Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

Kati
Kati ya Jibril na Muhammad nani aliyetumwa?
 
Mkuu hili nalijua ndo maana Nikaandika #103 na 63..
Hakuna anayejua walioandika Biblia..
Ninaweza kufanya Textual.Analysis kutumia Bible pia na Ukaona wanaosemwa wameandika Actually hawakuandika
Duh!....Sasa kina nani wameandika kama sio hao waandishi?....
 
Wewe umejuaje kua usemayo ni kweli??
 
Duh!....Sasa kina nani wameandika kama sio hao waandishi?....
Mkuu kuna vitu vina siri Nyingi sana Duniani..
Just Imagine Kitabu kinachosemekana kimeandikwa na Musa Kinaelezea Kifo cha Musa..
Kitabu kinachosemwa Kimeandikwa na Musa kinaelezea Kipindi cha Ufalme ambacho Musa mwenyewe hakukijua wala Kuishi kipindi hicho..

Ukifanya Course ya bible OT na NT Textual Analysis bila kuwa na Upande wa Kujiweka Utagundua Tumedanganywa sana..
But anywei dini Ni bora duniani kwa ajili ya kuturahisishia Mambo yetu
 
Inawezekana vitabu hivyo kuandikwa na wahusika tofauti tofauti kwa nyakati tofauti kabisa ila waandishi wa mwanzo wakatajwa wao.
 
TAFUTA PESA MWANANGU.
 
Siku hizi hata kina john na kina nancy wote wanaalikwa futari na wanafuturu pamoja
Hivyohivyo wakina ramadhani na kina swaumu wote wanaalikwa pasaka na kufurahi wanafurahi pamoja
Hayo mengine tuwaachie wao
 
Nyie dini yenu imekuja baada ya Yesu kuzaliwa ina maana hapo ndio Mungu wenu kaanza kuwepo Duniani.
Kabla ya Mohammed uislam ulikuwepo?
Kama ndio, je ulitumia kitabu gani?
 
Sasa mbona hao wa kabla ya yesu wanahubiri kitu kimoja na yule aliyekuja baada yake alafu nyie kwa upotevu wenu mnamuhubiria yesu kitu ingine kabisa.....
Kwa hakika yesu akirudi atastaajabu sanaaa
Kama Mohammed atakavyoshangaa mlivyopotea njia tangu amewaacha.
 
Kwahiyo we mwenye kichwa kama senene umeumbwa kwa mfano wa Mungu??
Basi imani yako na wahindu wanaoabudu ng'ombe iko sawa, na ndo tatizo la kufananisha Mungu na vitu vingine, kila mtu atakuja na kile anachofananishia ndo kiwe Mungu wake.
Back to you, kwahiyo wanadamu wote ni Miungu kwa kuwa tumeumbwa kwa mfano wake eti mjomba
 
Sasa na sisi tunaomuamini Mwamposa unatuambiaje?
Halafu mkuu hakuna ushahidi wowote wa kikanisa kuwa Mathayo, Luka na Marko waliandika hizo Injili zao. Huo ndio ukweli.
 
Kama Mohammed atakavyoshangaa mlivyopotea njia tangu amewaacha.
Nikupe siri usiyoijua,
Kwenye quran mayahudi wameainishwa kama watu walioghadhabikiwa na Mungu kwa kuwa wanajua kila kitu ila wameasi tu kwa kiburi.
Alafu kuna nyie ndugu zetu mnaitwa Waliopotea coz nyie ni majuha kuliko yaan mmekutana na kitu hamjui kinapoanzia wala kinapoishia mmekibeba tu 😢😢😢😢
Kiufupi nyie Mungu amewaita ni VILAZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…