Mia tisa itapendeza
Member
- Dec 7, 2017
- 41
- 27
Kumekuwa na kasumba humu ukileta jambo lako ili usaidiwe kimawazo basi wataanza kukunanga na kukuletea maneno ya jeuri eti oooh!Nyie wanaume wa Dar ndivyo mulivyo! Ina maana sisi wanaume tunaoishi Dar mnatudharau kwa lipi haswa kubwa? Kwani matatizo ya kimapenzi huwapata watu wa Dar tu?
Nyie huko kwenu Mwakaleli mbona kila kukicha wanauwana kwasababu ya mapenzi? Acheni hizo tumewachoka kwa kutudharau wanaume wa Dar.
Wanaume wa Dar tunafanya kazi, wanaume wa Dar tunaweka mimba, wanaume wa Dar tunavigezo vyote vya kuwafanya wanawake walie vitandani kwa mahaba acheni kutudharau, nyie mbona walugaluga na sie hatusemi? Watu makwenu Mbwinde huko hata gari ya abiria kuiona issue alafu unaleta dharau! Hebu jiheshimuni!
NIMEWAKILISHA KILIO CHA WANAUME WOTE WANAOISHI DAR.