Kwa oparesheni hii ni wangapi wasio na vyama waliojiunga na CDM hadi sasa?..huu ndio UJINGA unaotokana na siasa za CCM.
..chama kinatakiwa kivutie watu wasio na vyama wajiunge na chama husika.
..harakati za vyama kunyang'anyana wanachama kama vilabu vya mpira vinavyonyang'anyana wachezaji ni upumbavu.