Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #121
Umefanya uamuzi sahihi sana mkuu. Be proud of what you have.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefanya uamuzi sahihi sana mkuu. Be proud of what you have.
Umenena vema mkuu...Upo sahihi sana mkuu..yatupasa kushukuru kwa kila jambo,tuwe na mioyo iliyojaa shukrani mbele za Mungu. Tena mzaburi anatuambia "ATOAE DHABIHU YA KUNISHUKURU NDIE ANAENITUKUZA."Ukifanikiwa jambo lolote ukamtolea Mungu sadaka ukamwambia asante kwa kunifanikishia jambo flan hakika Mungu atakubariki na kukuongezea maradufu.
Amen mkuu. Asante sana kwa busara zako.Sio lazima tufanikiwe mambo makubwa sana ndipo tumshukuru hapana. Tukishukuru hata kwa mambo madogo madogo anayotujalia tunakua tumejiongezea nafasi ya kubarikiwa na kuongezewa zaidi.
Jiamini na kitu chako mkuuUkilinganisha nyumba yangu na Kakobe yangu inabaki kuwa ni kibanda tu
Daaah, wife wako alijishusha too much mkuu...Umesema kweli lastborn, shemejio siku moja katika stories akazungumzia maendeleo ya ujenzi wa nyumba yake mbezi, lakini hakuiita nyumba namnukuu;,"kakibanda kangu nilikojenga pale inabidi kabadilishwe maana wanaonizunguka wote wameweka nyumba za kisasa Sasa nimebaki katikati na pagale langu",
Mi ni mwanamkeDaaah, wife wako alijishusha too much mkuu...
SawaMi ni mwanamke
wa.link
Hii ndio nini sasa mkuu?View attachment 2354435![]()
Share on WhatsApp
WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.wa.link
Inawezekana upo sahihi mkuuMimi nafikiri , wanaotumia hizo Lugha sio kwamba wanajishusha, ila hawataki kuonekana wana brag / kujisifu.
Nina Imani mioyoni mwao wanajisifia na kumshukuru Mungu kwa hatua waliofikia
Karibu tena JamiiForumsInawezekana upo sahihi mkuu
Thanks brother. Ninaomba kura yako kule jukwaa la stories of change.Karibu tena JamiiForums
Nipo ninasikilizia kule stories of change kama nitaambulia chochote kituKaribu tena JamiiForums
uzi upi mzalendo? leta title hapaThanks brother. Ninaomba kura yako kule jukwaa la stories of change.
Mkuu, kesho ndio "Last Seen/Comment" yangu humu jamiiforums. Tutaonana tena October 2024 (Miezi 23 kutoka mwezi huu).uzi upi mzalendo? leta title hapa
kila lenye heri ndugu yangu, tupo pamoja.Mkuu, kesho ndio "Last Seen/Comment" yangu humu jamiiforums. Tutaonana tena October 2024 (Miezi 23 kutoka mwezi huu).
Ninaangalia kwenye fursa nyingine ya pesa. Kwa bahati mbaya kwenye stories of change nimeangukia pua.
MAWASILIANO YANGU
===
Halotel - 0621 512 203 - Call/SMS
Tigo - 0654 527 779 - Call/SMS/Whatsapp
===
I wish you all the best.