Kwanini Operesheni Haki ya CHADEMA haivuni wanachama toka vyama vingine walionyimwa haki?

2613143_1605032646884.png

Hii sio Operesheni ya 'kununua " wanachama ! Kama mlivyokuwa mnazungusha mkono kujipa pongezi pasipo kustahili
 
..madai yako siyo ya kweli.

..Chadema waliwahi kuwa na safu hii ya uongozi.

..Prof.Safari makamu mwenyekiti kabila msukuma.

..Dr.Mashinji katibu mkuu kabila msukuma.

..John Mnyika naibu katibu mkuu kabila msukuma.

..John Pambalu mwenyekiti umoja wa vijana kabila msukuma.

..huwezi kumtuhumu Mbowe kuwa anapendelea wachaga wenzake wakati safu ya viongozi wenzake iko hivyo.

Atakwambia wote walikuwa wachagga mwanzoni,walibadili kabila na kuingia usukuma.
 
Umeambiwa ni online registration, umeingia kwenye database yao ukakosa wanachama wapya?
Sijui kwa nini... Lakini kila nikisikia online registration nakumbuka mwaka 2015 wakati Lowasa kashindwa kunadi ilani ya CDM, aliposema elimu, elimu, elimu akamalizia ilani inaptikana kwenye website ya Chama.
Naona Sasa Ni zamu ya Mbowe kuwageuza mafala miskule yake na online registration.
Mimi Niko huku kwa field sijaona online Wala offline registration.
Wenzangu mlionyeshewa na mvua ya online hebu tuambieni ndio hicho!?
 
Kwa ufupi sana jpm alifanya siasa zifubae, sasa kuja kurejea hali ya kawaida itachukua miaka, vilevile jpm katufundisha kuwa siasa ni UONGO MTUPU. ndio maana unaona wananchi wameacha ushabiki maandazi.
 
Baada ya Mbowe, maenyekiti wa CHADEMA kulilia wachaga kukosa ajira nilimdharau sana. Niliichana kadi ya chama baada ya kuona mwenyekiti wangu ni mkabila kiasi hicho! Siwezi kuongozwa na mbumbumbu kiasi hicho.
Ndani ya CHADEMA ni uchaga kwanza! Wenye akili wamelibaini hilo ndiyo maana mwenyekiti anazurura tu huko mikoani bila kupata impact yoyote ndani ya chama kisiasa.
Mwenyekiti wa kile chama ni wa hovyo mno!

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Umeandika kinyonge sana.
Usiishi kwa dhamira ya mtu mwingine utaishi maisha magumu sana
 
..huu ndio UJINGA unaotokana na siasa za CCM.

..chama kinatakiwa kivutie watu wasio na vyama wajiunge na chama husika.

..harakati za vyama kunyang'anyana wanachama kama vilabu vya mpira vinavyonyang'anyana wachezaji ni upumbavu.
sizitaki mbichi hizi
 
Baada ya Mbowe, maenyekiti wa CHADEMA kulilia wachaga kukosa ajira nilimdharau sana. Niliichana kadi ya chama baada ya kuona mwenyekiti wangu ni mkabila kiasi hicho! Siwezi kuongozwa na mbumbumbu kiasi hicho.
Ndani ya CHADEMA ni uchaga kwanza! Wenye akili wamelibaini hilo ndiyo maana mwenyekiti anazurura tu huko mikoani bila kupata impact yoyote ndani ya chama kisiasa.
Mwenyekiti wa kile chama ni wa hovyo mno!

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Kila siku mnalilia aondoke.... Ili muweke mapandikizi yenu, lakin mmefeli... Pole Mkuu SIJUI UNATESEKA UKIWA WAPI? EMBU KUNYWA PEPSI BARIIIDI NA KASHATA, THEN JIPIGE NGUMI KIFUANI HUKU UKISEMA "MIMI NI MPUMBAVU"
 
Kwahiyo kamanda ukaamua kumuacha Mwenyekiti Mbowe ukaungana na yule Mwenyekiti aliye agiza kubomoa nyumba za Wachaga Kimara Dsm na kuagiza nyumba za Wasukuma wenzake Mwanza zisibomolewe zote zikiwa ktk hifadhi ya barabara.
Una akili kama libashite wewe.
Ndio maana utafiti Wa TWAWEZA unasema wanachama Wa Chama Cha Mafisadi ni Vihiyo.
Kamanda, unaamini kabisa ni sahihi Mbowe kutoa speech kama ile kama mwenyekiti wa chama cha kitaifa!

