Kwanini NSSF isiwe na tawi la bank kusaidia wateja wake?

Kwanini NSSF isiwe na tawi la bank kusaidia wateja wake?

We
Wewe unafikiri bank hizi za biashara zina moyo huo wa kuwarumia wafanyakazi kwa kuwapa mikopo nafuu wafanyakazi?

Nikupe mfano mzuri wa NHIF,wanakopesha madawa na vifaa kwa hospitali .nakwambia riba yap ndogo sana kiasi kwamba unajisikia raha mstarehe.

Ukijua kinachofanya riba ziwe kubwa au ndogo utaelewa shida sio riba wala nssf bank kama bank sio lazima
 
Kwa hoja yako ni kwamba hiyo NSSF ikifungua benki yake kuwasaidia haitakata makato standard kama ya benki zingine?

Una wazimu nini wewe?

Yaani ajenge benki eti halafu akusamehe costs za kibenki?Halafu benki aendeshe kwa mkojo wako?

Haya Matanzania yanayokaa kila siku kutaka misaada kama hivi ni upumbavu,maana wewe unataka upewe huduma bure bila makato,hayo makato alipie nani?

Inatakiwa viongozi wetu na mashule yetu yafundishe watu kufuta hii notion ya utegemezi na kupenda vya bure on expense on others.

Halafu NSSF ni shirika la bima,biashara ni bima,eti unataka kuipa kazi ya benki tena as if hakuna mabenki special kwa ajili ya kazi za kibenki?

Halafu jitu kama hili linakuja kua kiongozi au mbunge na thinking mbovu namna hii
bi mkubwa serikali inakipaumbele cha kuleta unafuu kwenye huduma za kijamii na sio kukandamiza, kwa maana hyo benk inaweza kuanzishwa bila kukandamiza wateja wao. note; bank kwa wanachama wa nssf tu
 
Mikopo ya bank muda mwingi haisaidii sana watumishi wa umma au secta binafsi kwa sababu ya riba kubwa.
sasa kwa sababu watumishi Huwa ni wateja wa kudumu wa mfuko huu na kila mwezi wanachangia fedha nyingi,kwa nini NSSF isiwe na bank ambayo itatumika kuwapa mikopo wateja wake kwa riba ndogo sana ili kuboresha kipato cha wateja wake?

Asanteni
Sio tu kuwapa mikopo hata kutoa mafao ya waastafu inasaidia.
 
... na hiyo ndio hoja yake. Kwanini wasipewe jukumu hilo pia?
Na kwanini wapewe jukumu la vyombo vingine tena vyombo ambacho vipo kisheria?
Huu ni mfano wa majibu ya OBLANGATAKUSHOTO hii nchi bado tupo zama za mawe.....
Kila taasisi ina kazi yake kama ambavyo kila kiungo cha mwili wako kilivyo na kazi yake.
Ila sasa mnacholazimisha hapa ni sawa na kuyalazimisha macho yakubebee chakula na masikio yatafune chakula......
 
NSSF ni taasisi ya mikopo?

Is your brain working properly?

Mikopo ni kazi za benki,sio NSSF!

Wewe hoja yako ilikua ni kwamba,mafao ya watu kupitia benki kuna makato makubwa hivyo eti NSSF wafungue benki zao za kugawa haya mafao bila makato,nikakwambia hoja yako ni ya kipumbavu mno maana haiwezekani NSSF ifungue benki zifanye kazi za kibenki bila makato maana hizo benki zitajiendesha na hewa?

Tatizo unadhani dunia hii wewe ni wa kupata vitu kwa bure bila gharama....sasa unadhani hizo benki na hiyo NSSF zitajiendesha kwa mkojo wako wewe?

Punguza vituko
Nafikiri wewe ndo MPUMBAVU hujamwelewa mtoa mada ...PHD yako ni Isungangwada?
 
Na kwanini wapewe jukumu la vyombo vingine tena vyombo ambacho vipo kisheria?

Kila taasisi ina kazi yake kama ambavyo kila kiungo cha mwili wako kilivyo na kazi yake.
Ila sasa mnacholazimisha hapa ni sawa na kuyalazimisha macho yakubebee chakula na masikio yatafune chakula......
Michango ya Wanachama ya NSSF imejenga viwanda kimoja kipo Moshi na namba moja kafunguwa....Fao la kujitoa limepigwa pini....NSSF inajenga mijengo ya kupangisha popo...maamuzi ya kuanzisha miradi ya NSSF hashrikishi wanachama wake....

