Hivi unajua Sanaa manuscript (Yemen) ile Qurn kongwe kabisa iliyogunduliwa miaka ya 70 bada ya kufanyiwa research ya kutosha inaonyesha umri wake ni zaidi ya Mohamed? wakati nyie mnasema Mohamed ndiye aliyeshushiwa Quran na pia ile sio Hafs wala Warsh. Ile Quran ni kongwe kuliko Quran ya Uthman, swali hiyo Quran unayosema haijabadilika ni ipi? Uthman Quran,Sanaa,Topkapi? Topkapi Quran ina tofauti zaidi ya 2000 na hii Quran ya mwaka 1924, Wewe umehifadhi ipi kati ya hizo tatu japo zipo nyingine pia?
Topkapi Quran ina upungufu wa verse 23 kulinganisha na hii ya mwaka 1924, ni moja ya quran kongwe kabisa. Uchunguzi unaonyesha hii iliandikwa karne ya 8,je hizo verse 23 ziliongezwa na wanazuoni wa AL Azhar university? Wewe utakua umehifahi hii Quran mpya,kwanini imetofautiana na ya zamani?