Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Ego is the enemyWaling'ara ITV ila walipoingia TBC majivuno yakawazidi, siku zote majivuno humtosa msanii kama walivyotoswa kundi la wanamuziki The Beatles.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ego is the enemyWaling'ara ITV ila walipoingia TBC majivuno yakawazidi, siku zote majivuno humtosa msanii kama walivyotoswa kundi la wanamuziki The Beatles.
Dstv ina watumiaji wengiMosi, DSTV haina wafuasi wengi...
Pili, hao kina Mpoki hawana kitu kipya...
Tatu, soko tayari limeshakuwa na kina Mpoki wengi...
Hii ya kisoma kama habari inawangusha sana ,kitimutimu inafuatiliwa sanaDstv wamelamba garasa, the comedy hao kina masanja hakuna wanachofanya naona watu hawaifatilii kabisa tena hio stail yao ya kutangaza kama habari ipo outdated, Dstv wangeingia mkataba na Joti zile show zake za YouTube wangenunua warushe wao.. yaan bora hata kitimtim naona inabamba
Umemaliza kila kituShida sio muda, style au nini, shida wanaonyesha vitu visivyotakiwa na watazamaji, misingi yao hapo mwanzo ilikuwa ni kuikosoa selikari kupitia vichekesho je wanaendelea? Watazamaji wanahitaji mambo yaliofichika au tetesi kuzileta bayana je wanafanya?
Mkuu watumiaji wa Dstv tuko wengi ila nao hawafuatilii hicho kipindiKuwa star maarufu kujulikana kupendwa kufatiliwa nk yote hayo ni mambo marahisi na mepesi sana, ishu ni kumaintain hiyo status hapo ndipo penye kipengele.
Original Comedy bila JOTI hamna kitu,hamna mchekeshaji pale ni sawa na yamoto Band bila Aslay. Kingine ukitoa kasoro zingine Kipindi kuwa DSTV tu ni tatizo.
DSTV ni zamani sio sasa, DSTV imebaki kwenye mabanda ya mpira tu Majumbani kumejazana ma Azam na wenzao kina star times.