Kwanini orodha ya wabunge mashoga inafichwa?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi machoziiii.
Waweke wazi tujue hapaaa.
 
Ushoga sio utamaduni wa kitanzania na ikibainika una tabia hizo jamii nzima itakudharau na kukutenga hivyo inabidi tuwe makini pale tunapowatuhumu watu kuwa na tabia hizo.
Mbna kuna raia order ilitoka mahamaka waka kamatwa na kupimwa kwa nguvu? Hizo tuhuma ni ndogo?

Wao wabunge watoe majibu wazi ya vipimo vyao, acheni ubaguzi hapaa.

Tunataka matokeo ya vipimoooo.
 
Wao wenyewe ndo kutwaa kuongelea na na kutaja baadhi ya watu wakamatwe kupima, na mahakama ikatoa order hiyo.

Why wao majibu yasiletwe wazi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana yake.
 
Tanzania na maadili yake.
Wabunge,madiwani, madaktari, walimu wote wapimwe.
Woteee waanze kupimwaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nataka sanaa kwa watu wa bank, huko ndo natakaa zoezi lianze.
 
[emoji1787][emoji1787]
Tutakuwa wa kwanza duniani kutoheshimu faragha za watu......
Bashite alipotaja hadharani wanaume waliozaa nje ya ndoa (na wengine ni waume za watu) mbona hakuzingatia hiyo faragha? Sheria ni msumeno; inakata kote kote.
 
[emoji1787][emoji1787]
Tutakuwa wa kwanza duniani kutoheshimu faragha za watu......
Wameanza wao wabunge, hivi kutaja baadhi ya watu wapimwe na order kutoka, wahusika waka kamatwa kupimwa kwa nguvu, hii ni halali??

Na wao wapimwe tujue km kweli wako serious.
Hatutaki ubaguzi hapaa.
 
Bashite alipotaja hadharani wanaume waliozaa nje ya ndoa (na wengine ni waume za watu) mbona hakuzingatia hiyo faragha? Sheria ni msumeno; inakata kote kote.
Alifanya yeye kwa akili zake....mbona hakuendelea??!!

Ulimsikia mh.Waziri mkuu na wabunge walivyokuwa kinyume naye?[emoji1787]
 
Tanzania na maadili yake.
Wabunge,madiwani, madaktari, walimu wote wapimwe.
Na wanajeshi wote wapimwe mapuru.

Tuanze na GESHI RA PORISHI kwa akina AFANDE RAMA, kule tutapata mabwabwa ya kutosha.
 
Kote wako...tena wengine ndio haohao wanaowapigia kelele "madheha" walio bayana ....tunajifanya wanafiki tu.....
Niliona mbunge Fulani akilalama hadi koo linakaukaa, akati file lake tunalo, nkabaki kujisemea huu unafiki afu unafiki tenaa.

Mtu anasema watu Fulani wakamatwe akati yeye ndo anachezea nyota zao ili mambo yake yaendee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Najioneagaaa tabuu tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…