Hivi wewe ndo ulikuwa mpiga picha siku hiyo?mmefanya photoshop hadi watu walioko kwenye picha hawaonekani.Hata hivyo picha za kufundishia zipo tangu zamani.waandishi walichora picha za manabii na mitume kwenye mapango, mawe n.k ili kuhifadhi kumbukumbu zao lakini kamwe hazikuwahi kisujudiwa. Kwa taarifa yako picha zinatumika kwenye vitabu vya makanisa mbalimbali ili kufundishia tofauti na hivyo vinyago mnavyoviabuduNiambie hiyo picha (back Ground pic ) Wakati Rais wa Kanisa la SDA amekuja Tz hapo ni uwanja wa Taifa ni picha ya nani....?
View attachment 458771
Niambie hiyo picha inafanya nini hapo...
Kitaja nataka jibu....
Acha kwenda kama mbuzi aliyekatwa kichwa...!umesema Wakatoliki wamepunguza na kungeza amri za Mungu ukaombwa kuposti zilizo punguzwa na zilizoongezwa kwa faida ya forum,sasa hv umerukia mambo mengine tukuelewaje.....?au ninyi ndio wale mnaokaririshwa na kuaminishwa mambo pasipo kuyafanyia uchunguzi alafu mnakuja humu forum.Hivi wewe ndo ulikuwa mpiga picha siku hiyo?mmefanya photoshop hadi watu walioko kwenye picha hawaonekani.Hata hivyo picha za kufundishia zipo tangu zamani.waandishi walichora picha za manabii na mitume kwenye mapango, mawe n.k ili kuhifadhi kumbukumbu zao lakini kamwe hazikuwahi kisujudiwa. Kwa taarifa yako picha zinatumika kwenye vitabu vya makanisa mbalimbali ili kufundishia tofauti na hivyo vinyago mnavyoviabudu
Hivi Biblia ilipaswa kuwa na vitabu .vingapi? Mnakaririshwa sana ndio Shida.Jamani hivi ninyi wakathorici hayo maandiko ya maria kuwa muombezi wenu munayatowa wapi tupeni na sisi tuyasome siyo mtuletee ha bali za kijiolojia..bibilia haisemi tujifunze kwa kupitia jioloji wala sayansi maana bibilia nikitabu kinacho jitosheleza hakihitaji msaada wa vitabu vingine
Otorong'ong'o,Sasa tujikite kwenye mada...
Unafukiri ni kwanini huyu Luther alivuondoa vitabu hivyo..?? Na nini kilimpelekea yeye kufanya attempt ya kuondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania..?
Illiterate type.....!pole sana endelea na mafundisho yako ya kina;Jamani hivi ninyi wakathorici hayo maandiko ya maria kuwa muombezi wenu munayatowa wapi tupeni na sisi tuyasome siyo mtuletee ha bali za kijiolojia..bibilia haisemi tujifunze kwa kupitia jioloji wala sayansi maana bibilia nikitabu kinacho jitosheleza hakihitaji msaada wa vitabu vingine
Maelezo Mazuri Thanks MkuuMkuu kwa hili huna data.... Martine hakuwa Askofu, alikuwa Padre na miongoni mwa sababu zilizomuondoa kwenye kanisa Katoliki ni hili la Uaskofu, alipinga hairakia ya Kanisa na vyeo kama Uaskofu, Upapa na mengineyo. Sema tu mengi aliyoyapinga aliishia kuayatenda akiwa kwenye kanisa lake. Mengine ni suala la Useja, hakutaka kabisa kulisikia na alipoondoka aliondoka na Mtawa wa kike aliyeishia kuwa mkewe.
Mambo ni mengi sana na yanahitaji muda wa kutosha. Lakini niseme tu kwamba "siyo kila alilolipinga lilikuwa baya" mengine aliyapinga kihalali kabisa japo njia aliyoitumia haikuhalalisha kitendo chake!!!
Pili, Biblia za wapeotestanti na wapentekoste zina vitabu 66 wakati biblia ya Wakatoliki ina vitabu 72. Hili lilitokana na kuwa baadhi ya yaliyomo kwenye vitabu hivyo (deuterokanoni) vinapingana na mafundisho yao. Sababu nyingi ni za kibinadamu tu!!! Hili lilikuwa rahisi sana kwake kwani suala zima la "Utaifa" liliingizwq kwenye huu mchakato wa Luther kujiondoa kanisa, matokeo yake kwa vile alikuwa Mjerumani, dhehebu lake likawa "dini dora" ya Ujerumani, katika hali kama hii, ni rahisi kwa uwezo wa kifedha kuchapisha Biblia zenye vitabi 66 na kuviondoa vile vingine!!!!
