The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kihistoria tulizoea kuona oparesheni mbalimbali za Chadema zikivuna wanachama wengi toka vyama vingine.
Mbona hatutangaziwi kuwa operation imeshavuna wanachama wangapi toka vyama vipi?
Kwa maoni yangu mafanikio ya chama cha siasa ni kudumisha na kutetea itikadi yake na kuongeza idadi ya wanachama ya wanachama.
Kwa jinsi hiyo hii oparesheni haki nini tija yake?