Kwanini nyumba yako unaiita "kakibanda kangu"? Mungu hapendi kujishusha sana. Having too much humility is self destructive

Umenena vema mkuu...
 
Sio lazima tufanikiwe mambo makubwa sana ndipo tumshukuru hapana. Tukishukuru hata kwa mambo madogo madogo anayotujalia tunakua tumejiongezea nafasi ya kubarikiwa na kuongezewa zaidi.
Amen mkuu. Asante sana kwa busara zako.
 
Daaah, wife wako alijishusha too much mkuu...
 
 
Hata ukienda toilet ukajisaidia vizurii na kutoka unatakiwa kumshukuru Mungu
 
Ukisema kwa kujishisha ndo unampa ahueni anaekusikiliza af na yy ndo atajudge kua ni kibanda au ni nyumba
 
uzi upi mzalendo? leta title hapa
Mkuu, kesho ndio "Last Seen/Comment" yangu humu jamiiforums. Tutaonana tena October 2024 (Miezi 23 kutoka mwezi huu).

Ninaangalia kwenye fursa nyingine ya pesa. Kwa bahati mbaya kwenye stories of change nimeangukia pua.

MAWASILIANO YANGU
===
Halotel - 0621 512 203 - Call/SMS

Tigo - 0654 527 779 - Call/SMS/Whatsapp
===

I wish you all the best.
 
kila lenye heri ndugu yangu, tupo pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…