Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Evidence muhimu ili tuone matumizi yao, then itajulikana pesa ilitumikaje. Bila ya hizo hizi zitakua propaganda tuUnataka evidence gani kwani hujui wakina Mbowe walikuwa wanapata ruzuku kiasi gani ,lakin hawakukumbuka ofisi, wakatafuna pesa, leo hii pesa hamna anabebesha misukule yake matofali
Wewe utakua una gubu na hao CDM aisee c uende Twitter kweny official account yao kuna maujenz yanaendelea nchi nzima. Unakalia kukariri mambo badala ya kuja na factsRaia gani atatoa pasa yake kwa matapeli hao, ofisi itakayo kamilika lete picha yake hapa, na maanisha ofisi sio kibanda cha kufugia kuku
Evidence ni matendo ya mwenyekiti, ambaye ndie mwenye chama akiamua Lowassa awe mchafu anakua, kesho akiamua lowassa awe msafi anakua, huyo amepiga pesa ya ruzuku hakukumbuka ata kujenga ofisi moja, leo ruzuku zimepungua anataka kubebesha watu matofali, na bahati mbaya kuna misukule inamfataEvidence muhimu ili tuone matumizi yao, then itajulikana pesa ilitumikaje. Bila ya hizo hizi zitakua propaganda tu
Nimekwambia ikikamilika ofisi moja njoo.hapa, ila nakusisitizia ni ofisi sio banda la kufugia kukuWewe utakua una gubu na hao CDM aisee c uende Twitter kweny official account yao kuna maujenz yanaendelea nchi nzima. Unakalia kukariri mambo badala ya kuja na facts
Propaganda za kitoto kijana, tengeneza hoja mamb ya banda la kuku uliona wapNimekwambia ikikamilika ofisi moja njoo.hapa, ila nakusisitizia ni ofisi sio banda la kufugia kuku
Kwahiyo unapata maumiv makali ukisikia wananchi wanaichangia chadema 🤣🤣🤣Evidence ni matendo ya mwenyekiti, ambaye ndie mwenye chama akiamua Lowassa awe mchafu anakua, kesho akiamua lowassa awe msafi anakua, huyo amepiga pesa ya ruzuku hakukumbuka ata kujenga ofisi moja, leo ruzuku zimepungua anataka kubebesha watu matofali, na bahati mbaya kuna misukule inamfata
Propaganda za kitoto kijana, tengeneza hoja mamb ya banda la kuku uliona wap
Propaganda za kitoto kijana, tengeneza hoja mamb ya banda la kuku uliona wap
Nafikiri nimeandika kiswahili fasaha, ofisi moja kati ya hizo ikikamilika lete hapa tuone, ila nakukumbusha nataka ofisi sio banda la kuku, sasa hapo tatizo nini ?Propaganda za kitoto kijana, tengeneza hoja mamb ya banda la kuku uliona wap
Halikuwa kubwa kwa vile tayari lilikuwa managed kwa kifaa cha uhakika (pacemaker). Bila kutibuliwa na Covid-19 kusingetokea tatizo lolote. Btw, hakuna mtu anayekufa kwa Covid-19 au HIV. Virusi hivyo ni vichocheo vya udhaifu ulioko mwilini ambao hupelekea mauti.kwamba tatizo la moyo linamuua jpm kwa mara ya kwanza toka kugundulika lipo duniani!!!
umeambiwa tatizo analo tokea yuko chuo kikuu,unasema sio kubwa.
Watu wengi walionekana wana bahati ila mwisho wa siku watu waliokuwa misukule yao walibaki kulia na kusaga meno, hivyo kazi yangu ni kuizindua misukule ijitambuePole san mkuu ila nikushaur tu... Bahati ya mwenzio usiilalie jicho wazi mkuu