Nusratt
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 1,712
- 4,259
Aisee watu hawana huruma.Yes. Na zamani watu wa ndani ya benki walicheza sana hiyo michezo ilipelekea mabenki kuingia hasara kubwa. Baadaye, process ilikuja kuwa ngumu kidogo.
Sawa ni afadhali kama process imebadilika