Ni kama miezi mitatu hivi nimeanza kuona hizi noti za elfu moja zikitamba sana mtaani, yaani zimekuwa nyingi unaeza kudhani kuna mahali ziliwekwa sasa zimeachiwa.
Wataalam wa masuala ya uchumi tunaomba ufafanuzi hapa.
Tukimaliza kujadili la buku kumwagika mtaani, tujadili la 200 kupotea ktk mzunguuko, baada ya mchina kuleta kamari zake vijijini kwa jina la bonanza. athari zake ni zipi?