Kwanini nyie wana JF mnatudharau sana wanaume wa Dar?

wanaume wa dar duh unaonekana unahasira sana mkuu umeongea kwa hisia na ila ya kufurahisha


Huyo ana hasira kwa kuwa kaumbuliwa tu, alikuwa hataki watu wawaseme starehe zao....we mwanamme gani kutwa kucha yuko bize kijiweni na kupiga umbea, akitoka hapo anakwenda kujichua uchochoroni na kukata mauno kwenye bongo fleva au taarab. Akirudi nyumbani yuko hoi bin taaban na hana time na mkewe. Hata kama wewe Zainabu002 unafanyiwa hivi na mumeo utajisikiaje? Wanaume wa Dar kwa kweli wanahitaji maombi tu. Makonda, tafadhali waite wana maombi pale jangwani wawaombee wanaume wenu hao magarasa.

cc: Paul Makonda a.k.a. Bashite (Mkuu wa Mkoa wa wanaume tata, DSM).
 
afadhali umenena mi nipo single kumbe hawafai ee
 
Tatizo sio sisi tatizo ni wanawake wa dar wamekuwa wakiwalalamikia nyie sana kuwa mmekuwa nyoro nyoro sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tatizo sio sisi tatizo ni wanawake wa dar wamekuwa wakiwalalamikia nyie sana kuwa mmekuwa nyoro nyoro sana
Kwahiyo unafikiri ugumu ndiyo sifa? Mambo kama haya bakini nayo nyinyi

 
Ila kweli jamani wawahurumie, yaani imekuwa too much!!! hadi ukikutana na mkaka Posta anaogopa kusema mimi nakaa hapahapa Dar, eti anasema nimekuja Dar maramoja ila natokea Mwanza!
Hahahaha umenichekesha sana
 
mkuu hawajielewei hawa wanatuonea wivu kinoma yani, achana nao.
 
Ila kweli jamani wawahurumie, yaani imekuwa too much!!! hadi ukikutana na mkaka Posta anaogopa kusema mimi nakaa hapahapa Dar, eti anasema nimekuja Dar maramoja ila natokea Mwanza!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yaani kitu kidogo umeshaazisha uzi wa kulia lia, kweli nyie wanaume wa dar mnashindana na dada zetu kulia lia
Alafu BTW mbona nyie wanaume wa dar story zenu ni za mapenzi na umbea umbea tu amna vitu vingine vya Kuongea?
Hao kiboko yao ni wale majamaa wa mikoani wanaokwenda dar kutafuta ..wenyewe wamewabatiza panya road
 
DSM it's the best Kwa madem tu

Wanaume tup0 kaskazn bwaaaana
 
Fundi nae ni mwanaume wa Dar mkuu
 

Wivu tu unawasumbua madem wakali wengi wako dar.
 
kwa sababu mnaongozwa na mkoromije. anawapinduapindua anavyotaka.
 
Bro.usilalamike sana wanatujadili kwa sababu wametukubali halafu huwa hawajiamini wanafikiri hizi kashfa humu J.f zitatupunguza kasi kumbe ndio zinaongeza kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…