Kwanini Orijino Comedy Dstv haina wafuatiliaji wengi?

Kwanini Orijino Comedy Dstv haina wafuatiliaji wengi?

Mosi, DSTV haina wafuasi wengi...

Pili, hao kina Mpoki hawana kitu kipya...

Tatu, soko tayari limeshakuwa na kina Mpoki wengi...
Dstv ina watumiaji wengi
 
Dstv wamelamba garasa, the comedy hao kina masanja hakuna wanachofanya naona watu hawaifatilii kabisa tena hio stail yao ya kutangaza kama habari ipo outdated, Dstv wangeingia mkataba na Joti zile show zake za YouTube wangenunua warushe wao.. yaan bora hata kitimtim naona inabamba
Hii ya kisoma kama habari inawangusha sana ,kitimutimu inafuatiliwa sana
 
Shida sio muda, style au nini, shida wanaonyesha vitu visivyotakiwa na watazamaji, misingi yao hapo mwanzo ilikuwa ni kuikosoa selikari kupitia vichekesho je wanaendelea? Watazamaji wanahitaji mambo yaliofichika au tetesi kuzileta bayana je wanafanya?
Umemaliza kila kitu
 
Kuwa star maarufu kujulikana kupendwa kufatiliwa nk yote hayo ni mambo marahisi na mepesi sana, ishu ni kumaintain hiyo status hapo ndipo penye kipengele.

Original Comedy bila JOTI hamna kitu,hamna mchekeshaji pale ni sawa na yamoto Band bila Aslay. Kingine ukitoa kasoro zingine Kipindi kuwa DSTV tu ni tatizo.

DSTV ni zamani sio sasa, DSTV imebaki kwenye mabanda ya mpira tu Majumbani kumejazana ma Azam na wenzao kina star times.
 
  • Thanks
Reactions: RNA

Mkuu watumiaji wa Dstv tuko wengi ila nao hawafuatilii hicho kipindi
 
Back
Top Bottom