Nimekuelewa vema, thanks kwa kuchangia knowledgeOtorong'ong'o,
Sasa tujikite kwenye mada na pale penye uchangiaji tusitukane...na tuweke historia ya Canon of Scripture kwanza na nina imani, Kwa uelewa wako na wengine tutakuwa msaada wa nini kilifanyika tangu mwanzo.
Kwanza nikubaliane kwamba..Canon of Scripture is the list of 73 books ni kweli na halina ubishi..nawe unaweza ukaeleza kama historia hiyo kama siyo kweli..
na uandishi wa awali ulifanyika tangu 10th century B.C mpaka Karne ya kwanza A.D ndipo Kitabu cha Ufunuo wa Yohana kilikamilika...kwahiyo mpaka hapo utakubaliana nami kwamba vitabu katika Biblia vilikuwa 73 hadi muda huo...kwa maana kwamba hivyo 66 ambavyo vinakubaliwa na Protestants or Jews jumlisha Saba (Deuterocanonical books) ambavyo vinakubaliwa na Roman Catholics and Eastern Orthodox..
Tuje kwenye hoja..Je vitabu 7 hivyo viliondolewa na Martin Luther...?
Jibu ni hapana..Kwa maana kwamba vilianza kuondolewa tangu Mkutano wa Jamnia wa Wayahudi..100 A.D...it called..'Council of Jamnia' at which walikataa hivyo vitabu..hii ilikuwa baada ya destruction of the temple in Jeresalem by the Romans in the year 70 A.D . Kumbuka hii ilitokana na Jews walipotaka kurudisha ile hali ya temple yao na ku-compose Maandiko yao baada ya kubolewa na kuharibiwa na Warumi.....
Je Ndugu Otorong'ong'o tunakubaliana hadi hapo...ili kuendelea kujenga Msingi wa Kilichotokea katika Mkutano huo wa Jamnia..Wayahudi waliviondoa vitabu vyote ambavyo walivikuta havikuandikwa kwa lugha ya Kiyahudi ingawa baadaye wamekuja kuona kwamba kumbe vipo ambavyo viliandikwa kwa Kiyahudi walipovipata kwenye Dead sea scrolls ambapo walipata flagments in hebraws of Tobit na Sirach....ingawa wapo Schoolers wengine wanaamini kwamba hata 1 Maccabees (Makabayo wa Kwanza), Judith, Baruch na sehemu za kitabu cha Hekima (Wisdom)...Kwahiyo walioanza kuondoa hivyo vitabu ni wayahudi wenyewe....Je hapo unakubaliana nami..?
Nakuuliza hiyo picha ni ya nani.. ?Hivi wewe ndo ulikuwa mpiga picha siku hiyo?mmefanya photoshop hadi watu walioko kwenye picha hawaonekani.Hata hivyo picha za kufundishia zipo tangu zamani.waandishi walichora picha za manabii na mitume kwenye mapango, mawe n.k ili kuhifadhi kumbukumbu zao lakini kamwe hazikuwahi kisujudiwa. Kwa taarifa yako picha zinatumika kwenye vitabu vya makanisa mbalimbali ili kufundishia tofauti na hivyo vinyago mnavyoviabudu
Pia inaweza kuwa ni sababu ..Kwanini Mapadre wanatakiwa kuwa Waseja maisha yao yote au ndio kumuenzi Yesu Kristo?
Mgumu kuelewa huyo daah!!!Ndg hamna amri iliyoondolewa zaidi ya kuboreshwa umeambiwa 2+2=4 au 1+3=4 kwa mtu mwenye upeo mdogo huwezi kuelewa, kwani hiyo iliyotolewa ilikuwa inasaje na hiyo iliyowekwa inasemaje.....?hebu ziweke hadharani kwa faida forum ili zichambuliwe.
Hakuna picha iliyopigwa....Hilo ni bango limewekwa likiwa na picha ya mtu na limewekwa na watu wenye uelewa na walichokuwa wajua wanachokifanya....Nataka kujua hiyo picha ni ya nani. ..??Hivi wewe ndo ulikuwa mpiga picha siku hiyo?
