chillo clan conscious
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 850
- 1,567
Sina hoja ila nimejibu Hoja ya mtoa Hoja .Hoja yako ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hoja ila nimejibu Hoja ya mtoa Hoja .Hoja yako ni nini?
Duh!.... Leo nimejifunza jambo jipya.Hakuna anayejua nani haswa kaandika vitabu vinne vikuu vya biblia. Vitabu vilipewa majina hayo ilitu kuvipa authority lakini wao si walioandika vitabu hivyo.
Jitahidi kuresearch kidogo: Anza hapo 👇🏼
Who wrote the Gospels
Mkuu hili nalijua ndo maana Nikaandika #103 na 63..
Katini hivi duniani kote watawala hawako tayari kukueleza ukweli wa mambo.
Ukweli hufichwa.
Ktk hao ukiiwataja hakuna aliyemuona yesu.
Aliyemuona yesu ambae ndie mastermind wa utawala wa wa rumi ni Prof Sauli.
Kwanza alificha kusema yesu alikuja kupingana na utawala wa warumi na alishindwa.
Hakuja kuongea kuwapeleka watu mbinguni pekee, bali alikuja kuuleta watu utawala wa mbinguni waishi kwayo hapa duniani.
Na huyu aliyekuja miaka 600 badae nae alikuja kwa lengo hilo. Kupinga utawala wa kirumi. Na kutaka bali alikuja kuuletea watu utawala wa mbinguni waishi kwayo hapa duniani.
Na utawala huondio ule ubaothibiti uovu na kuhamasisha uadilifu.
Huwezi kufundishwa ukweli huu.
Sasa moja ya mafundisho ya bandia ya Prof alicia Mungu nwenyewe ndie huyu ye
Kati ya Jibril na Muhammad nani aliyetumwa?NAKUSHAURI tofauti na mafundisho, utumie pia akili yako mwenyewe Mungu aliyokupa bure kutafakari haya,
Mungu, aliumba Binadamu, Binadam wakamkosea Mungu, Baada ya Kumkosea Mungu wakampiga hadi akafariki, Mungu akakubali kupigwa hadi kufariki ili awasamehe binadamu (alio waumba)?
baada ya siku Tatu Mungu akafufuka, akanyakuliwa kwenda kwa Mungu?
Unayo nafasi ya kutafakari haya maneno kwa kutumia akili yako (sio ya kuambiwa) na kujua usahihi wa njia uliyo amua kuifuata....ili usije kujutia siku za mwisho (day of judgement!)
Duh!....Sasa kina nani wameandika kama sio hao waandishi?....Mkuu hili nalijua ndo maana Nikaandika #103 na 63..
Hakuna anayejua walioandika Biblia..
Ninaweza kufanya Textual.Analysis kutumia Bible pia na Ukaona wanaosemwa wameandika Actually hawakuandika
Wewe umejuaje kua usemayo ni kweli??ni hivi duniani kote watawala hawako tayari kukueleza ukweli wa mambo.
Ukweli hufichwa.
Ktk hao ukiiwataja hakuna aliyemuona yesu.
Aliyemuona yesu ambae ndie mastermind wa utawala wa wa rumi ni Prof Sauli.
Kwanza alificha kusema yesu alikuja kupingana na utawala wa warumi na alishindwa.
Hakuja kuongea kuwapeleka watu mbinguni pekee, bali alikuja kuuleta watu utawala wa mbinguni waishi kwayo hapa duniani.
Na huyu aliyekuja miaka 600 badae nae alikuja kwa lengo hilo. Kupinga utawala wa kirumi. Na kutaka bali alikuja kuuletea watu utawala wa mbinguni waishi kwayo hapa duniani.
Na utawala huondio ule ubaothibiti uovu na kuhamasisha uadilifu.
Huwezi kufundishwa ukweli huu.
Sasa moja ya mafundisho ya bandia ya Prof alicia Mungu nwenyewe ndie huyu yesu.
Ni disimformation
Mkuu kuna vitu vina siri Nyingi sana Duniani..Duh!....Sasa kina nani wameandika kama sio hao waandishi?....
Inawezekana vitabu hivyo kuandikwa na wahusika tofauti tofauti kwa nyakati tofauti kabisa ila waandishi wa mwanzo wakatajwa wao.Mkuu kuna vitu vina siri Nyingi sana Duniani..
Just Imagine Kitabu kinachosemekana kimeandikwa na Musa Kinaelezea Kifo cha Musa..
Kitabu kinachosemwa Kimeandikwa na Musa kinaelezea Kipindi cha Ufalme ambacho Musa mwenyewe hakukijua wala Kuishi kipindi hicho..
Ukifanya Course ya bible OT na NT Textual Analysis bila kuwa na Upande wa Kujiweka Utagundua Tumedanganywa sana..
But anywei dini Ni bora duniani kwa ajili ya kuturahisishia Mambo yetu
Ungekua na akili kubwa usingekua unamtegemea/ unamuamini mtu ambaye hujawahi hata kumuona zaidi ya kusoma hadithi zake kwenye vitabu.Hili swali ni kwa ajili ya watu wenye akili kubwa.
Rudi MMU.
TAFUTA PESA MWANANGU.Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....
Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.
Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.
Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Kabla ya Mohammed uislam ulikuwepo?Nyie dini yenu imekuja baada ya Yesu kuzaliwa ina maana hapo ndio Mungu wenu kaanza kuwepo Duniani.
NdioKabla ya Mohammed uislam ulikuwepo?
Kama ndio, je ulitumia kitabu gani?
Kama Mohammed atakavyoshangaa mlivyopotea njia tangu amewaacha.Sasa mbona hao wa kabla ya yesu wanahubiri kitu kimoja na yule aliyekuja baada yake alafu nyie kwa upotevu wenu mnamuhubiria yesu kitu ingine kabisa.....
Kwa hakika yesu akirudi atastaajabu sanaaa
Ndio nn?Ndio
Kwa hiyo neno "ndio " hujui?Ndio nn?
We nabii gani aliyeeleza habari za AdamHabari zake naziamini kwasababu hazikuwa inspire na binadamu wa kawaida. Habari zake zimekuwa inspirred na Roho Mtakatifu kupitia Manabii.
Kwahiyo we mwenye kichwa kama senene umeumbwa kwa mfano wa Mungu??Kasema na nani? Au na Yule nabii aliyejizolea watu kwa kumpinga kristu mwana wa Mungu aliyefufuka ktk wafu? Ni mmoja aliyeyashinda mauti, si mudi wala nani bali yesu krtistu. Biblia takatifu inasena, aliumba binadamu kwa mfanowe. Achana na mzushi mwingine
Habari wana theolojia.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....
Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.
Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.
Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.
Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Nikupe siri usiyoijua,Kama Mohammed atakavyoshangaa mlivyopotea njia tangu amewaacha.