Kwanini nyie wana JF mnatudharau sana wanaume wa Dar?

Joined
Dec 7, 2017
Posts
41
Reaction score
27
Kumekuwa na kasumba humu ukileta jambo lako ili usaidiwe kimawazo basi wataanza kukunanga na kukuletea maneno ya jeuri eti oooh!Nyie wanaume wa Dar ndivyo mulivyo! Ina maana sisi wanaume tunaoishi Dar mnatudharau kwa lipi haswa kubwa? Kwani matatizo ya kimapenzi huwapata watu wa Dar tu?

Nyie huko kwenu Mwakaleli mbona kila kukicha wanauwana kwasababu ya mapenzi? Acheni hizo tumewachoka kwa kutudharau wanaume wa Dar.

Wanaume wa Dar tunafanya kazi, wanaume wa Dar tunaweka mimba, wanaume wa Dar tunavigezo vyote vya kuwafanya wanawake walie vitandani kwa mahaba acheni kutudharau, nyie mbona walugaluga na sie hatusemi? Watu makwenu Mbwinde huko hata gari ya abiria kuiona issue alafu unaleta dharau! Hebu jiheshimuni!

NIMEWAKILISHA KILIO CHA WANAUME WOTE WANAOISHI DAR.
 
Wambieeeeeeeeeeeeee hao,hata mie nimechoka kusikia wanaume wa DAR,kitu kidogo wauname wa DAR hao, wanasema hata fenesi wana menyewa,mua wanakamuliwa,kwani kujipenda kosa? ukienda saloon kufanyia facial ooh wanaume wa dar hawajui kama ndio wanaume wa dar ndio mpango mzima..lol
 
Oohooo!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana
 
Sisi wanaume wa dar ndio mpango mzima, kwanza mapenzi tunayaweza ndio maana dada zenu wa huko misugusugu wanatuzimia kinoma.
 
watu wa mikoani mnataka kubanduliwa nyinyi ??

maana dar hakuna bikira
 
Sisi wanaume wa dar ndio mpango mzima, kwanza mapenzi tunayaweza ndio maana dada zenu wa huko misugusugu wanatuzimia kinoma.
Daah nawe Misigusugu si hatua 10 tuu kutoka dar au hupajui mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Reactions: Lee
Tatizo hapa ni kwamba kila mmoja anajiona yupo juu ya mwingine. Unyenyekevu unahitajika. Wanaume wa mikoani asilimia kubwa ni ombaomba kwa wanaume wa dar hata mtoto akikosa peni anaomba kwa wanaume wa Dar. Wanaume wa Dar hawawezi kujifanyia kitu hata taa ikiharibika ndani anaita fundi! Huu ndio mkamilishano
 
Yaani kitu kidogo umeshaazisha uzi wa kulia lia, kweli nyie wanaume wa dar mnashindana na dada zetu kulia lia
Alafu BTW mbona nyie wanaume wa dar story zenu ni za mapenzi na umbea umbea tu amna vitu vingine vya Kuongea?
 
wanaume wa dar duh unaonekana unahasira sana mkuu umeongea kwa hisia na ila ya kufurahisha
 


Ukweli ni kwamba wengi wenu ni watata mno, utakuta mtu kwa macho anaonekana rijali la maana kumbe ni garasa tu. Hamueleweki hata kidogo, kila kitu kwenu kimejawa na utata. Usijipe moyo sana kuhusu wake zenu kushika mimba, hizo mimba zinaweza kuwa zetu wa mikoani tuishio huko Dar kikazi. Mwanamke gani anataka kuzaa na mwanamme asiye eleweka, umewahi kujiuliza hili? Nyie kila kukicha mko bize tu na bongo fleva na kukata mauno, mkitoka hapo kwenye taarab na kurusha vidole kama hamna akili. Ndiyo maana wake zenu wanawachoka na kuwalalamikia kuwa hamjuwi kazi kitandani. Mwanamme gani kutwa kuchwa uko bize kubet, kukaa kijiweni, kupiga umbea, kupiga punyeto, kucheza pool, unatoka asubuhi nyumbani hujaacha kitu kwa mkeo, ukirudi unampiga mkeo kwanini hajapika. Unafikiri hizo hela atatoa wapi? Hii bongo fleva inawaharibu sana akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…