Hizo picha zipo zipo kwenye mitandao na web site za Kisabato....Sasa unataka kusema nini...? Its a matter of time mtabadilika, Mama White alikuwa kichaa so, maamuzi aliyokuwa akiyatoa yalikuwa ni maamuzi ya kiwenda wazimu...Ila sasa wasomi wapo SDA watabadilisha vyote vya kichaa yulemmefanya photoshop hadi watu walioko kwenye picha hawaonekani.
Kwa hiyo ile amri ya kujifanyia Picha wala Sanamu ya kilichopo mbingu au duniani ina-apply wapi...? Kwa hiyo ile amri ilisema tujifanyie picha na sanamu kwa ajili ya kufundishia ehhh..??Hata hivyo picha za kufundishia zipo tangu zamani
Umeanza kwa kukataa, na kusema ni photoshop, Ila sasa ukweli umeujua unakubaliana na mimi picha zipo kwaajili ya kufundishia sio.....So unakubali picha ni muhimu sio....Hahahaha...Mtaparanganyana sana Wasabato.....Yule Mama Muhuni Ellen G White aluwaingiza chaka....waandishi walichora picha za manabii na mitume kwenye mapango, mawe n.k ili kuhifadhi kumbukumbu zao lakini kamwe hazikuwahi kisujudiwa
Kwa wasabato picha si haramu...? Si upagani...?? Ni lini mmeanza kutumia picha kufundishia...???Kwa taarifa yako picha zinatumika kwenye vitabu vya makanisa mbalimbali
Kaa mkao wa kula mabadiliko makubwa yanakuja....ili kufundishia tofauti na hivyo vinyago mnavyoviabudu
You say local language isn't a big. I say it is. It has helped the democratization of the religion.Local language sio big deal....
Hakuna cha maana hata kimoja kati ya malamiko yake kilibadilishwa na kanisa....
Kwakifu makamiko yako yalikuwa hayana mantiki yoyote ..
Unaakili timamu kweli wewe...??? Doctrine gani alimfanya aondoe hivyo vitabu kama si kutaka ku-suit mafundisho yake na upotofu wake...?
Haya niambie ni Apostolic reason gani ilimfanya aviondoe vitabu hivyoo...???
Kama angafanikiwa leo ungekuja kutetea waprotestant kuwa na vitabu 24 vya Agano jipya...???
Acha kutetea ujinga wa Luther, hii laana ndio ilifanya mpaka leo hii Protestant si kitu kimja ila mnazidi kuparanganyika ...
Alichotaka kufanya Luther ni sawa na walokole waindoe Nyaraka ya Wakorinto inayokataza Wanawake kuhutubu madhabahuni simply ku-suit mafundisho yao..
Hicho na alichokifanya Luther...
Tutolee ujinga wa Apostolic na Doctrinal hapa
Hayo mamlaka aliyatoa wapi angali Biblia ilishskamilika.. .?
Hapo umemshika pazuri...!Doctrine gani na Apostolic reasons zipi....?nasubiri,hawa watu wako shallow sana kwenye masuala ya maandiko na hawajui historia ya biblia.
Unaakili timamu kweli wewe...??? Doctrine gani alimfanya aondoe hivyo vitabu kama si kutaka ku-suit mafundisho yake na upotofu wake...?
Haya niambie ni Apostolic reason gani ilimfanya aviondoe vitabu hivyoo...???
Kama angafanikiwa leo ungekuja kutetea waprotestant kuwa na vitabu 24 vya Agano jipya...???
Acha kutetea ujinga wa Luther, hii laana ndio ilifanya mpaka leo hii Protestant si kitu kimja ila mnazidi kuparanganyika ...
Alichotaka kufanya Luther ni sawa na walokole waindoe Nyaraka ya Wakorinto inayokataza Wanawake kuhutubu madhabahuni simply ku-suit mafundisho yao..
Hicho na alichokifanya Luther...
Tutolee ujinga wa Apostolic na Doctrinal hapa
Ahsante ndugu Ndaga kwa maelezo Murua...Otorong'ong'o,
Sasa tujikite kwenye mada na pale penye uchangiaji tusitukane...na tuweke historia ya Canon of Scripture kwanza na nina imani, Kwa uelewa wako na wengine tutakuwa msaada wa nini kilifanyika tangu mwanzo.
