Kwanini nyimbo ya Joto Hasira imechuja haraka sana??

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria listening party ya albamu ya jay dee wanasema nyimbo zote kwenye hiyo albamu mpya ni za kawaida sana at least huo wa JOTO HASIRA! nini kimemsibu huyu dada mpaka myimbo yake tegemeo kuchuja haraka?
 
Talk facts with data, ukisema imechuja umetumia vigezo vipi? Umefanya research gani? Umepata maoni ya watu wangapi ndio ukafikia kusema hivyo?

Afu, kaka jitahidi upunguze kuvuta bangi siku za jumapili. Ili uwe una post vitu vyenye maana. Natanguliza shukrani.
 
Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria listening party ya albamu ya jay dee wanasema nyimbo zote kwenye hiyo albamu mpya ni za kawaida sana at least huo wa JOTO HASIRA! nini kimemsibu huyu dada mpaka myimbo yake tegemeo kuchuja haraka?

revo Revocatus Kashaga una matatizo. Umeshuka wapi?
Naona Ruge ameamua kutuma vijana wake JF kumsakama na kumstress Lady JD.
Ruge anaweweseshwa na jinsi ambavyo mashabiki wa jide wanavyoisubiri kwa hamu show ya tarehe 31 May
 
Last edited by a moderator:
wewe ndio wa kwanza kukusikia unasema imechuja. hebu tutajie hit kumi za bongo fleva.
Naona nyie ndio mnao mlazimisha akabidhi kijiti.
 
Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria listening party ya albamu ya jay dee wanasema nyimbo zote kwenye hiyo albamu mpya ni za kawaida sana at least huo wa JOTO HASIRA! nini kimemsibu huyu dada mpaka myimbo yake tegemeo kuchuja haraka?

imechuja au ww ndo unataka ichuje? Acha hila ya fisi
 
Kawaabie waliokutuma kuwa Fitina JF Mwiko....,
Ukfitini nndo unampandisha maradufu...!
 
Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria listening party ya albamu ya jay dee wanasema nyimbo zote kwenye hiyo albamu mpya ni za kawaida sana at least huo wa JOTO HASIRA! nini kimemsibu huyu dada mpaka myimbo yake tegemeo kuchuja haraka?
Ruge nshomile + kashaga nshomile= bias with ukabila na kujiona, shame on you
 
Huyu anauliza swali? Angalieni heading yake... Mkuu, kwanza kuchuja kwa wimbo maana yake nini? Ukinijibu nitakupa jibu zuri na facts zake!
 
Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria listening party ya albamu ya jay dee wanasema nyimbo zote kwenye hiyo albamu mpya ni za kawaida sana at least huo wa JOTO HASIRA! nini kimemsibu huyu dada mpaka myimbo yake tegemeo kuchuja haraka?
[h=5]FACT: The word 'swag' was invented in the 1960's by a group of gay men in Hollywood which means 'Secretly, we are gay'.[/h]
 
jide alishawambia hamuwezi kumuharibia. Kama mlidhani nyie ndo mlimpa promo basi wafanyieni promo dada zenu hata wawe kama yeye inatosha. mia
 
Pole ndugu kashaga. Album ya Jd tutanunua tu
 
jide amefanikwa kuwashika vichwa nyote......most of you mnaenda kama kushow sympathy kwake ila sio kama mnavutiwa saaana na joto hasira
 
wewe umetumwa sio siri,nimejaribu kufuatilia post/comment zako nyingi zote unamponda sana huyu dada,hata kama upo upande wa Ruge usiwe hater kiasi hicho,kwann unalazimisha watu wamuone JD kafulia hata km sivyo?Au ndo unataka kumpokonya kijit kwanguvu ili umkabidhi Lina?

ENEWEI: Mi siko upande wowote kati hizo pande 2,ni shuhuda 2
 
Huyu mdau analipwa sh ngapi kwa kumwaribia dada wa watu?
Mbona nyimbo zingine zikichuja haji kusema humu?
 
jide amefanikwa kuwashika vichwa nyote......most of you mnaenda kama kushow sympathy kwake ila sio kama mnavutiwa saaana na joto hasira
Mtoto wa kiume unapomuenea wivu Mwanamke basi tunapatwa na maswali zaidi ya majibu, au amekupokonya Gardener Habash ulitaka uolewe wewe?
 
Hii nyimbo ya Jay dee ilitegemewa sana kushika chati ila hii nyimbo imechuja sana hasa baada ya sakata la jide na Ruge! je hizi ndio dalili za jide kuanza kushuka chati, maana wale walioudhuria listening party ya albamu ya jay dee wanasema nyimbo zote kwenye hiyo albamu mpya ni za kawaida sana at least huo wa JOTO HASIRA! nini kimemsibu huyu dada mpaka myimbo yake tegemeo kuchuja haraka?

Acha fitna
 
Back
Top Bottom