Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

Yaan kafiri unajifanya unajua sanaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata ukiniita kafiri haibadilishi ukweli,shida ni huko madrassa mnakaririshwa maarifa yasiyo sahihi mara nyingine. Mfano ni ishu ya Quran ni ile ile toka iko mbinguni mpaka leo,haijawahi kubadilika hata herufi wala nuktaπŸ˜‚πŸ˜‚. Kuanzia leo ujue sio kweli na ukitaka data nitakuletea kwa moyo mweupe kabisa .
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Aisee ,so details za Issa bin Mariam kuhusu asili yake, aliko zaliwa pamoja na unabii unaotabiri kuja kwake ni irrelevant!! Ila details za yeye kuumba ndege kwa udongo na kumpulizia pumzi akawa hai kama Allah alivyoumba binadamu wa kwanza ni relevant?

Story ya Yesu imekua hijacked na Quran lakini kwa bahati mbaya hijacker hajafanya kazi nzuri ya kujimilikisha hii story. Kwetu wakristo unabii wa kuja kwa Yesu unaanzia kwa Adam na Eve mpaka anakuja kuzaliwa na kufa.

Hakuna details kuhusu Masih ambayo ni irrelevant,Quran inasema uongo kuhusu asili wazazi wa Issa/Yesu (Mariam wa kipindi cha musa imempa umama wa Issa/Yesu😊).Inasema uongo kuhusu Yesu kutokufa msalabani na kufufuka,ila imejiongeza kuhusu Allah kumchukua huyu Issa/Yesu kwake huko peponi.

Ishu ya Mariamu kuwa dada wa Harun ni undugu wa Kiimani, maana Haruna alikuwa Kuhani kama vile Zakaria aliyemlea Mariamu alikuwa Kuhani. Wewe kwa sababu siyo mzungumzaji wa Lugha za Kisemetic ndiyo maana unashangaa lugha kama hizo, ila wao wanaelewa ikitamkwa vitu kama "brother Moses", "Mwana wa Adamu", "Mwana wa Daudi", "Baba Ibrahim" na lugha kama hizo.
 
Hii ni point dhaifu sana waislam wanaitumia kufukia kosa la story ya familia ya Issa/Yesu kwenye Quran. Musa na Issa/Yesu wana gap la miaka 1500 kati yao,udada wa Harun unakuja vipi? vimepita vizazi vingapi ndani ya hizo karne 15? Hili kosa la kwenye kisa cha Yesu ni kubwa sana mkaona mlitafutie suluhisho kwa sababu hamuwezi kufuta tukio kwenye Quran.

Kwenye Biblia ilitabiriwa masihi atatoke kwenye kabila la Yuda na Mariam anatokea kwenye kabila hilo kupitia upande wa baba yake ndipo akamzaa Yesu. Haruna alikua anatokea kabila la Lawi ambalo halikutabiriwa masihi kutokea kwao,Qurn imeishia kuchanganya mafaili dhidi ya watu wawili wanaotokea makabila tofauti na nyakati tofauti. Masihi aliahidiwa kuja kwenye Biblia ila kwenye Quran hana background story,haijulikani kazi yake hasa ni nini,kwanini aende kwa Allah kisha arudi duniani baadae aoe,afe baada ya miaka 40?
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Hata ukiniita kafiri haibadilishi ukweli,shida ni huko madrassa mnakaririshwa maarifa yasiyo sahihi mara nyingine. Mfano ni ishu ya Quran ni ile ile toka iko mbinguni mpaka leo,haijawahi kubadilika hata herufi wala nuktaπŸ˜‚πŸ˜‚. Kuanzia leo ujue sio kweli na ukitaka data nitakuletea kwa moyo mweupe kabisa .
We nani alikuaambia maneno hayo, yaani we kafiri huwez kuijua quran kuliko wenye quran wenyewe
 
Quran imeshuka katika hurf 7
Ina Qiraat zaidi ya 10
Lakini haijawahi kubadilika maana yake, imebaki kuwa safi iliyohifadhiwa na Allah kwa walimwengu.
Ndio maana kila mwenye kusoma kisomo cha Quran kilichothobiti hubaki na maana ile ile iliyokusudiwa. Aya njoo kafiri unayeokoteza vitu usivyovijua useme lingine. Au nikutajie na qiraat za quran.
Hafs na Warsh ndo qiraat zilizosambaa sana duniani na wengi hutumia Hafs kama qiraa kikuu. Hata kuchoma walichoma nakala ambazo zilikua zikitamka au kuandika maneno ambayo yanaondoa kabisa maana kulingana na madhaifu ya watamkaji, yaani mfano neno "sumu" likosewe kwa madhaifu ya mtamkaji hadi lifikie kutamkwa "simu" hili lazima liondolewe ili kurudisha maana halisi ya neno iliyokusudiwa.
Aliyekuokotea maneno mwambie akueleweshe vizuri maana hizo ni hoja dhaifu sana, Dunia inahaha kila siku kubadilisha maana ya maneno katika Quran lakini Quran iko moyoni mwa waumini ukitamka neno lolote lisilokuwepo utapigwa STOOOOOOPP 🚫🚫🚫🚫
 
