Kwanini nyumba nyingi za Dar zinauzwa na Benki?

Sawa nimeelewa vizuri sana maelezo.
Pia kuna wale ambao husema kuwa wamewaingiza benki hasara kwa kuwapa nyumba au kiwanja kisicho na thamani sawa na mkopo.
Hii imekaaje?
Hii huwa inatokea sana.
Ila ni matokeo ya uzembe au njama ya Loan Officers.
Pia huwa inatokana na rushwa... Kwa mfano mtu anamfuata Loan Officer, anamuambia anataka mkopo Million 150, kisha Afisa atakula 10M akiupitisha.
Pia makadirio ya thamani ya Collateral yanatokana na Location. Kwa mfano. Jumba lililopo Kinondoni Studio, na jingine mjengo na material sawasawa jumba lililopo Gamboshi Simiyu, haviwezi kuwa sawa
 
Ohhhhh, safi.
Kwahiyo ghorofa lililopo Kinondoni na ghorofa lilelile lipo Simiyu mkopo hauwezi kuwa sawa.
Hapo kwa afisa mkopo nimeelewa. Kwahiyo wengi huonga ili kupitisha mkopo ili wapate rushwa.
Dah! Nimeelewa vyema sana.

Swali la mwisho mkuu.
Hv hii mikopo kwa ajili ya kuboresha au kuendeleza ujenzi au nyumba huwa na sifa zipi?
Yaani nyumba iko kwenye lenta na nataka mkopo benki ili niendeleze nyumba, inakuwaje?
 
Nimefanya utafiti kupitia ukurasa wa Dsm Brokers (Instagram) mpaka sasa nimegundua nyumba nyingi za dar zinauzwa na benki kwasababu ya madeni sasa sijui tatizo ni nini ikiwa mkoa wa dar unasifika kuwa kitovu kikuu cha fursa za kifedha na biashara,

Katika utafiti wangu kupitia ukurasa wa hao jamaa kati ya nyumba 50 atakazopost Dsm Brokers nyumba 30 mpaka 35 zote zinauzwa na benki sehemu inayobaki unakuta jamaa wamendika nyumba inauzwa Binafsi.

Wadau tatizo nini juu ya nyumba nyingi kuuzwa na benki kwasababu ya madeni ni kwamba mkoa ni mgumu au matumizi yamezidi kipato?
Trump tariff effect 😂
 
Ohhhhh, safi.
Kwahiyo ghorofa lililopo Kinondoni na ghorofa lilelile lipo Simiyu mkopo hauwezi kuwa sawa.
Hapo kwa afisa mkopo nimeelewa. Kwahiyo wengi huonga ili kupitisha mkopo ili wapate rushwa.
Dah! Nimeelewa vyema sana.

Swali la mwisho mkuu.
Hv hii mikopo kwa ajili ya kuboresha au kuendeleza ujenzi au nyumba huwa na sifa zipi?
Yaani nyumba iko kwenye lenta na nataka mkopo benki ili niendeleze nyumba, inakuwaje?
Mikopo hiyo ipo, ila huwa ni Mahsusi kwa waajiliwa wa serikali na Taasisi zenye dhamana kubwa

Unapata mkopo kwa hatua za kumalizia ujenzi wa nyumba yako.

Malipo yanaweza kufika hadi miaka 20.

Inafaa kwa wateja walioko kwenye ajira rasmi au wenye biashara zao.

Zinahitaji dhamana (mara nyingi ile nyumba inayoje
ngwa).
 
Hv nikichukulia mkopo nyumba kwa thamani ya Mil 50 wakati thamani halisi ya nyumba ni Mil 30 kisha nikapita hiv, benki si ndio wanapata hasara ya Mil 20 au?
Kuna watu hua wanatumia hii strategy --- sjawahi shuhudia ila wanasema ukitaka kuuza nyumba na mteja hakuna basi kakope --muda ukifika ubabeba virago unatembea🤣
 
Hv nikichukulia mkopo nyumba kwa thamani ya Mil 50 wakati thamani halisi ya nyumba ni Mil 30 kisha nikapita hiv, benki si ndio wanapata hasara ya Mil 20 au?
Kuna kitu kinaitwa valuation kinafanyika kwanza; kupata thamani halisi ya soko ya nyumba yako kabla mkopo haujatolewa. Usidhani ni wajinga kwamba banda la milioni 10 upate mkopo wa milioni 100!
 
Sawa.
Hapa nimewaelewa wote.
Ina maana kukitokea hasara ujue kuna mtu wa ndani ya benki kachezesha mchezo
 
Hii huwa inatokea sana.
Ila ni matokeo ya uzembe au njama ya Loan Officers.
Pia huwa inatokana na rushwa... Kwa mfano mtu anamfuata Loan Officer, anamuambia anataka mkopo Million 150, kisha Afisa atakula 10M akiupitisha.
Pia makadirio ya thamani ya Collateral yanatokana na Location. Kwa mfano. Jumba lililopo Kinondoni Studio, na jingine mjengo na material sawasawa jumba lililopo Gamboshi Simiyu, haviwezi kuwa sawa
Eti gamboshi simiyu😂😂
 
Sawa.
Hapa nimewaelewa wote.
Ina maana kukitokea hasara ujue kuna mtu wa ndani ya benki kachezesha mchezo
Yes. Na zamani watu wa ndani ya benki walicheza sana hiyo michezo ilipelekea mabenki kuingia hasara kubwa. Baadaye, process ilikuja kuwa ngumu kidogo.
 
Mikopo hiyo ipo, ila huwa ni Mahsusi kwa waajiliwa wa serikali na Taasisi zenye dhamana kubwa

Unapata mkopo kwa hatua za kumalizia ujenzi wa nyumba yako.

Malipo yanaweza kufika hadi miaka 20.

Inafaa kwa wateja walioko kwenye ajira rasmi au wenye biashara zao.

Zinahitaji dhamana (mara nyingi ile nyumba inayoje
ngwa).
Sawa.
Asante sana kwa maelezo yako mkuu. Nimeelewa sasa
 
Back
Top Bottom