Hivi mpaka hapo hujamwelewa mtoa mada......
 
Wanachama wa NSSF mpo wangapi Tanzania hii?

"Bei Nafuu" ni kiasi gani unachosemea?

Maana ni rahisi kuongea generally "Bei Nafuu" blindly tu....weka figures hapa

Kumbuka tozo zote za mabenki ni BOT approved,sio approved na wewe bwana "Salum"!

Wateja wamekandamizwa na nani?benki gani ilishakandamiza mtu gani?

Huwezi costs za benki,hamisha hela weka chini ya kitanda,simple!

Nchi hii kila mtu analalamika kuhusu huduma na bidhaa,mnataka vya bure?Mnataka benki ziendeshwe na mavi yenu?

Ndio athari ya Umasikini uliokufuru huu,kwahiyo kila bei eti "mnaumizwa"!
Duuh.sasa matusi ya nini?huwezi mwelewesha mtu bila matusi? Sidhani kama kuna kitu kinashindikana.
Kumbuka kuwa kuna watu wengi mitaani Hawana ajira.bank hiyo yaweza kuajiri watanzania wengi,yaweza kuchangia kukuza uchumi wa kati etc.unapotoa matusi inaonyesha una conflict of interest.
 
Mikopo ya bank muda mwingi haisaidii sana watumishi wa umma au sekta binafsi kwa sababu ya riba kubwa.

Sasa kwa sababu watumishi huwa ni wateja wa kudumu wa mfuko huu na kila mwezi wanachangia fedha nyingi, kwa nini NSSF isiwe na bank ambayo itatumika kuwapa mikopo wateja wake kwa riba ndogo sana ili kuboresha kipato cha wateja wake?

Asanteni
Ndugu, Hiyo ilikuwa Agenda Mojawapo ya DR. Ramadhani Dau, kabla hajatumbuliwa.
 
Mimi ninachojua NSSF ina mfumo wa mikopo kwa wastaafu kupitia TPB (Benki ya Posta) ambao wamewashirikisha. Kwa hiyo ukitaka mkopo hakikisha pensheni yako inapitia TPB.

Kama walivyosema wengine NSSF hawawezi kuingia kwenye frontier ya kufanya commercial banking business kwani ni nje ya legal mandate yao. Lakini wanaruhusiwa kuwekeza kwenye commercial banks kama walubyowekeza pale AZANIA Bancorp
 
Kama wamewekeza Kwenye mabenki si ni biashara tayari?why not it's own bank?
 
Nssf tayari Ina bank. Azania bank inamilikiwa na Nssf na wenzie
 
Michango ya Wanachama ya NSSF imejenga viwanda kimoja kipo Moshi na namba moja kafunguwa....Fao la kujitoa limepigwa pini....NSSF inajenga mijengo ya kupangisha popo...maamuzi ya kuanzisha miradi ya NSSF hashrikishi wanachama wake....

Hivi mpaka hapo hujamwelewa mtoa mada......
Kama hiyo ndio issue basi Mtoa maada ameshindwa kuiwasilisha...

Wewe kwa andiko lako hili anzisha maada wadau watajadili
 
Mikopo ya bank muda mwingi haisaidii sana watumishi wa umma au sekta binafsi kwa sababu ya riba kubwa.

Sasa kwa sababu watumishi huwa ni wateja wa kudumu wa mfuko huu na kila mwezi wanachangia fedha nyingi, kwa nini NSSF isiwe na bank ambayo itatumika kuwapa mikopo wateja wake kwa riba ndogo sana ili kuboresha kipato cha wateja wake?

Asanteni

Hizo kodi zote tutaweza maana benki itatakiwa kulipa kodi na taratibu zote.
 
Mikopo ya bank muda mwingi haisaidii sana watumishi wa umma au sekta binafsi kwa sababu ya riba kubwa.

Sasa kwa sababu watumishi huwa ni wateja wa kudumu wa mfuko huu na kila mwezi wanachangia fedha nyingi, kwa nini NSSF isiwe na bank ambayo itatumika kuwapa mikopo wateja wake kwa riba ndogo sana ili kuboresha kipato cha wateja wake?

Asanteni
Mkuu hata kuwarudishia pesa yao haitai inawazungusha hadi wengine wanakufa wengine wanakata tamaa unadhani NSSF ipo kwa ajili ya watumishi? Ipo kuchukua tu pesa yao kilazima
 
Back
Top Bottom