The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
This is online registration not manually.Opareshen haihusiani na kutafta wanachama ,subiri wimbili hili liishe iaze mikutano ya hadhara.
..huu ndio UJINGA unaotokana na siasa za CCM.
..chama kinatakiwa kivutie watu wasio na vyama wajiunge na chama husika.
..harakati za vyama kunyang'anyana wanachama kama vilabu vya mpira vinavyonyang'anyana wachezaji ni upumbavu.
**** unataka kuvunwa si uvunike tu?Kihistoria tulizoea kuona oparesheni mbalimbali za Chadema zikivuna wanachama wengi toka vyama vingine.
Mbona hatutangaziwi kuwa operation imeshavuna wanachama wangapi toka vyama vipi?
Kwa maoni yangu mafanikio ya chama cha siasa ni kudumisha na kutetea itikadi yake na kuongeza idadi ya wanachama ya wanachama.
Kwa jinsi hiyo hii oparesheni haki nini tija yake?
Akili za MATAGA zimekufa kitambo sana toka walipomchagua yule mwenyekiti aliyefyekwa na corona kwa ubishi wake.Umeambiwa ni online registration, umeingia kwenye database yao ukakosa wanachama wapya?
Baada ya Mbowe, maenyekiti wa CHADEMA kulilia wachaga kukosa ajira nilimdharau sana. Niliichana kadi ya chama baada ya kuona mwenyekiti wangu ni mkabila kiasi hicho! Siwezi kuongozwa na mbumbumbu kiasi hicho.
Ndani ya CHADEMA ni uchaga kwanza! Wenye akili wamelibaini hilo ndiyo maana mwenyekiti anazurura tu huko mikoani bila kupata impact yoyote ndani ya chama kisiasa.
Mwenyekiti wa kile chama ni wa hovyo mno!
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Nandoma nikasema wasubiri wimbi lawatu ambao niwatakua wanachama wapya nawazamani sio mashabiki waliowazoea wakirudisha kadi wakipata mpya..tutakuna mikutanoni na tukiwa wengi tulikopatikania siriyetuThis is online registration not manually.
Kwahiyo kamanda ukaamua kumuacha Mwenyekiti Mbowe ukaungana na yule Mwenyekiti aliye agiza kubomoa nyumba za Wachaga Kimara Dsm na kuagiza nyumba za Wasukuma wenzake Mwanza zisibomolewe zote zikiwa ktk hifadhi ya barabara.Baada ya Mbowe, maenyekiti wa CHADEMA kulilia wachaga kukosa ajira nilimdharau sana. Niliichana kadi ya chama baada ya kuona mwenyekiti wangu ni mkabila kiasi hicho! Siwezi kuongozwa na mbumbumbu kiasi hicho.
Ndani ya CHADEMA ni uchaga kwanza! Wenye akili wamelibaini hilo ndiyo maana mwenyekiti anazurura tu huko mikoani bila kupata impact yoyote ndani ya chama kisiasa.
Mwenyekiti wa kile chama ni wa hovyo mno!
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Mkuu hata usimueleweshe MATAGA huyo mimi nataka nijue ile Juice kutoka Antananarivo iliienda wapi?..madai yako siyo ya kweli.
..Chadema waliwahi kuwa na safu hii ya uongozi.
..Prof.Safari makamu mwenyekiti kabila msukuma.
..Dr.Mashinji katibu mkuu kabila msukuma.
..John Mnyika naibu katibu mkuu kabila msukuma.
..John Pambalu mwenyekiti umoja wa vijana kabila msukuma.
..huwezi kumtuhumu Mbowe kuwa anapendelea wachaga wenzake wakati safu ya viongozi wenzake iko hivyo.