Mnakazia maombi! Kwa andiko lipi? Ndiyo maana Luther aliwapinga mlipoanza kuchakachua Biblia. Mungu anasema "Neno lake litasimama".Ndio maana nikasema apa panahitatajika Taaluma Mungu(THEOLOGY) huwezi kuelewa hili jambo,ila kwa kifupi Wakatoliki hawamwombi Maria/Watakatifu direct Bali wanamwomba Mungu kwa njia ya mwanae Yesu Kristo na pia wanakazia sala zao kupitia watakatifu akiwemo Maria Mtakatifu mama wa Mungu,njoo na Uzi unaohusu mambo haya kisha tutakuja,ila Taaluma Mungu muhimu sana kwako na mengine style yako.
Sasa kwa taarifa yako, sio Luther pakee aliyepinga hayo maandiko mnayodai yalifichwa. Wana matengenezo wote walipinga uovu huu wa kanisa la roma kuongeza vitabu ambavyo havikuwa na uvuvio wa Roho Mtakatifu. Nia ovu ya kanisa la roma ilishindwa na itashindwa milele kwani neno la Mungu litadumu milele bila kuchakachuliwa. Roma iliongoza kuchoma Biblia halisi ili walete ya kwao bandia lakini wameshindwa. Mungu mwenyewe amehifahi Biblia yake, na hii ndio inamfunua Kahaba mkuu wa ufunuo 17:15. Roman Catholic.Hiyo ndio sababu iliyomfanya aondoe vitabu 7 vya Agano la Kale....
Hiyo ndio sababu iliyomfanya atake kuondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania..
Hebu nipe sababu kama unaijua, uniambia aliviondoa kwa mamlaka ya nani...??
Who told you that? What about the followers of St. Thomas in India, the Coptics, the arabs, and the ethiopians? Did they follow that church?Kulikuwa na Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume...(Samahani kwa kudakia jibu)
Yesu aliacha kanisa katoliki lini? Wakristo wenzangu hamna tofauti na walevi.Nani kakudanganya...?na biblia haitakiwi isomwe mstari kama mnavyofanya wasabato kisha mnaibuka na matusi,biblia ni fasihi ya hali ya juu mno,mf:Kitabu cha Daniel unatakiwa ujue historia ya kitabu,kwann Daniel anakuwa main character,ukifuatilia biblia za wakatoliki huwa kila kitabu kinaanza na historia ya kwamba kiliandikwa BD/AD na mtajwa kwenye kitabu husika ni kwann amekuwa main character na mahudhui ya kitabu kwa jamii za ulimwengu,ndg zanguni msisome biblia mstari tuu kisha mkaja na maswali na majibu,ebu angalieni babu yenu William Miller aliyetabiri ujio wa Yesu Kristo 1844....!hiyo aibu wasabato hamjawahi kuifuta na huku mkipambana na kanisa mama,kanisa lililoachwa na Yesu mwenyewe Roman Catholic.
Kwani hiyo Biblia unayoisoma wewe ni nani walikusanya maandiko na kuyaweka pamoja na kuipata biblia? Ukiweza kulijuwa hili utakuwa umefahamu kitu kikubwa na hitolikebehi tena kanisa katoliki.Rejea hapo kwenye bold.Mimi naamini Biblia moja tu yenye pumzi ya Mungu 2 Timotheo 3:16-17. Hizo za waroma baki nazo ninyi huko mwendelee kudanganyana.
Hivi ndivyo mnavyowadanganya mapunguwani wenzenu huko kwenye NGO zenu?Baada ya kusoma nyuzi zote hapo juu, sema maneno haya kwa dhati:
"Mungu baba, nakuja mbele zako, Mimi ni mwenye dhambi. Natubu dhambi zangu zote, kwa maana ya kuziacha kabisa. Naomba rehema na neema zako Mungu zinifunike. Sitaki dhambi tena kuanzia sasa. Bwana Yesu, nisafishe kwa damu yako iliyomwagika msalabani. Asante kwa kunisafisha n.a. kunisamehe dhambi zangu. Ni katika jina la Yesu Kristo ninaomba. Ameni."
Asante kwa kusoma sala hii kwa dhati; Mungu amekusamehe dhambi zako zote. Na sasa wewe ni kiumbe kipya na umeokoka.
