Kwanini NSSF isiwe na tawi la bank kusaidia wateja wake?


Ukijua kinachofanya riba ziwe kubwa au ndogo utaelewa shida sio riba wala nssf bank kama bank sio lazima
 
bi mkubwa serikali inakipaumbele cha kuleta unafuu kwenye huduma za kijamii na sio kukandamiza, kwa maana hyo benk inaweza kuanzishwa bila kukandamiza wateja wao. note; bank kwa wanachama wa nssf tu
 
Sio tu kuwapa mikopo hata kutoa mafao ya waastafu inasaidia.
 
... na hiyo ndio hoja yake. Kwanini wasipewe jukumu hilo pia?
Na kwanini wapewe jukumu la vyombo vingine tena vyombo ambacho vipo kisheria?
Huu ni mfano wa majibu ya OBLANGATAKUSHOTO hii nchi bado tupo zama za mawe.....
Kila taasisi ina kazi yake kama ambavyo kila kiungo cha mwili wako kilivyo na kazi yake.
Ila sasa mnacholazimisha hapa ni sawa na kuyalazimisha macho yakubebee chakula na masikio yatafune chakula......
 
Nafikiri wewe ndo MPUMBAVU hujamwelewa mtoa mada ...PHD yako ni Isungangwada?
 
Michango ya Wanachama ya NSSF imejenga viwanda kimoja kipo Moshi na namba moja kafunguwa....Fao la kujitoa limepigwa pini....NSSF inajenga mijengo ya kupangisha popo...maamuzi ya kuanzisha miradi ya NSSF hashrikishi wanachama wake....

Hivi mpaka hapo hujamwelewa mtoa mada......
 
Duuh.sasa matusi ya nini?huwezi mwelewesha mtu bila matusi? Sidhani kama kuna kitu kinashindikana.
Kumbuka kuwa kuna watu wengi mitaani Hawana ajira.bank hiyo yaweza kuajiri watanzania wengi,yaweza kuchangia kukuza uchumi wa kati etc.unapotoa matusi inaonyesha una conflict of interest.
 
Ndugu, Hiyo ilikuwa Agenda Mojawapo ya DR. Ramadhani Dau, kabla hajatumbuliwa.
 
Mimi ninachojua NSSF ina mfumo wa mikopo kwa wastaafu kupitia TPB (Benki ya Posta) ambao wamewashirikisha. Kwa hiyo ukitaka mkopo hakikisha pensheni yako inapitia TPB.

Kama walivyosema wengine NSSF hawawezi kuingia kwenye frontier ya kufanya commercial banking business kwani ni nje ya legal mandate yao. Lakini wanaruhusiwa kuwekeza kwenye commercial banks kama walubyowekeza pale AZANIA Bancorp
 
Kama wamewekeza Kwenye mabenki si ni biashara tayari?why not it's own bank?
 
Nssf tayari Ina bank. Azania bank inamilikiwa na Nssf na wenzie
 
Kama hiyo ndio issue basi Mtoa maada ameshindwa kuiwasilisha...

Wewe kwa andiko lako hili anzisha maada wadau watajadili
 

Hizo kodi zote tutaweza maana benki itatakiwa kulipa kodi na taratibu zote.
 
Mkuu hata kuwarudishia pesa yao haitai inawazungusha hadi wengine wanakufa wengine wanakata tamaa unadhani NSSF ipo kwa ajili ya watumishi? Ipo kuchukua tu pesa yao kilazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…