Mungu hajaandika kitu tafadhali wacha hadithi, ya mungu ni mengi sana hayaandikiki na hakuna anayeweza kuyaandika maana hayajui. Vitab hivi viliandikwa na watu wema wenye nia njema na wenye maono waliotaka kutatua tatizo la kijamii la wanajamii hisika/maalumKila andiko kwenye Biblia ni neno la Mungu yaani ni Mungu mwenyewe ....angalia unapofikiri unapinga Ukatoliki kumbe unampinga Mungu ....tukianza kuchagua andiko hili ni muono wa kibinadamu na hili ni Mungu tunaenda kubaya sana.....Yesu ni Mungu hivyo hatuombei bali yeye ndio mpaji ...ila Mapadre, wachungaji, watakatifu n.k wanaweza kutuombea kwa Mungu ....kama wewe ni Mkristo na huamini kuna maisha baada ya kifo basi ule ufufuko wa Yesu ulikuwa kazi bure ......kama Yesu alitokewa na Musa, Eliya kumtia moyo ....enzi zenu si mngesema ni wafu/ mizimu ile?
Unajua biblia imekaa ikiwa complete tena yenye pumzi ya Mungu kwa Miaka zaidi ya 1500... Sasa ni mamlaka gani huyo Luther na aliyapata wapi kupunguza vitabu vya Agano la Kale...?biblia hasa agano la kale tumeitoa kwa wayahudi. sasa wayahudi hawakuwa na hivyo vitabu saba vya kina Judith na Tobith. wakatoliki waliviongeza ndiyo sababu Luther aliviondoa.
Wewe hebu jiondoe hapa maana huna unachojua..Mungu hajaandika kitu tafadhali wacha hadithi, ya mungu ni mengi sana hayaandikiki na hakuna anayeweza kuyaandika maana hayajui. Vitab hivi viliandikwa na watu wema wenye nia njema na wenye maono waliotaka kutatua tatizo la kijamii la wanajamii hisika/maalum
AmeenWewe hebu jiondoe hapa maana huna unachojua..
kama ndo hivyo hata komputers, simu na ndege zimetengenezwa na Mungu. Maana watu waliondika bibilia na quran wanasema "wenyewe" wametumwa na Mungu hivyo ni Mungu kaandika, kwanini watu waliobuni hii JF nao wasiwe wametumwa na mungu hivyo iwe ni Mungu aliyeibuni jf?Wewe hebu jiondoe hapa maana huna unachojua..
Mtu anapinga Bikira Maria kutuombea, lakini akiambiwa aombewe na AKINA MWINGIRA, KAKOBE, RWAKATALE etc etc faster wanaenda... siwaelewi.Alafu ili kulibeza Kanisa Katoliki Walokole wengi wanambeza sana Bikira Maria....wanasahau Yesu ni Mungu kweli na Mtu kweli ....sijui wewe utajisikiaje watu wakimkejeli mama yako .....Pale anaposema vizazi vyote wataniita mbarikiwa bila Kanisa Katoliki kwa mwenendo wa makanisa ya sasa angeitwa mbarikiwa ili hilo neno litimie?
Kwenye harusi ya kana wale watu walimwambia Bikira Maria afanye nn!? Na pale msalabani Yesu alimwambiaje yule mwanafunzi wake anayempenda!? Acha akili za kushikiwa ww.Ni kwl hata mimi siku nkiona andiko linalosema bikra maria yupo hai na anatuombea siku hiyo ntarudi kama hiyo imani ya roma,ninae mjua yuko hai ni Kristo yesu peke yake yuko hai milele na ndo atakaekuja kunyakua kanisa n mtu haendi kwa baba bila kupitia kwake,na ndo muombezi wetu,Swala la kwnn alitumiwa kubeba mimba Roho mtakatifu au Mungu huweza kumtumia yoyote aliemuumba na ndo maana Balaki alipo mwambia mchawi balaamu awalaani wana wa israel,wakati balaamu anaenda kuwalaani wana wa israel alikuwa amepanda punda na siku hiyo Mungu alimtumia huyohuyo punda kutamka maneno kama mwanadamu,kwahyo hatuwez kusema punda ni mtakatifu anafaa kutuombea kisa alitumiwa na Bwana Mungu,Mungu anaweza kumtumia yoyote kwa ajili ya kazi yake maana vyote alivyoviumba viko ndani ya uwezo wake kuvitumia atakavyo,Kwhiyo mariam ni mtakatifu kwa sababu alimbeba mtakatifu na ni mbarikiwa kwa sababu alimbeba katika tumbo lake yule aliekuwa amebarikiwa hata neno linasema hata sisi tutakuwa watakatifu maana alie ndani yetu ni mtakatifu,kwhiyo maryam kumzaa Yesu alitumiwa tu lakini haimpi mamlaka ya yeye kuwa mwombezi wenu!! hana mamlaka hayo na wala hakuna mtume wala nabii ambaye amepewa mamlaka hayo ni kristo peke yake!! Hivi mbona neno liko wazi hizo biblia huwa mnasoma mkiwa timamu kwa kuongozwa na roho mtakatifu kwl?? au tatzo roho mtakatifu wenu huwa anakaa upande wa kulia ndo maana lakini akikaa moyoni mwako neno utalielewa vzuri sana.