Wangeikusanya wasingeichoma moto, Biblia ilikusanywa na Wakrtisto wa awali kabla hata wapagani wa kiroma hawajavamia kansani wakijifanya wameongoka kumbe lengo lao ni kuendeleza vita yao dhidi ya ukristo.. Ikiwa padre wako alikwambia Biblia ilikusanywa na waroma alikudanganya. Roman Catholic wamejikusanyia hiyo ya kwao wanayoiongezea vitabu kila mara. Biblia takatifu yenye vitabu 66 ilikamilishwa na waktisto wa awali kabla ya papa wenu kupewa madaraka na warumi.Upapa umeikuta Biblia na wakaongoza vita kuipiga vita ikiwemo kuwaua wote waliohifadhi nakala halisi ya Biblia.soma vizuri kisa cha waldensia waliokimbilia milina ya alps. Hawa walikimbia mateso ya papa na waliweza kuhifadhi nakala halisi ya Biblia sio hiyo waliochakachua waroma.Kwani hiyo Biblia unayoisoma wewe ni nani walikusanya maandiko na kuyaweka pamoja na kuipata biblia? Ukiweza kulijuwa hili utakuwa umefahamu kitu kikubwa na hitolikebehi tena kanisa katoliki.
Followers wa St Thomas ni part of the Catholic Church kama ulikuwa hujui.....Most of Eastern Church including Armenian na Chaldean wote ni part of Catholic Church...Who told you that? What about the followers of St. Thomas in India,
Coptic Ni part of Eastern Rite....Easter Orthodox Churches zote walijitenga na Kanisa Katoliki mwaka 1100..,the Coptics,
Zote hizo zinasngukia kwebye Eastern Orthodox Churches...the arabs, and the ethiopians?
Utengano wa kwanza ulitokea mwaka 1100... Before that kulikuwa na Kanisa Katoliki pekee.....Did they follow that church?
Hao Wakristo wa awali nu kina nani...?? Hivi unajua historia ya ukusanyaji wa Biblia wewe...?Wangeikusanya wasingeichoma moto, Biblia ilikusanywa na Wakrtisto wa awali kabla hata wapagani wa kiroma hawajavamia kansani wakijifanya wameongoka kumbe lengo lao ni kuendeleza vita yao dhidi ya ukristo..
. Waroma hawajakusanya Biblia....Biblia imekusanywa na kuwa Compiled na Catholic Church....Hao Waroma unawajua wewe...Ikiwa padre wako alikwambia Biblia ilikusanywa na waroma alikudanganya
Labda kama ulikuwa hujui..Biblia imekamilika mwaka 300Ad chini ya Mtaguso wa Efeso ikiwa na vitabu 72.....Martin Luther alipunguza vitabu 7 vya Agano la kale.....Hii ni Historia na kamwe huwa haipotoshwi...Roman Catholic wamejikusanyia hiyo ya kwao wanayoiongezea vitabu kila mara
Angalia usije ukachekwa ndugu.....Maana unachokiandika hukulijui na unachokitetea pua hukujui...Punguza ushabiki kwenye mambo ya msingi...Kama una ombwe la Historia ni bora ukaa kaa kimya.... Biblia takatifu yenye vitabu 66 ilikamilishwa na waktisto wa awali kabla ya papa wenu kupewa madaraka na warumi.
Upapa ni kitu gani wewe.. ? Hivi unajua unachoongea au unaropoka tuu ...Hapa hatupo kwenye kambi za lessoni..Upapa
Hivi huu uongo na uzushi huwa mnatolea wapi....??? Aliyekuambia Biblia toka mwanzo ilikuwa na vitabu 66 ni nani...???umeikuta Biblia na wakaongoza vita kuipiga vita ikiwemo kuwaua wote waliohifadhi nakala halisi ya Biblia.
Waldensia ndio wadudu gani wewe...??soma vizuri kisa cha waldensia waliokimbilia milina ya alps. Hawa walikimbia mateso ya papa na waliweza kuhifadhi nakala halisi ya Biblia sio hiyo waliochakachua waroma.
Yes! Yesu aliacha Kanisa Katoliki chini ya Mwamba Patro....Wewe ndiwe Petro (Cefa) na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu...Yesu aliacha kanisa katoliki lini? Wakristo wenzangu hamna tofauti na walevi.
