Kwanini noti ya elfu moja au maarufu kama "buku" inatamba sana mtaani siku hizi?

Kwanini noti ya elfu moja au maarufu kama "buku" inatamba sana mtaani siku hizi?

Kwitogelo

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2023
Posts
310
Reaction score
442
Habari za leo wana JF?

Ni kama miezi mitatu hivi nimeanza kuona hizi noti za elfu moja zikitamba sana mtaani, yaani zimekuwa nyingi unaeza kudhani kuna mahali ziliwekwa sasa zimeachiwa.

Wataalam wa masuala ya uchumi tunaomba ufafanuzi hapa.
 
Asilimia kubwa ya watanzania ni masikini, hivyo kushika noti ya 1000 ni rahisi zaidi kuliko 5000 ama 10000
 
Asilimia kubwa ya watanzania ni masikini, hivyo kushika noti ya 1000 ni rahisi zaidi kuliko 5000 ama 10000
Ulichozungumza ni sahihi lakini watu haohao na maeneo hayohayo ndyo hizo 5000 na 10000 siku za nyuma zilikuwa nyingi tu mkuu
 
Tukimaliza kujadili la buku kumwagika mtaani, tujadili la 200 kupotea ktk mzunguuko, baada ya mchina kuleta kamari zake vijijini kwa jina la bonanza. athari zake ni zipi?
 
Back
Top Bottom