Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

Status
Not open for further replies.

Don't worry Smart911 mylove You are my one and only hakuna mwingine no one be like you Smart911 nakupenda sana sanaaaaaaaaaa
 
Did I break any rule mylove??
Thanks Smart911 swirly

Ailaavyuuuuuuuuuuuuuuuuu
Don't worry super dear... Its impossible for only me and you to be talking to each other 24/7... Kuna times am busy you talk to others kuna time you are busy i talk to others...

Whats important is respect and knowing where you stand and know your limitations...

Siwezi kukuchunguza unafanya nini na nani muda gani kwa nini... Mapenzi siyo vita super dear...

Mapenzi ni maelewano na kumuamini partner wako... Ukiwa una think positive hutakaa upatwe na depression za mapenzi...


Negativity kills... Positivity makes you stronger and always happy...

Enjoy life follow your heart but don't forget to carry your brain with you...


# lots of deep kisses more than yesterday #
 
Mi tokea Baby wangu Faiza aliponipromise kufungua PM pamoja na moyo wake kwangu peke yangu, mimi waaala sihitaji kuhangaika tena.

Labda kama mwenzangu ananicheat kimyakimya.

Wabillah Tawfiq
 

Mmmmmmmmmmmmmmmmmmuaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah Muaaaaah
You know what to do my lovely super Dear.. lol
I didn't forget what you taught me to always not forget my brain darling
I laaavvyuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Don't worry Smart911 mylove You are my one and only hakuna mwingine no one be like you Smart911 nakupenda sana sanaaaaaaaaaa y
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]

Unakumbuka i told you nitakununulia nini ukawa unabisha nitakosea size ya kiuno chako hata kama nakijua..
 
Hahaha... To many kisses all for me.. You know where i would like to eat you and bite you... Wont stop until i get it enough...
 
Wala Chambu mm sio snitch
Tena mm hua shabiki sana wa mapenz ya watu.
Kama uliona hivo just jokes and challenges tu kwa bro pale.

No need to defend yourself bro it's not a judgement day!
Wachungaji wenyewe wanasnitch sembuse wewe mmisri?!
Kazi mnayo hakyamungu team mimacho kuvimba buana
 
No need to defend yourself bro it's not a judgement day!
Wachungaji wenyewe wanasnitch sembuse wewe muizraeli??
Kazi mnayo hakyamungu team mimacho kuvimba buana
Daaah leo umeniweza jooh
Haya nisamehe tu kama nilikuudhi bwana
 
kwa sababu hawapangiwi na mtu.....
na hakuna aliyewashauri wakafungue acc jf..
wao ndio wanaamua nani awa pm na wakati gani .......in jpm"s voice
 
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]

Unakumbuka i told you nitakununulia nini ukawa unabisha nitakosea size ya kiuno chako hata kama nakijua..
Lol your lovely mahondaw unaachaje kumjua kwa mfano?? tena sio kumjua tu kumjua in and out na weakness zangu zootee Smart911 unazijuaa mwili wangu sasa ndo uwiiiiiiiiiiii hata sihangaiki yani im just relaxxxxxx unapita kila kona


Mengine Wacha nifunge domo langu mie
 
Ofcoz sina shaka na huo mwili wako... Mzuri... Mtamu... Uliojazia vyema.. Kiuno kilichokatika hips zilizojazia na... Shindu la kufa mtu... Mpaka pichu hazikukaii... Ukisimama balaa ukiinama... Woyoooooooo....

# nacheka kama mazuri #
 
Daaah leo umeniweza jooh
Haya nisamehe tu kama nilikuudhi bwana

Wafikishie salam team snitches
tantari tantalilah it's too much
Koh koh koh ptyuuu
***********************
 
Ofcoz sina shaka na huo mwili wako... Mzuri... Mtamu... Uliojazia vyema.. Kiuno kilichokatika hips zilizojazia na... Shindu la kufa mtu... Mpaka pichu hazikukaii... Ukisimama balaa ukiinama... Woyoooooooo....

# nacheka kama mazuri #

Khakhaakhaa you reminded me OMG you know what.....!!!!!! ?

Woyoooooooooooooo
Khakhaakhaa nacheka kwa dhaaaraau
 
Hiyo mipasho duuuh
Yesterday I thought you are my bro talking of those stories za ukanda wetu mwee nikakutetea kwa mywii napingana nayule sijui nani yule nae snitch nimemsahau ili umpate mywii nawaandalia chumba napiga vigeregere leo hii wewe wa kunisnitch wewe..!?!?!
Aisee nimevuaaa unduguuu...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…