Hacha wafunge maana kuna watu wasio jielewa wakikataliwa huko pm wanakuja kumwaga povu huku public wakati yalikuwa ni mambo ya privacy. Wanaojielewa ndiyo watamiliki funguo.Dear women wazima??
Naombeni mnijibu hili swali.
Hivi kwanini pm zenu hua mnazifunga??
Mimi hua ninatafuta watu wakunifanyia matangazo ya biashara zangu kama nimeona mwanamke/msichana kanivutia.
Nikitaka kuwatext pm zimefungwa!!
Fungueni jamani mnakosa mdili ya pesa mjue!!!!
Nawasilisha Team Hustle pm.
Ulipotoka kwemaHapana chezea Smart911 ni Mtu makini na ananajiamini sanaaaaa
huwa hayumbishwi na wajinga wajinga wanaotaka mchukulia attention yake
anajitambua sana
mtu wa msimamooo Akipenda amependa kweli na Anajua kupenda haswaaaaaa
Smart911 a man of my life
The real one
one and only
wewe ni wa thamani sana kwangu sikuachi NG'O Smart911 nakung'ang'ania kama rubaaa nakushika kama yaiii
sitaki uniponyoke walahi nakupenda si utani Smart911 ujue
nishamwambia mama mwenzio
hahahaha
miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol
can they guess what next???
OMG
nacheka kwa dhaaaraau
Mwanamke kujiamini JoanahShukurani mkuu Antonio
Mkuu ulinionaje?Pole mkuu, nilikuona kipindi kile ulivyokuwa unapambana kweli kweli kumPM Paprika japo ulikuja kufanikiwa baadae na kuchange mission na ukaipeleka hadi kuwa ya mapenzi!!![emoji1][emoji1][emoji1]........Sasa kama ulikuwa unamtafuta kwa ajili ya biashara mambo ya mapenzi yalitoka tena wapi mkuu??
Ndo nini hii shunie?kweli wanawake tupo tofauti pole yako lkn ya pm yanatakiwa yabaki huko huko
Mwanaume kujiamini piaMwanamke kujiamini Joanah
Hivi kuna wanaume wasiojiamini kweli?Mwanaume kujiamini pia
Ikithibitika kwamba unajielewa watakupa tu.Nasisi tunao jielewa sasa tunafanyaje??
Mkuu mimi ni hacker mzuri sana, hapa mjini huwa sina kazi nyingine!!........screenshot za pm zako na Paprika ninazo zote,ningekuwa na namba yako ya whatsapp ningekutumia zote ili uhakikishe kuwa ninachosema hapa ni kweli, au nizitupie hapa hapa mkuu?[emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu ulinionaje?
Lini?
Na ulikua wapi?
Mbona umenishangaza hivi mhhu
Na umejuaje?
Taratibu basi mahondaw wengine tushalala mkuuSmart911 mylove team snitches wataisoma namba awamu kwa miye teinaaaaaaaaaaaaaaa lol
Naachaje kukupenda zaidi na zaidi kwa mfano??
Hahahaahhahahaahahahahaha
Nacheka kwa dhaaaaraau
Mengine wacha nifunge domo langu
Kasinde anakusalimia mkuu![emoji1][emoji1][emoji1]Smart911 mylove team snitches wataisoma namba awamu kwa miye teinaaaaaaaaaaaaaaa lol
Naachaje kukupenda zaidi na zaidi kwa mfano??
Hahahaahhahahaahahahahaha
Nacheka kwa dhaaaaraau
Mengine wacha nifunge domo langu
Thanks for all wakudeka wangu... Ukianza kudeka mahondaw unalegea vizuri... Kuanzia macho...Mwenyewe hajielewi ataelewekaje kwa mfano??
Smart911 sweetbebii naona kuna kitu watu wamesahau kubeba lol that's why wanapata sheeedah Hahahaahhahahaahahahahaha
Miye teinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol naachaje kukupenda zaidi na zaidi kwa mfano??
#Iloveyousmart911beibeeee#