Hivi unajua Sanaa manuscript (Yemen) ile Qurn kongwe kabisa iliyogunduliwa miaka ya 70 bada ya kufanyiwa research ya kutosha inaonyesha umri wake ni zaidi ya Mohamed? wakati nyie mnasema Mohamed ndiye aliyeshushiwa Quran na pia ile sio Hafs wala Warsh. Ile Quran ni kongwe kuliko Quran ya Uthman, swali hiyo Quran unayosema haijabadilika ni ipi? Uthman Quran,Sanaa,Topkapi? Topkapi Quran ina tofauti zaidi ya 2000 na hii Quran ya mwaka 1924, Wewe umehifadhi ipi kati ya hizo tatu japo zipo nyingine pia?

Topkapi Quran ina upungufu wa verse 23 kulinganisha na hii ya mwaka 1924, ni moja ya quran kongwe kabisa. Uchunguzi unaonyesha hii iliandikwa karne ya 8,je hizo verse 23 ziliongezwa na wanazuoni wa AL Azhar university? Wewe utakua umehifahi hii Quran mpya,kwanini imetofautiana na ya zamani?
 
  • Nzuri
Reactions: 511
Habari wana theolojia.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....

Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.

Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.

Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
100% correct
 
We nani alikuaambia maneno hayo, yaani we kafiri huwez kuijua quran kuliko wenye quran wenyewe
Wewe kafiri unaijulia wapi biblia? Kwani inafundishwa madrasa?
Bora uchinjwe tu kwenye hii idd watu wa mnyazi wanywe supu.
 
Unaweza

Nimeshiriki mjadala huu kwa nia aaanjema ya kubafidilishana fikra, nijifunze na kutoa kile nachokifahamu baada ya kufanyia tafiti.

Naamini kile kidogo nilichokiwakilisha chaweza kuwa ni chachu ya kutafuta ukweli zaidi ili tuwe huru.

Sina cha ziada kwass na shukran for anything
Jitahidi sana kusoma vitabu vya imani na historia zake kabla hujaanza kukosoa.
Dunia ya leo vitabu vya imani tunavisomwa kama vile vyan elimu dunia tu, sio lazima uwe wa imani hiyo.

My background includes being a theologian and a knowledge seeker.. thanks πŸ‘
 
Ae

Aelewe swali linataka nini. Mimi ninaamini amelielewa ila analikimbia. Tangu Jana ulivyouliza nikajua ameishatoa jibu
πŸ˜…πŸ˜… wangi wamekalilishwa tu. Halafu wanazani Kila mkristo hajui quran πŸ˜…
 
Hii ni point dhaifu sana waislam wanaitumia kufukia kosa la story ya familia ya Issa/Yesu kwenye Quran. Musa na Issa/Yesu wana gap la miaka 1500 kati yao,udada wa Harun unakuja vipi? vimepita vizazi vingapi ndani ya hizo karne 15? Hili kosa la kwenye kisa cha Yesu ni kubwa sana mkaona mlitafutie suluhisho kwa sababu hamuwezi kufuta tukio kwenye Quran.

Kwenye Biblia ilitabiriwa masihi atatoke kwenye kabila la Yuda na Mariam anatokea kwenye kabila hilo kupitia upande wa baba yake ndipo akamzaa Yesu. Haruna alikua anatokea kabila la Lawi ambalo halikutabiriwa masihi kutokea kwao,Qurn imeishia kuchanganya mafaili dhidi ya watu wawili wanaotokea makabila tofauti na nyakati tofauti. Masihi aliahidiwa kuja kwenye Biblia ila kwenye Quran hana background story,haijulikani kazi yake hasa ni nini,kwanini aende kwa Allah kisha arudi duniani baadae aoe,afe baada ya miaka 40?

Wewe ndo unataka kulazimisha tafsiri.

Nikikuwekea hapa Geneology ya Yesu kwa mujibu wa kitabu cha Luka na Mathayo zinavotofautiana pengine ufahamu wako utaongezeka.

Ngoja nikupe homework. Chukua biblia mbili, moja fungua kitabu cha Mathayo kisha angalia geneology ya Yesu, wakati huohuo ukiwa umefungua biblia ya pili kwenye kitabu cha Luka huku ukiangalia geneology. Halafu angalia kama zinafana mtu hadi mtu
 
Then usitupe mawe kwa jirani wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo,kwani hata Quran pia nayo ina mapungufu yake ambayo nami naweza kuyaleta hapa.
 
Habari wana theolojia.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema....

Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu wamejikita kumuamini na kuyaamini mafundisho potofu kumhusu Yesu Kristo yaliyoasisiwa na mtu aliyekuja kuishi miaka 600 baada ya kufa Yesu Kristo.

Mathayo, Marko, Luka na Yohana wote wanadai kuwa Kristo Yesu alikuwa ni MUNGU, jamaa anakuja miaka 600 baadaye anasema haikuwa hivyo. Mbaya zaidi ili kuhalalisha kauli yake akasingizia kuwa ameambiwa na Mungu.

Na licha ya hayo yote watu wakapata kumuamini.

Dah! sijui ipo sababu ipi kwakweli?
Kumbe Yesu alikufa.

Sisi WAKRISTO hatutukuzi kifo Cha YESU BALI ufufuko wake
 
Jitahidi sana kusoma vitabu vya imani na historia zake kabla hujaanza kukosoa.
Dunia ya leo vitabu vya imani tunavisomwa kama vile vyan elimu dunia tu, sio lazima uwe wa imani hiyo.

My background includes being a theologian and a knowledge seeker.. thanks πŸ‘
Acha kuendekexa ugonjwa. Kama hijajifunza lolote kwangu
Pitia link hii wawafunze walioerevuka wa upande wenu.
 
Pa
Hivi unajua Sanaa manuscript (Yemen) ile Qurn kongwe kabisa iliyogunduliwa miaka ya 70 bada ya kufanyiwa research ya kutosha inaonyesha umri wake ni zaidi ya Mohamed? wakati nyie mnasema Mohamed ndiye aliyeshushiwa Quran na pia ile sio Hafs wala Warsh. Ile Quran ni kongwe kuliko Quran ya Uthman, swali hiyo Quran unayosema haijabadilika ni ipi? Uthman Quran,Sanaa,Topkapi? Topkapi Quran ina tofauti zaidi ya 2000 na hii Quran ya mwaka 1924, Wewe umehifadhi ipi kati ya hizo tatu japo zipo nyingine pia?

Topkapi Quran ina upungufu wa verse 23 kulinganisha na hii ya mwaka 1924, ni moja ya quran kongwe kabisa. Uchunguzi unaonyesha hii iliandikwa karne ya 8,je hizo verse 23 ziliongezwa na wanazuoni wa AL Azhar university? Wewe utakua umehifahi hii Quran mpya,kwanini imetofautiana na ya zamani?
Pastor aliyekudanganya hajakuelezea vizur mzee baba kamwambie arudi darasani,
Hiyo Topkapi uisemayo ni moja ya masalia ya kihistoria yenye maandiko ya quran ambayo iliandikwa katika hurf zile 7 na wazungu wanakisia ni ya mwaka wa pili baada ya hijra leo ni mwaka 1445 hijria sasa hapo Mtume kaikutaje.
Hiyo unayoisema ya Sanaa imetoka mwaka 1979. Unaelekeza nguvu kubwa kwa wazungu ambao nao wanajitahidi kwenye uvumbuzi wao wa kihistoria ambao sisi katika Uislam tayar historia ipo ndio maana waongo kama wewe na mchungaji wako aliyekudanganya ni rahisi sana kuwajibi hoja zenu za ajabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe kafiri unaijulia wapi biblia? Kwani inafundishwa madrasa?
Bora uchinjwe tu kwenye hii idd watu wa mnyazi wanywe supu.
Kuanzia mwanzo wa thread had mwisho nionyeshe sehemu nimeongelea biblia au kutoa kifubgu cha biblia, sitaki hata kuijua, naongelea quran ambayo mnajitahid kuonesha udhaifu wa kuunga unga na gundi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pa
Pastor aliyekudanganya hajakuelezea vizur mzee baba kamwambie arudi darasani,
Hiyo Topkapi uisemayo ni moja ya masalia ya kihistoria yenye maandiko ya quran ambayo iliandikwa katika hurf zile 7 na wazungu wanakisia ni ya mwaka wa pili baada ya hijra leo ni mwaka 1445 hijria sasa hapo Mtume kaikutaje.
Hiyo unayoisema ya Sanaa imetoka mwaka 1979. Unaelekeza nguvu kubwa kwa wazungu ambao nao wanajitahidi kwenye uvumbuzi wao wa kihistoria ambao sisi katika Uislam tayar historia ipo ndio maana waongo kama wewe na mchungaji wako aliyekudanganya ni rahisi sana kuwajibi hoja zenu za ajabu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Topkapi ni Quran sio masaliaπŸ˜‚πŸ˜‚, pastor anahusika vipi hapa? Parts za sanaa Quran zina umri mkubwa kuliko Mohamed baada ya kufanyiwa carbon dating measurements. Wewe umehifadhi Quran ya mwaka 1924 lazima ubishe kwa sababu ina utofauti na Quran za kale.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Back
Top Bottom