Kwanini Orijino Comedy Dstv haina wafuatiliaji wengi?

Kwanini Orijino Comedy Dstv haina wafuatiliaji wengi?

Habari wana JF,

Hivi kwanini Orijino comedy dstv haina wafuatiliaji wengi ,Shida ni nini?

Kukosekana kwa Joti? Muda uliowekwe kwa ajili ya hicho kipindi?

Kwa kifupi hata viewers wa clips zao kwenye mitandao ni wachache shida nini?

Maana waigizaji wapo tena wazuri, kwa mnao fuatilia shida ni nini uwasaidie?
Nyakati ni sawa na kurasa za kitabu..
 
Duh...hiyo takwimu umeitoa wapi? kama hutumii DSTV utaionaje show? hizo clips zao mitandaoni wamezipost lini wakati mkataba wao hauruhusu? ni watu tu wanarecord show na kurusha YouTube na ndo sababu utaona wala hazikai zinaondolewa.
Nnatumia Dstv tangu 2015 ila hicho kipindi sijawahi hata kukielewa toka kimeingia dstv
 
Back
Top Bottom