Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Sidhani kama unatumia DStv ndugu.Kwa sasa mvuto hawana sio kama zamani siku ya ze comedy tunakimbia kuwahi nyumbani kuangalia si mkubwa wala mtoto
Basi hoja yangu namba mbili huenda inahusikaWatumiaji wa Dstv ni wengi lakini ufuatiliaji sio Mkubwa kama tamthiliya nyingine
Nyakati ni sawa na kurasa za kitabu..Habari wana JF,
Hivi kwanini Orijino comedy dstv haina wafuatiliaji wengi ,Shida ni nini?
Kukosekana kwa Joti? Muda uliowekwe kwa ajili ya hicho kipindi?
Kwa kifupi hata viewers wa clips zao kwenye mitandao ni wachache shida nini?
Maana waigizaji wapo tena wazuri, kwa mnao fuatilia shida ni nini uwasaidie?
Weka link hapa ya Chanel ya hiyo show YouTube, kuwa great thinker aisee...Wengi sana ,lakini hata You tube views chache sana
Nnatumia Dstv tangu 2015 ila hicho kipindi sijawahi hata kukielewa toka kimeingia dstvDuh...hiyo takwimu umeitoa wapi? kama hutumii DSTV utaionaje show? hizo clips zao mitandaoni wamezipost lini wakati mkataba wao hauruhusu? ni watu tu wanarecord show na kurusha YouTube na ndo sababu utaona wala hazikai zinaondolewa.
Natumia niniSidhani kama unatumia DStv ndugu.
Ngoja akutajie labda mnaishi pamojaNatumia nini
Eeh labda pia alininunulia yeye๐Ngoja akutajie labda mnaishi pamoja
Zama zao zimepitaHawa jamaa walipokua EATV ilikua peak.
๐๐๐Eeh labda pia alininunulia yeye๐
Labda waweke kwa mfumo wa series sio habariTatizo sasa hivi kuna vichekesho Vinci sana huko tiktok nk kwahiyo ule mzuka wa kwenda kumuangalia Mpoki akimuigiza hayati Komba ushapotea
Kweli kabisa hili, so kunakua hakuna maajabuTatizo sasa hivi kuna vichekesho Vinci sana huko tiktok nk kwahiyo ule mzuka wa kwenda kumuangalia Mpoki akimuigiza hayati Komba ushapotea
Kwan hakuna namna wakaigiza kizidi huko ?Kweli kabisa hili, so kunakua hakuna maajabu