Mkuu mbona unaji defend? Inabidi tukukamate upimwe kwa nguvu. Uchoku ni dhambi. 😀 😀Kuwadhalilisha tu....ni "trivial tu"....
Hivi kweli mtu mwenye kujitambua anahitaji kujua mwingine anautumiaje mwili wake haswa katika starehe za mwili wake huyo mwingine?!!! [emoji849][emoji1787][emoji1787]
Mfano vipimo vinasema kwamba Naibu spika ndiye siye! Nimesema kwa mfano, jee wale wabunge mabasha wakitaka kuuliza swali la nyongeza watauliza huku wakikuna mzuzu [emoji3185] na kukonyeza?Wakiwekwa wazi patachimbika
Sio huko tuu, hata viongozi kama ma RC na ma DC.Wapo. Ndio maana tunataka wawekwe hadharani ili tuwachekeche tuwaondoe bungeni. Hatuwezi kuwakilishwa na machoko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] majibu ya vipimoo watu wanatakaa.Cheap politics tu [emoji1787]
Ndo wa TZ wanataka hivyo sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimepinga ila "si choko"....
BTW hivi kweli "mwili wangu"....mwili wa mwingine....starehe zake za faragha zinawahusuje watu wengine?!!!!.
Kutaka kujua faragha za wengine ni akili kweli ?!!![emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna watu wanafiki km "Bisexual" siwataki hata kuwasikia.Facts [emoji106]
Kama waafrika hatufurahishwi kuwa na jamii ya aina hiyo.....lakini kweli nani anaweza kumpangia mtu cha kufanya akiwa faragha?!!!
Nilikuwa na rafiki yangu mwenye kuishi ibada ya dini yake.....alikuwa anapenda kuwapinga sana hao "watu".....nikaja kugundua pamoja na kuwa na mke kijana mwenzake msomi mwenzake na mrembo haswa ila mwana ana "mchepuko" shoga aishiye mtoni Kijichi na amempangia kabisa chumba.....imagine....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahMfano vipimo vinasema kwamba Naibu spika ndiye siye! Nimesema kwa mfano, jee wale wabunge mabasha wakitaka kuuliza swali la nyongeza watauliza huku wakikuna mzuzu [emoji3185] na kukonyeza?
Akati huko Mombasa aliolewa kabisaa, alikua anaishi kinyumba na basha, km mke na mume.Sio huko tuu, hata viongozi kama ma RC na ma DC.
Kuna RC mmoja mikoa ya kanda ya ziwa anajulikana toka zamani. Pia DC mmoja alikuwa na cheo ndani ya chama hadi akawa anaenda holiday Mombasa kwa basha na watu wanajua.
Du! Huyu amekubuhu aisee. Atajwe tu ili tuwe tunampita mbali.Sio huko tuu, hata viongozi kama ma RC na ma DC.
Kuna RC mmoja mikoa ya kanda ya ziwa anajulikana toka zamani. Pia DC mmoja alikuwa na cheo ndani ya chama hadi akawa anaenda holiday Mombasa kwa basha na watu wanajua.
Hao mafisadi mmewafanya nini hadi sasa? Hamna lolote nyie keyboard warriorsKwani mafisadi walioibuliwa na CAG waliiba mbele ya CAG au unajitoa ufahamu kwa makusudi mkuu?
Mungu aitetee nchi yetu!!Mbona sioni wakiwasema ma lesbo? Inamaana bungeni hakuna wasagaji? Hata wawili wa dawa?