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
..madai yako siyo ya kweli.

..Chadema waliwahi kuwa na safu hii ya uongozi.

..Prof.Safari makamu mwenyekiti kabila msukuma.

..Dr.Mashinji katibu mkuu kabila msukuma.

..John Mnyika naibu katibu mkuu kabila msukuma.

..John Pambalu mwenyekiti umoja wa vijana kabila msukuma.

..huwezi kumtuhumu Mbowe kuwa anapendelea wachaga wenzake wakati safu ya viongozi wenzake iko hivyo.
Simtuhumu Mbowe kupendelea wachaga katika nafasi za uongozi ndani ya chama. Niliamimi hizo ni propaganda za CCM tu kudhoofisha nguvu ya CHADEMA. Namtuhumu mbowe kwa speech aliyoitoa juzi akituhumu wachaga kubaguliwa katika ajira serikalini. Nilimdharau sana.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Simtuhumu Mbowe kupendelea wachaga katika nafasi za uongozi ndani ya chama. Niliamimi hizo ni propaganda za CCM tu kudhoofisha nguvu ya CHADEMA. Namtuhumu mbowe kwa speech aliyoitoa juzi akituhumu wachaga kubaguliwa katika ajira serikalini. Nilimdharau sana.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app

..kuna kauli na matendo ya magufuli yaliyopelekea kuwepo na madai kama aliyoyatoa freeman mbowe.

..freeman mbowe siyo mtu wa kwanza kuzungumza kuwa wachaga wanabaguliwa. Suala hili liliwahi kuibuliwa hata bungeni na mh.joseph selasini.
 
sizitaki mbichi hizi

..wengi waliohamia cdm wakitokea ccm wameishia kubwaga manyanga na kurudi walikotokea.

..nadhani hali hiyo inatokana na ukweli kwamba vyama vya upinzani vinafanya kazi ktk mazingira magumu ya kisiasa na mtu aliyekulia ndani ya ccm hawezi mateso ya kuwa mpinzani.
 
Kihistoria tulizoea kuona oparesheni mbalimbali za Chadema zikivuna wanachama wengi toka vyama vingine.

Mbona hatutangaziwi kuwa operation imeshavuna wanachama wangapi toka vyama vipi?

Kwa maoni yangu mafanikio ya chama cha siasa ni kudumisha na kutetea itikadi yake na kuongeza idadi ya wanachama ya wanachama.

Kwa jinsi hiyo hii oparesheni haki nini tija yake?
Ingia mitandaoni

Twaha__Mwaipaya_on_Instagram:_“Kumekucha_Chadema”%22_.jpg
 
Kihistoria tulizoea kuona oparesheni mbalimbali za Chadema zikivuna wanachama wengi toka vyama vingine.

Mbona hatutangaziwi kuwa operation imeshavuna wanachama wangapi toka vyama vipi?

Kwa maoni yangu mafanikio ya chama cha siasa ni kudumisha na kutetea itikadi yake na kuongeza idadi ya wanachama ya wanachama.

Kwa jinsi hiyo hii oparesheni haki nini tija yake?
Haikuhusu sisi wenyewe tunajua tumepata nini. Nyie masalia ya mwendazake dikteta dhalim endeleeni kuomboleza
 
Kihistoria tulizoea kuona oparesheni mbalimbali za Chadema zikivuna wanachama wengi toka vyama vingine.

Mbona hatutangaziwi kuwa operation imeshavuna wanachama wangapi toka vyama vipi?

Kwa maoni yangu mafanikio ya chama cha siasa ni kudumisha na kutetea itikadi yake na kuongeza idadi ya wanachama ya wanachama.

Kwa jinsi hiyo hii oparesheni haki nini tija yake?
Amka amka amka mkuu hii inaitwa super man digital movement
 
Back
Top Bottom