BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
FOA Unajishusha ili iweje yeye atakavoreact uko nje ni yeye but i know nilichokifanya ni kwa baraka na neema ya mwenyezi Mungu,so lazima tujifunze kuwa wenye shukrani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kaka mkubwa. Nimeifufua ile blog yangu na sasa ninaandaa Telegram channel. Karibu kwa michango kama una chochote kitu.kila lenye heri ndugu yangu, tupo pamoja.
Sawa mkuuFOA Unajishusha ili iweje yeye atakavoreact uko nje ni yeye but i know nilichokifanya ni kwa baraka na neema ya mwenyezi Mungu,so lazima tujifunze kuwa wenye shukrani
Infantry Soldier njoo huku ujibu..Wewe ni msemaji wa Mungu?
Huwa naishia kusema hapa ndio kwangu.hii ndio nyumba yangu. Nimeijenga mpaka stage hii ila Mungu akinijalia nitaimalizia taratibu tarabitu kwa maana pesa ngumu sana siku hizi"