Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria listening party ya albamu ya jay dee wanasema nyimbo zote kwenye hiyo albamu mpya ni za kawaida sana at least huo wa JOTO HASIRA! nini kimemsibu huyu dada mpaka myimbo yake tegemeo kuchuja haraka?