Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Huna ushahidi wa Biblia kuthibitisha hayo usemayo ndio maana unatumia nguvu kubwa.Ukiniuliza nithibitishe ukahaba wa kanisa katoliki ninao tele katika ufunuo 13, 14, 17.sura zote hizi zinaelezea mama wa makahaba na machukizo ya nchi. "Wafalme wa dunia wamezini nae" Yaani kanisa hili limefanya mapatano na wafalme wa dunia hii kubadili amri za Mungu.Historia ni mwalimu mzuri, ukifuatilia kwa uaminifu historia inaeleza wazi Roman Catholic Church ndiye kahaba mkuu wa Ufunuo 17:5.
Huyo aliyekabidhiwa ufunguo alikuja kuwa kiongozi wa Kanisa lipi........?ebu tuambie tunakusubiri.Tupa mbali uongo hapa! Kanisa alilosema Yesu si Roman Catholic
Huna ushahidi wa Biblia kuthibitisha hayo usemayo ndio maana unatumia nguvu kubwa.Ukiniuliza nithibitishe ukahaba wa kanisa katoliki ninao tele katika ufunuo 13, 14, 17.sura zote hizi zinaelezea mama wa makahaba na machukizo ya nchi. "Wafalme wa dunia wamezini nae" Yaani kanisa hili limefanya mapatano na wafalme wa dunia hii kubadili amri za Mungu.Historia ni mwalimu mzuri, ukifuatilia kwa uaminifu historia inaeleza wazi Roman Catholic Church ndiye kahaba mkuu wa Ufunuo 17:5.
Ila naamini iko cku mtakuja kuwaelewa Wakotoliki sasa hv ni vgumu sana kuwaelewa....!
Tupa mbali uongo hapa! Kanisa alilosema Yesu si Roman Catholic
Wamesha elewa kaka, sasa wengi wameshaanza kufuata mafundisho ya Kikatoliki,
Kihualisia sio mafundisho ya Kikatoliki, bali ni mafundisho sahihi ya Kibiblia na Mapokeo, sasa wanaanza kujua
1: Tumsifu Yesu Kristo (Salamu ya Kikatoliki) wao wańasema Bwana asifiwe ni lile lile tu
2: Walokole wote wanaenda kuungama/ kukiri dhambi zao kwa wachungaji wao, japo hawaliweki kwenye muktadha huo, lakini lengo ni lilelile kama la Wakatoliki
3: Sasa kila kanisa la kilokole wanatumia Mafuta na Maji kwenye maombezi yao Hizo ni traditional za Kikatoliki, siku za nyuma walikuwa hawatumii chochote zaidi ya kusema Yesu pekee ndio mwokozi
4: Kanisa kama Sabato sasa liko kwenye mjadala mzito kuhusu habari ya Utatu mtakatifu, wengine wanaamini na wengine hawaamini katika hilo, mwisho watakuja kwa Wakatoliki kujifunza na kujua ukweli
5: nk
Nikufahamishe tu ndugu yangu, Kanisa la wasabato yaani SDA nguzo yao kuu ipo katika Utatu Mtakatifu, yaani Mungu Baba, MUngu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Yaani nafsi hizi tatu ndizo zinakamilisha Uungu. Hii ni nguzo kuu katika misingi ya Imani ya Waadvenstista wa Sabato (SDA). Hao walioko kwenye mjadala labda ni watu wengine ulizia vizuri.
Labda nikupe taarifa ambayo hujawahi isikia toka umezaliwa....SDA nguzo yao kuu ipo katika Utatu Mtakatifu, yaani Mungu Baba, MUngu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu.
Ushahidi tumeshakupa...Hii ni nguzo kuu katika misingi ya Imani ya Waadvenstista wa Sabato (SDA). Hao walioko kwenye mjadala labda ni watu wengine ulizia vizuri.
Kweli mmeishiwa hoja, habari haina ushahidi wa Biblia nyie mnaimeza kama ilivyo.Si ajabu Biblia katika 2 Timotheo 4 :3,4.Paulo anasema " utakuja wakati, watu watakataa mafundisho ya kweli na kuzigeukia hadithi za uongo." Huu ni mfano mojawapo wa hizo hadithi za uongo.Wewe ni mgeni kwenye hilo dhehebu, kwa taarifa yako miongoni mwa vitu vilivyoleta debate kubwa sana ndani ya Usabato ni hiyo habari ya Utatu, kama wewe unaamini hilo naona umeongoka na utaijua kweli soon
Pitia hizi nyuzi kwa moyo mkunjufu, utaona imani yako ya Kisabato kuhusu trinity na utakuja kugundua kuwa nyie wasabato mnaamini katika Tritheism na sio Trinity,
CultOrChristian.com - Does Seventh-day Adventism Teach the Trinity?
