Kwanini Operesheni Haki ya CHADEMA haivuni wanachama toka vyama vingine walionyimwa haki?

Kwanini Operesheni Haki ya CHADEMA haivuni wanachama toka vyama vingine walionyimwa haki?

Kihistoria tulizoea kuona oparesheni mbalimbali za Chadema zikivuna wanachama wengi toka vyama vingine.

Mbona hatutangaziwi kuwa operation imeshavuna wanachama wangapi toka vyama vipi?

Kwa maoni yangu mafanikio ya chama cha siasa ni kudumisha na kutetea itikadi yake na kuongeza idadi ya wanachama ya wanachama.

Kwa jinsi hiyo hii oparesheni haki nini tija yake?
Swaga za zamani za kitapeli za CCM hizo
 
ndio swali langu lilipo.
labda kama corona iliyowaua hao iko tofauti.
..kwani mtu akiugua corona ni lazima msaidizi, mke, na mwanae, waugue?

..kwa mfano, mtoto wa mbowe alitangazwa na rc makonda kuwa ana corona. Je, msaidizi wa mtoto wa mbowe, wazazi, na watoto wake, nao waliogua?
 
nami nitakuuliza kwanini tunahimizwa kuvaa barakoa??

labda ungeniliza kama ni lazima kila mtu wa karibu na mgonjwa kufa kwa corona,lakini kuugua ni jambo tarajiwa.
 
nami nitakuuliza kwanini tunahimizwa kuvaa barakoa??

labda ungeniliza kama ni lazima kila mtu wa karibu na mgonjwa kufa kwa corona,lakini kuugua ni jambo tarajiwa.

..wapo wanaopinga barakoa.

..na wapo wanaohimiza barakoa.

..je, barakoa zina madhara kwa wanaozitumia?

..je, barakoa zinazuia maambukizi ya corona?
 
..wapo wanaopinga barakoa.

..na wapo wanaohimiza barakoa.

..je, barakoa zina madhara kwa wanaozitumia?

..je, barakoa zinazuia maambukizi ya corona?
corona ni ugonjwa wa mapafu.
ambao ulimuua jpm,je hauambukizi??

unachagua wa kuwadhuru?
 
Dada yako mimi ndiye nilimtoa seal hivyo ananithamini kuliko mumewe wa ndoa. Na huyo shemeji yako ana mpango wa kukutafuna wewe endelea tu kudemka hapo nyumbani kwake utastukia siku moja asubuhi huna marinda
Wanawake ndivyo mlivyo, hamuwezi kabisa kukaa na siri, sasa inakuwaje tena unatoa siri za mwanamke mwenzio? Lakini yote kwa yote chadema ni chama cha kitapeli ndio maana ikaambulia mbunge moja kama wa dawa
 
..inawezekana hawajapata wanachama wapya.

..lakini kazi ya kutafuta wanachama wapya ni ENDELEVU.

..zipo operesheni ambazo zitafeli na zipo ambazo zitafanikiwa.
Naam...!! Lakini ni muhimu kwa chama cha siasa kufanya hamasa kama hizi kudhihirisha uhai wake na uhuru wa kufanya siasa hasa wakati huu nchi inapoongozwa na rais mstaarabu.
 
Tapeli unaangaika nae wa nini? ukishawaambia watu utapeli wake inatosha watu kumpuuza , chadema ni matapeli walipokuwa wanapata ruzuku nyingi ujenzi wa ofisi wakajifanya wameusahau, sasa hivi wamefulia wanasumbua watu kuwataka wajenge ofisi ahahahahaha
Weka evidence wametapeli nn
 
Raia hawasumbuliwi wanatoa kwa hiari yao wala hawatekwi 🤣🤣, nataman san nione evidence hapa jinsi walivyokua wanatapeli
 
Wanawake ndivyo mlivyo, hamuwezi kabisa kukaa na siri, sasa inakuwaje tena unatoa siri za mwanamke mwenzio? Lakini yote kwa yote chadema ni chama cha kitapeli ndio maana ikaambulia mbunge moja kama wa dawa
Wewe demka tu hapo kwa dadako ujue shemeji yako anakulia timing akupulize,mtoto wa kiume unashindwa kupanga hata kachumba kamoja,yote kutaka kitonga tu.
 
Raia hawasumbuliwi wanatoa kwa hiari yao wala hawatekwi 🤣🤣, nataman san nione evidence hapa jinsi walivyokua wanatapeli
Raia gani atatoa pasa yake kwa matapeli hao, ofisi itakayo kamilika lete picha yake hapa, na maanisha ofisi sio kibanda cha kufugia kuku
 
Wewe demka tu hapo kwa dadako ujue shemeji yako anakulia timing akupulize,mtoto wa kiume unashindwa kupanga hata kachumba kamoja,yote kutaka kitonga tu.
Bila shaka wewe na mwanamke mwenzako ni mashoga aswa, maana mnapeana mpaka siri za ndani, lakini humu siri zenu na waume zenu sisi hatuitaji, narudia Mbowe ni tapeli alipokuwa na ruzuku alizitafuna weee, sasa hivi kafulia anataka kubebesha watu matofali
 
Weka evidence wametapeli nn
Unataka evidence gani kwani hujui wakina Mbowe walikuwa wanapata ruzuku kiasi gani ,lakin hawakukumbuka ofisi, wakatafuna pesa, leo hii pesa hamna anabebesha misukule yake matofali
 
Back
Top Bottom