Yesu alisema, "hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu lile lilinenwa na nabii Daniel (asomaye na afahamu)... Paulo anasema " siku ya Bwana haiji hadi afunuliwe yule asi, ajiinuaye nafsi yake kama Mungu ambaye Bwana Yesu atamuua kwa pumzi yake". 2 wathesalonike 2:1-5. Hilo chukizo la uharibifu kama alivyonena Daniel ni Papa. Paulo aliiona nguvu hii pia ikitenda kazi kuanzia kwnye dola ya kirumi na kisha kanisa la rumi.Huyo asi muda si mrefu atafunuliwa pale atakapoungana na wafalme wa dunia hii ili kushinikiza ibada ya uongo dhidi ya Ibada ya Mungu. Hapo Michael atasimama upande wa watu wa Mungu Daniel 12:1. Huyo asi na wafuasi wake wataangamizwa na wateule watatwaliwa Mbinguni. Kwa mujibu wa Biblia siku hizo haziko mbali.Ehhe! Hebu niambie anarudi lini...?
Maana biblia yangu inaniambia hakuna ajuaye siku wa saa ya kuja mwana wa Adamu....
Wakuu mbona mnabishanana sana wakati wazungu walioleta dini/ madhehebu hayo wakila bata na kupiga hatua za maendeleo kila kukicha?, cha msingi Naona kila mtu abaki na iman yake kukosoana na kutokwa na mapovu namna hii utadhan tulikuwepo wakati biblia inaandikwa hakuna maana. Kila mmoja asidharau iman ya mingine na hakuna aliye bora kuliko mwenzake as long as wote mmeumbwa kwa mf na sura ya Mungu
Mkuu hawa ukiamua kusimama nao kwenye hiyo mistari yao wanaanza kutafuta mistari mingine ya kupinga huo mstari ....utafikiri Mungu anajipinga mwenyewe .....kazi sana ...
Hiyo atakuwa hajui historia SDA subiri tutamletea thread yenye historia.Toa ujinga wa kutuletea ngonjera za Ellen G White hapa.....Hivi unajua hata dhima ya Kitabu cha Apokalse ya Yohana...? Unajua kiliandikwa lini na kiliwahusu kina nani hasa...???
Tutolee ngonjera za makambi na lesson
Umbumbumbu tu wa maandiko ndio unakutesaBiblia inasema Bikra Maria ataitwa mbarikiwa, na dunia itamsifu kuwa yeye ni mbarikiwa. Bikra Maria kwa mujibu wa kumbukumbu za kanisha hakufa, alipaazwa. Ujui historia, huyu mama ni the special, hata waprotestant wakimtupa sisi Wakatoliki tutaendelea kutimiza unabii kwa kumuita mbarikiwa
Ukitaka kujua kuwa waroma ni vilaza wasomee mstari ya Biblia hawambulii kitu maana wao wamekaririshwa misale ya waumini tu. Hoja zozote zisizo pata support ya Biblia ni hoja mfu. Na si ajabu waroma kuabudu wafu na masanamu maana hawasomi Biblia.Hii thread inahusu Padre Luther kuondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia ambayo ndio mnayotumia Waprotestant ....tuambieni kwanini aliviondoa? Kwanini alitaka kuondoa hadi kitabu cha ufunuo hadi mwenzake Calvin alipoingilia kati (maana yake leo waprotestant msingekuwa na kitabu cha ufunuo kwenye Biblia yenu kama si juhudi za Calvin) ....mada za Bikira Maria, tunaabudu sanamu n.k fungueni uzi wake maana mshaharibu mada ....kama hujui historia waachie theologians waje kujibu hoja zetu .....nyie mliokariri vifungu vya Biblia hamuwezi kuja na majibu hayo maana hapa tunaichambua historia ya hiyo Biblia tunayoitumia ili ujue hicho unachoamini kimepatikanaje .....vifungu haviwezi kujibu hapo ....
Kama wachungaji hawa wa kilokole ni darasa la saba ndiyo maana wanapotosha maandiko; Mtume Petro mnayemwita papa wa kwanza alikuwa darasa is ngapi?Kwani kwenye harusi ya kana kinywaji kilipoisha, walimfuata nani ili awaombee kwa Yesu?, tatizo haya makanisa ya kilokole yanayoendeshwa na wachungaji ambao ni darasa la saba wanawapotosha, hawaijui biblia