Kwanza nikubaliane kwamba..Canon of Scripture is the list of 73 books ni kweli na halina ubishi..nawe unaweza ukaeleza kama historia hiyo kama siyo kweli..
na uandishi wa awali ulifanyika tangu 10th century B.C mpaka Karne ya kwanza A.D ndipo Kitabu cha Ufunuo wa Yohana kilikamilika...kwahiyo mpaka hapo utakubaliana nami kwamba vitabu katika Biblia vilikuwa 73 hadi muda huo...kwa maana kwamba hivyo 66 ambavyo vinakubaliwa na Protestants or Jews jumlisha Saba (Deuterocanonical books) ambavyo vinakubaliwa na Roman Catholics and Eastern Orthodox..
Tuje kwenye hoja..Je vitabu 7 hivyo viliondolewa na Martin Luther...?
Jibu ni hapana..Kwa maana kwamba vilianza kuondolewa tangu Mkutano wa Jamnia wa Wayahudi..100 A.D...it called..'Council of Jamnia' at which walikataa hivyo vitabu..hii ilikuwa baada ya destruction of the temple in Jeresalem by the Romans in the year 70 A.D . Kumbuka hii ilitokana na Jews walipotaka kurudisha ile hali ya temple yao na ku-compose Maandiko yao baada ya kubolewa na kuharibiwa na Warumi.....
Je Ndugu Otorong'ong'o tunakubaliana hadi hapo...ili kuendelea kujenga Msingi wa Kilichotokea katika Mkutano huo wa Jamnia..Wayahudi waliviondoa vitabu vyote ambavyo walivikuta havikuandikwa kwa lugha ya Kiyahudi ingawa baadaye wamekuja kuona kwamba kumbe vipo ambavyo viliandikwa kwa Kiyahudi walipovipata kwenye Dead sea scrolls ambapo walipata flagments in hebraws of Tobit na Sirach....ingawa wapo Schoolers wengine wanaamini kwamba hata 1 Maccabees (Makabayo wa Kwanza), Judith, Baruch na sehemu za kitabu cha Hekima (Wisdom)...Kwahiyo walioanza kuondoa hivyo vitabu ni wayahudi wenyewe....Je hapo unakubaliana nami..?
Wewe umeanza ukatoliki toka ukiwa mtoto. Your brain has been wired to think the Catholic way without taking into consideration that religion you dearly believe is man made.Unaakili timamu kweli wewe...??? Doctrine gani alimfanya aondoe hivyo vitabu kama si kutaka ku-suit mafundisho yake na upotofu wake...?
Haya niambie ni Apostolic reason gani ilimfanya aviondoe vitabu hivyoo...???
Kama angafanikiwa leo ungekuja kutetea waprotestant kuwa na vitabu 24 vya Agano jipya...???
Acha kutetea ujinga wa Luther, hii laana ndio ilifanya mpaka leo hii Protestant si kitu kimja ila mnazidi kuparanganyika ...
Alichotaka kufanya Luther ni sawa na walokole waindoe Nyaraka ya Wakorinto inayokataza Wanawake kuhutubu madhabahuni simply ku-suit mafundisho yao..
Hicho na alichokifanya Luther...
Tutolee ujinga wa Apostolic na Doctrinal hapa
Huyo usipoteze muda naye...Illiterate type.....!pole sana endelea na mafundisho yako ya kina;
William Miller
Joseph Bates na wengineo
Miaka ya mwanzo makasisi walioa na baadhi ya Popes walikuwa wameoa. Tatizo wakaanza kutumia mali za kanisa kurithisha watoto wao. Undugu urikithiri. Watu waka- promote mpaka watoto wao wa nje kuwa makasisi.Ni utaratibu wa Kanisa kwa makaasisi wake na useja haulizimishwi Bali wito tuu.
Kwa hiyo huamini katika Biblia...?Mimi naamini Mungu, lakini naamini kuwa vitabu vya dini kazi ya binadamu.
Upo sahihi kabisa....Na swala la useja ni Doctrine ya kanisa siyo Dogma....Miaka ya mwanzo makasisi walioa na baadhi ya Popes walikuwa wameoa. Tatizo wakaanza kutumia mali za kanisa kurithisha watoto wao. Undugu urikithiri. Watu waka- promote mpaka watoto wao wa nje kuwa makasisi.
Nikisema dini ni man made mtanipinga sana.
Shida gani unapata,sema umeamua kujipa shida,Iko wazi kabisa tafuta biblia ya inayotumiwa na waprotestant kisha tafuta biblia inayotumika kwa wakatoliki utabaini hili,Martin Luther alishapata cheo cha , 'uaskofu' wakati huo. Dhana kwamba alifuta vitabu 7 napata shida mamlaka hayo aliyapata wapi? Mnyonge mnyonge lakini haki yake mpe