo ni;-Suhufi(Ibrahimu AS $Mussa AS)
Tourati(MUSSA AS)
Zaburi (Daud AS)
Injili (Issa AS)
Quran(Muhammad SAW)

NO 4 KUAMINI MITUME YAKE
Ikiwa hapo nimeweka Vitabu tunavyo paswa kuviamini,kuvilinda basi pia yapasa tuwaamini wale walio tuletea Vitabu hivyo ya kuwa ni wajumbe wa kweli wa Mwenyezi Mungu,Mitume imeorodheshwa Takribani 25 yangu kuumbwa kwa Baba yetu ADAM AS ila pia mitume ipo mingi sana lakini mtume wa mwisho ambae ameletwa kwa ajili ya Ulimwengu wote basi ni Mtume Muhammad SAW ya kuwa amekuja kukamilisha maisha ya binadamu wote,Nabii Issa AS alitumwa kwa wayahudi,Musa AS alitumwa kwa ajili ya Firaun na WA Ban ISRAIL Hivyo hivyo Ibrahim AS alitumwa kwa ajili ya sehemu fulani pia Daud AS.

natumaini kwa hayo machache nimeeleweka
Allah anisamehe mimi moja mdhaifu pale nilipo kosea.

ALLAH ANAJUA ZAIDI.
 
Back
Top Bottom