CC: Otorong'ong'o , jiwe la majiwe
Nilishakwambia Otorong'ong'o na wenzio, kazi ya shetani daima haitafanikiwa.Kitaja na Wasabato wengine naendelea kusoma hiyo link...Hakina natetemeka mwili mzima...Inatisha sana ...
Wasabato mnadiriki kubadili Biblia..?
Mkuu, unazungumziaje hiyo Clean Bible..? Ni kweli au si kweli...? Unataka kuniambia GC ni mashetani...? EGW Estate ni mashetani..?Nilishakwambia Otorong'ong'o na wenzio, kazi ya shetani daima haitafanikiwa.
Unajua sijakuelewa unaposema ushahidi wa Biblia...Hebu fungua hiyo link uone jinsi Biblia yenu mpya na ushahidi jinsi vinavyotolewa..Kweli mmeishiwa hoja, habari haina ushahidi wa Biblia nyie mnaimeza kama ilivyo.Si ajabu Biblia katika 2 Timotheo 4 :3,4.Paulo anasema " utakuja wakati, watu watakataa mafundisho ya kweli na kuzigeukia hadithi za uongo." Huu ni mfano mojawapo wa hizo hadithi za uongo.
Sasa kwa muda wako, tafuta hiyo '"the clean Word Bible" UoneHuu ni mfano mojawapo wa hizo hadithi za uongo.
Endelea kujipa moyo ndugu lakini kumbuka Hili kanisa ndio mfano wa mwanamke wa Ufunuo 12:1 Mwanamke aliyevikwa jua na taji ya nyota 12.Ni Bibiarusi wa Kristo Ufunui 19:7 kwa kuwa hili kanisa linatii amri za Mungu na imani ya Yesu Ufunuo 14:12 .Tofauti na yule kahaba wa Ufunuo 17:5. Kanisa lisilotii amri za Mungu, ushahidi upo wazi katika Biblia.Kanisa hili limediriki kubadili amri Daniel 7:25. Yesu aliita chukizo la uharibifu Mathayo 24:15. Petro aliita Babeli 1 Petro 5:13.Yohana aliita Babeli Mkuu, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI. Kanisa hili limetabiriwa kufanya vita na watakatifu hata kuonekana "kuwashinda" kama wanavyodai sasa.Lakini, siku si nyingi Biblia inasema "Mikaeli atasimama upande wa watu wa Mungu". Daniel 12:1.Jiandae utasimama wapi?Mkuu, unazungumziaje hiyo Clean Bible..? Ni kweli au si kweli...? Unataka kuniambia GC ni mashetani...? EGW Estate ni mashetani..?
Maana ushahidi umepewa upo wazi....
Endelea kujipa moyo ndugu lakini kumbuka Hili kanisa ndio mfano wa mwanamke wa Ufunuo 12:1 Mwanamke aliyevikwa jua na taji ya nyota 12.Ni Bibiarusi wa Kristo Ufunui 19:7 kwa kuwa hili kanisa linatii amri za Mungu na imani ya Yesu Ufunuo 14:12 .Tofauti na yule kahaba wa Ufunuo 17:5. Kanisa lisilotii amri za Mungu, ushahidi upo wazi katika Biblia.Kanisa hili limediriki kubadili amri Daniel 7:25. Yesu aliita chukizo la uharibifu Mathayo 24:15. Petro aliita Babeli 1 Petro 5:13.Yohana aliita Babeli Mkuu, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI. Kanisa hili limetabiriwa kufanya vita na watakatifu hata kuonekana "kuwashinda" kama wanavyodai sasa.Lakini, siku si nyingi Biblia inasema "Mikaeli atasimama upande wa watu wa Mungu". Daniel 12:1.Jiandae utasimama wapi?
Unataka kusema huo mstari unamaanisha kanisa gani..?Endelea kujipa moyo ndugu lakini kumbuka Hili kanisa ndio mfano wa mwanamke wa Ufunuo 12:1 Mwanamke aliyevikwa jua na taji ya nyota