Kwanini nje ya wachaga ni nadra kukuta kampuni kubwa za watanzania wengine wa asili ?

Kwanini nje ya wachaga ni nadra kukuta kampuni kubwa za watanzania wengine wa asili ?

Sababu ni akili kubwaz, chunguza hata humu wametulia tuli 🤣🤣 mapovu ya sabuni ya kupima hayaruhisiwi.
 
Mimi Mnyakyusa na namiliki kampuni yangu yenye mafanikio makubwa ya kutengeneza puturuu
 
Utajiri unataka maarifa na kufikiria biashara za mda mrefu zenye tija na faida mbeleni
Sidhani hili kama waswahili mnalo
Hao wafugaji wenye ng'ombe mpaka 1000 miaka yote wameongeza ajira ngapi katika sekta hiyo?
Hakuna cha baba wala mtoto mwenye maarifa ya kusema uza baadhi ya ng'ombe nunua wa kisasa na uwe na kiwanda cha maziwa na malori
Lakini unakuta mtoto anamuuwa baba ili wagawane mali baada ya mwaka mpaka zizi halipo tena
 
itakuwa wewe ni mtoto wa 2000 umezikuta channel nyingi za TV

Kampuni inaitwa IPP Media ndani yake kuna Itv, EATV (Zamani channel 5), Radio one, Magazeti ya Nipashe, n.k.

Radio one na Channel 5 (Zamani iliitwa eatv) wamesaidia sana kuisambaza Bongo Flava ndani na nje ya nchi

Mmiliki alikuwa Reginald Mengi (RIP), ndie Mtanzania wa asili pekee aliewahi kuingia kwenye top 10 ya matajiri wa nchi
Kukusahihisha
1. Kuwa mweusi hakukufanyi Mtanzania Asili, na Tanzania historia yake inaonesha kila kabila limehamia, hakuna such thing as Mtanzania wa Asili.

2. Marehemu Ali Mufuruki alikua pia ni mweusi na mara kwa mara aliingia Top 10, alimiliki Hisa Za kutosha Vodacom na Makampuni kama Zuku.
 
ITV nina uhakika ni ya familia ya Mengi.
kwanza umesema kampun nyingi …. I thought una data.

ITV sio kampuni ya maana wala precision. …. Hizo zinasubiri kufungwa.

Reference zako ni very weak

Next time do more research.
Speaking of kampuni kubwa…..nyingi ni za wageni
 
Wacha kukurupuka aliyeleta mada ni mwingine. Hakuna mahalli nimesema kampuni nyingi.Mimi nili comment kuwa ITV na Precision Air wamiliki ni wachagga.
 
Wacha kukurupuka aliyeleta mada ni mwingine. Hakuna mahalli nimesema kampuni nyingi.Mimi nili comment kuwa ITV na Precision Air wamiliki ni wachagga.
🤣🤣napenda mnavo tutaja
 
Utajiri unataka maarifa na kufikiria biashara za mda mrefu zenye tija na faida mbeleni
Sidhani hili kama waswahili mnalo
Hao wafugaji wenye ng'ombe mpaka 1000 miaka yote wameongeza ajira ngapi katika sekta hiyo?
Hakuna cha baba wala mtoto mwenye maarifa ya kusema uza baadhi ya ng'ombe nunua wa kisasa na uwe na kiwanda cha maziwa na malori
Lakini unakuta mtoto anamuuwa baba ili wagawane mali baada ya mwaka mpaka zizi halipo tena
kuna ukweli kiasi
 
Si mmesema huwezi kuwa tajiri bila kuwa kiroho? Ina maana wapo kiroho zaidi ya wengine, case closed
 
Zanzibar hakuna Matajir mzunguko wa pesa ni mdogo kule, Matajiri wakule ni wale wanaoagiza Mchele, Sukari, Saruji. Na tende.
Kweli wewe hujui unalolisema. Zanzibar maisha expensive sana uliwah kusikia wapi sehem ina maisha expensive hela ikawa ngumu kupatikana?
 
Huyu mpuuzi hakupaswa kujibiwa kistarabu, nenda pale Moro uone wazawa walivyowekeza kwenye makampuni makubwa.

Inawezekana wachaga walikuwa on top ila sasa hivi wanapukutishwa mjini hapa, njoo kariako uone wakinga, siku hiz Warangi wamekuja juu kariako hapa sio mchezo
 
Warangi kabisa, basi emsìii awaingize wadigo kwa ngoma ya jirani zao wasambaa
 
Back
Top Bottom