mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
wanaume wa dar duh unaonekana unahasira sana mkuu umeongea kwa hisia na ila ya kufurahisha
Huyo ana hasira kwa kuwa kaumbuliwa tu, alikuwa hataki watu wawaseme starehe zao....we mwanamme gani kutwa kucha yuko bize kijiweni na kupiga umbea, akitoka hapo anakwenda kujichua uchochoroni na kukata mauno kwenye bongo fleva au taarab. Akirudi nyumbani yuko hoi bin taaban na hana time na mkewe. Hata kama wewe Zainabu002 unafanyiwa hivi na mumeo utajisikiaje? Wanaume wa Dar kwa kweli wanahitaji maombi tu. Makonda, tafadhali waite wana maombi pale jangwani wawaombee wanaume wenu hao magarasa.
cc: Paul Makonda a.k.a. Bashite (Mkuu wa Mkoa wa wanaume tata, DSM).