Kwanini Orijino Comedy Dstv haina wafuatiliaji wengi?

Kingine kuna udini kidogo
 
Habari wana JF,

Hivi kwanini Orijino comedy dstv haina wafuatiliaji wengi ,Shida ni nini?

Kukosekana kwa Joti? Muda uliowekwe kwa ajili ya hicho kipindi?

Kwa kifupi hata viewers wa clips zao kwenye mitandao ni wachache shida nini?

Maana waigizaji wapo tena wazuri, kwa mnao fuatilia shida ni nini uwasaidie?
Wamerudi na style ile ile ya miaka ya 2007 wakati hiki kizazi cha watazamaji wengi walikiwa watoto na hizo sio style zao tena.
Hakuna kipya hapo.
Mfano mimi ninapenda nyimbo za time after time, never be the same again, ngoma za ashanti na ja rule, kuna dogo uwa nashangaa nazipendea nini kwanini siwaelewo akina takashi, jibu ni kwamba ngoma nazosikiliza sio generation yake.
 
Umenena kweli ,waangalie na wakati
 
Umenena kweli ,waangalie na wakati
Mimi mwenyewe japo nilikuwaga nawapenda kipindi hicho nikiwa sekondari o'level, siku hizi hawanichekeshi hata kidogo.
Ni mara chache sana nikavutiwa na vichekesho vyao.
 
Mimi nimeangalia kama mara mbili nikaona kama ulivyo ona wewe mfumo waliotumia kipingi hicho wanakuja nao 2022
 
Kuna Haja ya kubadili namna mfumo wa uchekeshaji
 
Sasa hivi vichekesho kwenye media viko vingi.
Ushindani ni mwingi, kuna Nigerians, Ghanaian, Indians , Chinese
Kote moto , nani atazame komedi za kihuni za waropokaji
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Shida sio muda, style au nini, shida wanaonyesha vitu visivyotakiwa na watazamaji, misingi yao hapo mwanzo ilikuwa ni kuikosoa selikari kupitia vichekesho je wanaendelea? Watazamaji wanahitaji mambo yaliofichika au tetesi kuzileta bayana je wanafanya?
 
Sasa hivi vichekesho kwenye media viko vingi.
Ushindani ni mwingi, kuna Nigerians, Ghanaian, Indians , Chinese
Kote moto , nani atazame komedi za kihuni za waropokaji
Nini wafanye wawe level hizo ?
 
Shida sio muda, style au nini, shida wanaonyesha vitu visivyotakiwa na watazamaji, misingi yao hapo mwanzo ilikuwa ni kuikosoa selikari kupitia vichekesho je wanaendelea? Watazamaji wanahitaji mambo yaliofichika au tetesi kuzileta bayana je wanafanya?
Umesomeka
 
Wale zama zao zimepita,
Sasa hivi tunaangalia kombolela azam tv
 
Mosi, DSTV haina wafuasi wengi...

Pili, hao kina Mpoki hawana kitu kipya...

Tatu, soko tayari limeshakuwa na kina Mpoki wengi...
 
Dstv wamelamba garasa, the comedy hao kina masanja hakuna wanachofanya naona watu hawaifatilii kabisa tena hio stail yao ya kutangaza kama habari ipo outdated, Dstv wangeingia mkataba na Joti zile show zake za YouTube wangenunua warushe wao.. yaan bora hata kitimtim naona inabamba
 
Back
Top Bottom