Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,119
- 1,728
Sababu ni akili kubwaz, chunguza hata humu wametulia tuli 🤣🤣 mapovu ya sabuni ya kupima hayaruhisiwi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukusahihishaitakuwa wewe ni mtoto wa 2000 umezikuta channel nyingi za TV
Kampuni inaitwa IPP Media ndani yake kuna Itv, EATV (Zamani channel 5), Radio one, Magazeti ya Nipashe, n.k.
Radio one na Channel 5 (Zamani iliitwa eatv) wamesaidia sana kuisambaza Bongo Flava ndani na nje ya nchi
Mmiliki alikuwa Reginald Mengi (RIP), ndie Mtanzania wa asili pekee aliewahi kuingia kwenye top 10 ya matajiri wa nchi
kwanza umesema kampun nyingi …. I thought una data.ITV nina uhakika ni ya familia ya Mengi.
Wacha kukurupuka aliyeleta mada ni mwingine. Hakuna mahalli nimesema kampuni nyingi.Mimi nili comment kuwa ITV na Precision Air wamiliki ni wachagga.kwanza umesema kampun nyingi …. I thought una data.
ITV sio kampuni ya maana wala precision. …. Hizo zinasubiri kufungwa.
Reference zako ni very weak
Next time do more research.
Speaking of kampuni kubwa…..nyingi ni za wageni
🤣🤣napenda mnavo tutajaWacha kukurupuka aliyeleta mada ni mwingine. Hakuna mahalli nimesema kampuni nyingi.Mimi nili comment kuwa ITV na Precision Air wamiliki ni wachagga.
Akili zako sio nzuri ulikurupuka kuqoute usichokijua.🤣🤣napenda mnavo tutaja
Ndagha MwaisaMimi Mnyakyusa na namiliki kampuni yangu yenye mafanikio makubwa ya kutengeneza puturuu
kuna ukweli kiasiUtajiri unataka maarifa na kufikiria biashara za mda mrefu zenye tija na faida mbeleni
Sidhani hili kama waswahili mnalo
Hao wafugaji wenye ng'ombe mpaka 1000 miaka yote wameongeza ajira ngapi katika sekta hiyo?
Hakuna cha baba wala mtoto mwenye maarifa ya kusema uza baadhi ya ng'ombe nunua wa kisasa na uwe na kiwanda cha maziwa na malori
Lakini unakuta mtoto anamuuwa baba ili wagawane mali baada ya mwaka mpaka zizi halipo tena
Zanzibar hakuna Matajir mzunguko wa pesa ni mdogo kule, Matajiri wakule ni wale wanaoagiza Mchele, Sukari, Saruji. Na tende.Hamjafika unguja nyinyi mkaona matajiri wa kizanzibar wenye asili za hapahapa.
Kweli wewe hujui unalolisema. Zanzibar maisha expensive sana uliwah kusikia wapi sehem ina maisha expensive hela ikawa ngumu kupatikana?Zanzibar hakuna Matajir mzunguko wa pesa ni mdogo kule, Matajiri wakule ni wale wanaoagiza Mchele, Sukari, Saruji. Na tende.
Tilisho, Kilimanjaro, BM, Happy nationKampuni kubwa za Wachagga ni zipi?
Inaonekana umetoka leo huko kwenu Useri
Acha ukabila ndugu yangu
Zuku unaijua vp kuhusu radio free Africa, star tv na kiss FM hizo siyo kampun za wazawa?
Huyu mpuuzi hakupaswa kujibiwa kistarabu, nenda pale Moro uone wazawa walivyowekeza kwenye makampuni makubwa.
Inawezekana wachaga walikuwa on top ila sasa hivi wanapukutishwa mjini hapa, njoo kariako uone wakinga, siku hiz Warangi wamekuja juu kariako hapa sio mchezo
Ya
Yaan huyu huenda hata majizo wa efm hamjui yaan hata diamond na wasafi yake hamjui jaman yaan hata mwenye crown naye pia hamjui yeye anajua wachaga tu