mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
We
Wewe unafikiri bank hizi za biashara zina moyo huo wa kuwarumia wafanyakazi kwa kuwapa mikopo nafuu wafanyakazi?
Nikupe mfano mzuri wa NHIF,wanakopesha madawa na vifaa kwa hospitali .nakwambia riba yap ndogo sana kiasi kwamba unajisikia raha mstarehe.
Ukijua kinachofanya riba ziwe kubwa au ndogo utaelewa shida sio riba wala nssf bank kama bank sio lazima