Hupewi mkopo bila ya benki kutuma mtu wao wakufanya tathmini ya mkopo unaokopa na kitu unachokiwekea dhamana benki sio wajinga mkuuuHv nikichukulia mkopo nyumba kwa thamani ya Mil 50 wakati thamani halisi ya nyumba ni Mil 30 kisha nikapita hiv, benki si ndio wanapata hasara ya Mil 20 au?
We jipange kama unataka kujenga au laah ,ila wengi akipata kazi basi ana familia .. Automatically hapo majukumu ni mengi ...kilichobaki ni presha ya familia na kujizika na mkopo wa muda mrefu.Watumishi kujenga bila mikopo ni ngumu
Ohhh, sawa hapo sasa umenielewesha.Hupewi mkopo bila ya benki kutuma mtu wao wakufanya tathmini ya mkopo unaokopa na kitu unachokiwekea dhamana benki sio wajinga mkuuu
Mkuu mjini unatakiwa uje na akili tu tabia utazikuta hukuhuku na waliosema mjini mipango wala hawakukosea.Nimefanya utafiti kupitia ukurasa wa Dsm Brokers (Instagram) mpaka sasa nimegundua nyumba nyingi za dar zinauzwa na benki kwasababu ya madeni sasa sijui tatizo ni nini ikiwa mkoa wa dar unasifika kuwa kitovu kikuu cha fursa za kifedha na biashara,
Katika utafiti wangu kupitia ukurasa wa hao jamaa kati ya nyumba 50 atakazopost Dsm Brokers nyumba 30 mpaka 35 zote zinauzwa na benki sehemu inayobaki unakuta jamaa wamendika nyumba inauzwa Binafsi.
Wadau tatizo nini juu ya nyumba nyingi kuuzwa na benki kwasababu ya madeni ni kwamba mkoa ni mgumu au matumizi yamezidi kipato?
Wacha uhuni wewe bwana...unadhani benki wanakaga mkopo kama mbususu zinavyogawiaHv nikichukulia mkopo nyumba kwa thamani ya Mil 50 wakati thamani halisi ya nyumba ni Mil 30 kisha nikapita hiv, benki si ndio wanapata hasara ya Mil 20 au?
Ndo kinachofanyika. Hata Mimi namalizia mjengo wangu then nachukua mkopo bank then nawaachia nyumbaHv nikichukulia mkopo nyumba kwa thamani ya Mil 50 wakati thamani halisi ya nyumba ni Mil 30 kisha nikapita hiv, benki si ndio wanapata hasara ya Mil 20 au
Hatari hiyo jamaniMkuu mjini unatakiwa uje na akili tu tabia utazikuta hukuhuku na waliosema mjini mipango wala hawakukosea.
Watu wanajenga nyumba mfuko mmoja wa sementi tofali 70 ila inapigwa finishing iliyoenda skonga kisha wanaenda kuichukulia mkopo bank.
Nyumba inajengwa kwa milioni 15 watu wanavuta mkopo wa milioni 100 wanamtia Milioni 5 afisa mikopo ili aharakishe mchakato kabla mvua hazijaja zikaondoka na chokaa yote.
Wakishavuta mkopo wanalipa miezi mitatu halafu jamaa anajifanya kafulia kama vipi mjengo upigwe mnada.
Msala unabaki kwa bank na watu wa bima
Mifumo ya mikopo ya bank,Hv nikichukulia mkopo nyumba kwa thamani ya Mil 50 wakati thamani halisi ya nyumba ni Mil 30 kisha nikapita hiv, benki si ndio wanapata hasara ya Mil 20 au?
Sii wanakupaga 80% ya thamni ya nyumbaNa
Ndo kinachofanyika. Hata Mimi namalizia mjengo wangu then nachukua mkopo bank then nawaachia nyumba
Mikoani pia nyumba nyingi.zinauzwa na mabenk ila gari zinapita kutangaza.Kutokana na mikoani hakuna mishe mishe na foleni za magariNimefanya utafiti kupitia ukurasa wa Dsm Brokers (Instagram) mpaka sasa nimegundua nyumba nyingi za dar zinauzwa na benki kwasababu ya madeni sasa sijui tatizo ni nini ikiwa mkoa wa dar unasifika kuwa kitovu kikuu cha fursa za kifedha na biashara,
Katika utafiti wangu kupitia ukurasa wa hao jamaa kati ya nyumba 50 atakazopost Dsm Brokers nyumba 30 mpaka 35 zote zinauzwa na benki sehemu inayobaki unakuta jamaa wamendika nyumba inauzwa Binafsi.
Wadau tatizo nini juu ya nyumba nyingi kuuzwa na benki kwasababu ya madeni ni kwamba mkoa ni mgumu au matumizi yamezidi kipato?
Safi.Na
Ndo kinachofanyika. Hata Mimi namalizia mjengo wangu then nachukua mkopo bank then nawaachia nyumba
Ingekuwa hivyo wengi tungechota mahela ya bure bank, unaweka dhamana baskeli unakopa gari, simple tuu.Hv nikichukulia mkopo nyumba kwa thamani ya Mil 50 wakati thamani halisi ya nyumba ni Mil 30 kisha nikapita hiv, benki si ndio wanapata hasara ya Mil 20 au?
Sawa nimeelewa vizuri sana maelezo.Mifumo ya mikopo ya bank,
Mara nyingi ni kwamba, uwe na chanzo cha pesa cha kupata marejesho. Chanzo hicho kiwe nkinajitosheleza kupata thamani ya rejesho kulingana na muda mlioahidiana. Kwa mfano, biashara, turn-over itoshe ku retain mtaji, faida na rejesho.
Na pia kuwe na Collateral kama nyumba au asset isiyohamishika ambayo itakuja kutumika kurejesha pesa kama mkopaji akishindwa kulipa. Na Collateral hiyo inafanyiwa tathmini na wataalam wa masoko na brokers waliobobea.
Pia, kila mkopo unaotolewa huwa unakatiwa Bima. Ila makampuni ya bima, huwa yana withdraw claim nyingi sana yakigundua kuwa mkopaji amekwepa au pengine, pesa ya mkopo hakuipeleka kwenye lengo aliloiombea.
Hope that helps
AiseeeWacha uhuni wewe bwana...unadhani benki wanakaga mkopo kama mbususu zinavyogawia