Kwanini nyumba nyingi za Dar zinauzwa na Benki?

Yes. Na zamani watu wa ndani ya benki walicheza sana hiyo michezo ilipelekea mabenki kuingia hasara kubwa. Baadaye, process ilikuja kuwa ngumu kidogo.
Aisee watu hawana huruma.
Sawa ni afadhali kama process imebadilika
 
Utaishia kupoteza zaidi ya 15 zako ulizowekeza,Sio rahisi hivyo
 
Yes. Na zamani watu wa ndani ya benki walicheza sana hiyo michezo ilipelekea mabenki kuingia hasara kubwa. Baadaye, process ilikuja kuwa ngumu kidogo.
Ee mkuu.
Kuna watu walikuw wanatarget nyumba za watu. Hata kama mtu angelipa mkopo, Afisa anachzesha "SI" makato yanagoma kupita kwa siku 90, kwa sheria inabidinmteja akiingia "arrear" siku 90, anapelekwa kwa dalali
 
Aisee watu hawana huruma.
Sawa ni afadhali kama process imebadilika
Ndio hivyo. Hata wewe sidhani kama utakubali kumkolesha mtu milioni 10 kwa rehani ya baiskeli. Ni lazima rehani iwe angalau zaidi ya thamani ya mkopo.

Mtu akikuachia rehani ya Hilux double cabin ya 2024 kwa mkopo wa milioni 10 kama unazo sidhani kama itakuwa shida kwako kumpa.
 
Nilimaanisha kwamba mtu anataka kuuza nyumba--- anaenda kukopa benki bila ya kua na mpango wowote-- anakua ndo kashawauzia benki-- yeye anaingia mitini
Ndio.. lakini bank hawana mchezo.. Hawakupi mkopo wenye thamani sawa na nyumba. Nyumba ya 45M, utapewa mkopo 26M ili ikiuma, ing'ate kwako
 
Ee mkuu.
Kuna watu walikuw wanatarget nyumba za watu. Hata kama mtu angelipa mkopo, Afisa anachzesha "SI" makato yanagoma kupita kwa siku 90, kwa sheria inabidinmteja akiingia "arrear" siku 90, anapelekwa kwa dalali
Of course usiposoma na kuzielewa terms and conditions utapigwa.
 
Ndio.. lakini bank hawana mchezo.. Hawakupi mkopo wenye thamani sawa na nyumba. Nyumba ya 45M, utapewa mkopo 26M ili ikiuma, ing'ate kwako
Naam, ni ngumu wao kufanya hivyo-- ila kuna watu wanaclaim hivyo -- kwamba ni ukweli au ni stori zetu za chai za kila siku🤣 -- hapa haifahamiki
 
Siwezi kubali aisee.
Kumbe ndo ilivyo.
Sawa sawa.
Nashukuru nimeelewa
 
Sio kweli,nahisi ujawai hata kujenga....yaani ujenga kwa mil. Kumi na tano,halafu benki waione nyumba yako ina thamani ya milioni mia moja
 
Halafu mtu hapo juu anakuambia bank sio wajinga
Matajiri wanachukua mikopo hata zaidi ya 2b kwa mashamba yasioendelezwa pori tupu
Wengine wafanyakazi wa bank ndio wanawasaidia mbinu za kupata mikopo hao hao wenye nyumba za udongo 😄 poa
 
Sababu ni km ifuatavyo:
1: ukiweka nyumba kwa tathimini za bank unapata mkopo mkubwa sana,50-100mil,km ni ghorofa inafikia mpk 700mil inategemea eneo na idadi ya floor.
2: Wengi walipata changamoto kipindi cha jiwe na mpk sasa hawajakaa sawa kibiashara kwakua dhamana zilikua nyumba..
3: wengine ni matumizi mabaya au kuweka mzigo mwingi kwenye biashara moja mwisho wanashindwa rejesha.
4:wengine alieenda chukua unakuta amefariki na walioachaiwa kushindwa endesha biashara ilioachwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…