Taarifa ninayo tayari...Unataka kunipa ipi...??Sasa kwa taarifa yako,
Hakupinga, alidiriki kuondoa vitabu 7 vya Agano la Kale....Tunataka kujua hayo mamlaka aliyatoa wapi.....?sio Luther pakee aliyepinga hayo maandiko
Nani kasema yamefichwa....??? Kanisa halijawahi kufichs maandiko....Biblia toka mwanzo ilikuwa na vitabu 72 na mpaka leo Biblia halisi ina vitabu 72...,Kanisa Katoliki ndio limetunza Biblia halisi mpaka leo..mnayodai yalifichwa
Wanamatengenezo hao ni kina nani...? Walipata mamlaka gani ya kuondoa vitabu...?? Biblia imejamilika mwaka 300AD, ikiwa na vitabu 72 ....sasa niambie hao panya unao waita wanamatengenezo walipata wapi mamlaka ya kupunguza vitabu vya Biblia....?.... Wana matengenezo wote walipinga uovu huu wa kanisa la roma kuongeza vitabu ambavyo havikuwa na uvuvio wa Roho Mtakatifu.
Hilo Kanisa la Roma lipo wapi.. ??Nia ovu ya kanisa la roma
Kwa bahati mbaya Martin Luther alishachakachua Biblia tayari...Aliondoa vitabu 7 vya Agano la Kale...Pia alifanya attempt ya kuondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania.... Kama ulikuwa hujui sasa nakujuza....ilishindwa na itashindwa milele kwani neno la Mungu litadumu milele bila kuchakachuliwa
Hao Roma ni kina nani...? Lini walichoma. ? Biblia halisi ni ipi...? Kwa mujibu wa nani....?Uhalisia wa namna gani....??. Roma iliongoza kuchoma Biblia halisi ili walete ya kwao bandia lakini wameshindwa.
Biblia yake ipi ..? Aliihifadhi kivipi...? Biblia halisi iliyohifadhiwa mpaka leo ni Biblia ya Kanisa Katoliki na Eastern Churches.....Mungu mwenyewe amehifahi Biblia yake,
Hizi Ngonjera za Lesson ni bora ungezibakiza kule kule kwenye makambi na ngono ya kisabato ...Ok!na hii ndio inamfunua Kahaba mkuu wa ufunuo 17:15. Roman Catholic.
Kama Petro ni mwamba na Yesu Kristo ni nani? acheni kujipendekeza kwa Petro wakati baba zenu warumi walimuua na nyie hamna tofauti nao ila kwa unafiki mnajifanya Petro akikuwa papa wenu. Upapa wa kipagani na Mitume wapi na wapi!Yes! Yesu aliacha Kanisa Katoliki chini ya Mwamba Patro....Wewe ndiwe Petro (Cefa) na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu...
Umeshindwa kuelewa hata hilo...?
Taarifa ninayo tayari...Unataka kunipa ipi...??
Hakupinga, alidiriki kuondoa vitabu 7 vya Agano la Kale....Tunataka kujua hayo mamlaka aliyatoa wapi.....?
Nani kasema yamefichwa....??? Kanisa halijawahi kufichs maandiko....Biblia toka mwanzo ilikuwa na vitabu 72 na mpaka leo Biblia halisi ina vitabu 72...,Kanisa Katoliki ndio limetunza Biblia halisi mpaka leo..
Wanamatengenezo hao ni kina nani...? Walipata mamlaka gani ya kuondoa vitabu...?? Biblia imejamilika mwaka 300AD, ikiwa na vitabu 72 ....sasa niambie hao panya unao waita wanamatengenezo walipata wapi mamlaka ya kupunguza vitabu vya Biblia....?
Hilo Kanisa la Roma lipo wapi.. ??
Kwa bahati mbaya Martin Luther alishachakachua Biblia tayari...Aliondoa vitabu 7 vya Agano la Kale...Pia alifanya attempt ya kuondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania.... Kama ulikuwa hujui sasa nakujuza....
Hao Roma ni kina nani...? Lini walichoma. ? Biblia halisi ni ipi...? Kwa mujibu wa nani....?Uhalisia wa namna gani....??
Biblia yake ipi ..? Aliihifadhi kivipi...? Biblia halisi iliyohifadhiwa mpaka leo ni Biblia ya Kanisa Katoliki na Eastern Churches.....
Hizi Ngonjera za Lesson ni bora ungezibakiza kule kule kwenye makambi na ngono ya kisabato ...Ok!
Nipo na wewe...
Ndo usome historia sasa ujue haya mamboMartin Luther alishapata cheo cha , 'uaskofu' wakati huo. Dhana kwamba alifuta vitabu 7 napata shida mamlaka hayo aliyapata wapi? Mnyonge mnyonge lakini haki yake mpe